Japo ni mtoto wa kike, Nataka nijiajiri kwa kuendesha bajaj

Ushauri wa nn ss,, We ingia mzigoni tuu kwn hujaona kko kuna wadada kibao tuu wanaendesha bajaj zile za kwenda kivukon na posta
 
Jiamin nenda kachukue lesen fasta uanze kaz. Zifuatazo ni ofa mbali mbali utakazopat 1. Hutokua unakamatwa na trafcmala kwa mala kama wanaume 2. Utapata wateja weng kwa kua wew ni mwanamke
 
Piga kazi bajij inalipa sana na Wateja utapata sanaa
 
Tayari umeshaanza kuendesha?

Nahitaji niwe abiria wako wa kudumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…