Pauline rogat
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 339
- 196
Hapa ntajikita kujadili mambo ya (EI) yaani emotional intelligence. Bila shaka kila mtu atakubali kwamba Rais wetu ana tatizo la emotional intelligence, hivyo kusababisha kuonesha hisia zake hata sehemu ambayo haikustahili.
Rais Magufuli, ni mtu ambaye anajitoa kwa kiasi fulani, japo wapinzani wake wamekuwa wakimkosoa kwa mambo mengi sana. Kwa mtizamo wangu hayo husababishwa na (modality & methodology) anazotumia kutekeleza matamanio yake, huenda lengo lake likawa jema kabisa lakini kwa sababu anatofautina mtizamo na wapinzan wake basi hujikuta anapingwa sana. Rais Magufuli, anamini yupo sahihi kwa anayoyafanya huku akiungwa mkono na wananchi kwa kiasi fulani.
Licha ya harakati nying za Rais Magufuli, kuiletea Tanzania maendeleo, lakini imeonekana watanzani bado hawaelewi methodology & modality anazotumia. Hii imepelekea kuwepo kwa upinzan AMBAO haukutarajiwa kabisa. Hili limeonekana baada ya ujioa wa hasimu mkubwa wa Magufuli kwenye siasa za Tanzania ndugu Tundu Lissu. Kwa kiasi fulani ndgu TL ametia hamsha hamsha kweny siasa za Tanzania, mpaka kufikia wachambuzi wengi na waumini wengi wa demokrasia kuona sasa kutakuwa na upinzan wenye nguvu kuelekea uchaguzi wa October.
Lakini tujiulize, je Rais Magufuli anafurahia haya yanayoendelea kuonekana tangu ujio wa Tundu Lissu pale uwanja wa ndege mpak huko mikoani? Rais ni mtu anaye penda kujituma kwake, kuoneshwe kuthaminiwa, anataka ashukuliwe, apongezwe na kusifiwa, na hapa ndipo furaha yake ilipo. Lakini kwa kinachoendelea kuelekea uchaguzi wa October, Rais Magufuli ataona watanzani ni watu ambao hawana shukran wala hawastahili kufanyiwa jema lolote, hivyo hali hii kusababisha Magufuli kuwachukia baadhi ya watanzani wazi wazi kama alivyoonesha baadhi ya maeneo kweny kipindi cha uongozi wake.
Rais Magufuli, anasahau mambo ya demokrasia linapokuja swala la yeye kutopongezwa na kusifiwa kwa alichofanya. Kwa vile Rais ana tatizo la emotional intelligence (EI) basi tutegemee ubaguzi mkubwa, majibu mabaya kwa wananchi baada ya uchaguzi, kejeli na pengine kuongeza kibano zaidi kwenye mambo mbali mbali. Sasa ili kuepusha yote haya, ambayo yataacha makovu mengi baada ya yeye kuondoka 2025, ilitakiwa ashindwe kweny uchaguzi huu wa 2020.
Nimalizie kwa kuwashauri watu wa Public relations, kutoka ofisi ya Rais kumfanyia counseling Mh Rais, ili achukulie ushindani wa kisiasa kama njia ya kufikia maendeleo, maana licha ya kuahidi kumaliza upinzan ifikapo 2020, lakini bado kuna upinzan mkubwa tena imeonekana watu ndio wana moto zaidi ya 2015.
Nani angetakiwa kumshinda??Hapa ntajikita kujadili mambo ya (EI) yaani emotional intelligence. Bila shaka kila mtu atakubali kwamba Rais wetu ana tatizo la emotional intelligence, hivyo kusababisha kuonesha hisia zake hata sehemu ambayo haikustahili.
Rais Magufuli, ni mtu ambaye anajitoa kwa kiasi fulani, japo wapinzani wake wamekuwa wakimkosoa kwa mambo mengi sana. Kwa mtizamo wangu hayo husababishwa na (modality & methodology) anazotumia kutekeleza matamanio yake, huenda lengo lake likawa jema kabisa lakini kwa sababu anatofautina mtizamo na wapinzan wake basi hujikuta anapingwa sana. Rais Magufuli, anamini yupo sahihi kwa anayoyafanya huku akiungwa mkono na wananchi kwa kiasi fulani.
Licha ya harakati nying za Rais Magufuli, kuiletea Tanzania maendeleo, lakini imeonekana watanzani bado hawaelewi methodology & modality anazotumia. Hii imepelekea kuwepo kwa upinzan AMBAO haukutarajiwa kabisa. Hili limeonekana baada ya ujioa wa hasimu mkubwa wa Magufuli kwenye siasa za Tanzania ndugu Tundu Lissu. Kwa kiasi fulani ndgu TL ametia hamsha hamsha kweny siasa za Tanzania, mpaka kufikia wachambuzi wengi na waumini wengi wa demokrasia kuona sasa kutakuwa na upinzan wenye nguvu kuelekea uchaguzi wa October.
Lakini tujiulize, je Rais Magufuli anafurahia haya yanayoendelea kuonekana tangu ujio wa Tundu Lissu pale uwanja wa ndege mpak huko mikoani? Rais ni mtu anaye penda kujituma kwake, kuoneshwe kuthaminiwa, anataka ashukuliwe, apongezwe na kusifiwa, na hapa ndipo furaha yake ilipo. Lakini kwa kinachoendelea kuelekea uchaguzi wa October, Rais Magufuli ataona watanzani ni watu ambao hawana shukran wala hawastahili kufanyiwa jema lolote, hivyo hali hii kusababisha Magufuli kuwachukia baadhi ya watanzani wazi wazi kama alivyoonesha baadhi ya maeneo kweny kipindi cha uongozi wake.
Rais Magufuli, anasahau mambo ya demokrasia linapokuja swala la yeye kutopongezwa na kusifiwa kwa alichofanya. Kwa vile Rais ana tatizo la emotional intelligence (EI) basi tutegemee ubaguzi mkubwa, majibu mabaya kwa wananchi baada ya uchaguzi, kejeli na pengine kuongeza kibano zaidi kwenye mambo mbali mbali. Sasa ili kuepusha yote haya, ambayo yataacha makovu mengi baada ya yeye kuondoka 2025, ilitakiwa ashindwe kweny uchaguzi huu wa 2020.
Nimalizie kwa kuwashauri watu wa Public relations, kutoka ofisi ya Rais kumfanyia counseling Mh Rais, ili achukulie ushindani wa kisiasa kama njia ya kufikia maendeleo, maana licha ya kuahidi kumaliza upinzan ifikapo 2020, lakini bado kuna upinzan mkubwa tena imeonekana watu ndio wana moto zaidi ya 2015.
Jitahidi kutumia milango yako yote ya fahamu.Yeyote kati ya anaoshindana nao !
Hapa unadanganya.wapinzani wa kweli wa awamu hii ni wapenda :amani,maendeleo,haki,demokrasia na wale wote wenye akili zilizopevuka! Kodi za watanzania zinatumika kununua majogoo mitaani wakati hospitali hazina madawa,kodi zetu zinatumika hovyo....simply wapinzania wa awamu hii ni watanzania wenyewe ....tena walipa kodi!
JfTaja chombo cha habari ambacho kipo huru kwa sasa Tz
Ubaguzi huu.Safari hii tumchague mtanzania mwenzetu atakuwa na uchungu na watz
Hao wengine ni maumivu tuUbaguzi huu.
👊👊Atuachie Nchi yetu. Alipotufikisha panatosha.