Japo ni mtoto wa kike, Nataka nijiajiri kwa kuendesha bajaj

Habari wakuu
Rejea kichwa cha uzi hapo juu.

Mimi msichana nimemaliza chuo ambapo mpaka dakika hii ajira zimekuwa ngumu kiasi kwamba nmekata tamaa ya kutimiza ndoto zangu za kuajiriwa.

Kinachoniuma zaidi baba yangu ana bajaj nne ambazo ameajiri watu ambao wanaendesha familia kwa kazi hiyo. Kutokana na mimi kuwa msimamizi wa biashara zake nimekumbana na mfanyakaz ambae ni msumbufu asiethamini ajira yake kiasi kwamba napata hasira maana kazi anayo ila anaichezea.wakati wengine tunahangaika kutafuta usiku na mchana.
Hilo jambo limenifanya nifikirie kwenda kuchukua course fupi ya udereva ili nichukue bajaj niiendeshe mwenyewe huku mzazi wangu akijipatia kipato chake kama kawaida maana nina uhakika hii kazi inalipa vizuri.

Nimeshaongea na baba japo ananionea huruma kama mzazi ila maamuzi makubwa yapo kwangu mwenyewe.

Kinachonikwamisha ni hali ya hii industry kutawaliwa na wanaume pekee.
Je sitaonekana mtu wa ajabu mtoto wa kike kuendesha bajaj?
Naombeni ushauri
Ushauri wa nn ss,, We ingia mzigoni tuu kwn hujaona kko kuna wadada kibao tuu wanaendesha bajaj zile za kwenda kivukon na posta
 
Jiamin nenda kachukue lesen fasta uanze kaz. Zifuatazo ni ofa mbali mbali utakazopat 1. Hutokua unakamatwa na trafcmala kwa mala kama wanaume 2. Utapata wateja weng kwa kua wew ni mwanamke
Habari wakuu
Rejea kichwa cha uzi hapo juu.

Mimi msichana nimemaliza chuo ambapo mpaka dakika hii ajira zimekuwa ngumu kiasi kwamba nmekata tamaa ya kutimiza ndoto zangu za kuajiriwa.

Kinachoniuma zaidi baba yangu ana bajaj nne ambazo ameajiri watu ambao wanaendesha familia kwa kazi hiyo. Kutokana na mimi kuwa msimamizi wa biashara zake nimekumbana na mfanyakaz ambae ni msumbufu asiethamini ajirajambo limenifanya nifikirie kwenda kuchukua course fupi ya udereva ili nichukue bajaj niiendeshe mwenyewe huku mzazi wangu akijipatia kipato chake kama kawaida maana nina uhakika hii kazi inalipa vizuri.

Nimeshaongea na wenyewe.

Kinachonikwamisha ni hali ya hii industry kutawaliwa na wanaume pekee.
Je sitaonekana mtu wa ajabu mtoto wa kike kuendesha bajaj?
 
Piga kazi bajij inalipa sana na Wateja utapata sanaa
 
Habari wakuu
Rejea kichwa cha uzi hapo juu.

Mimi msichana nimemaliza chuo ambapo mpaka dakika hii ajira zimekuwa ngumu kiasi kwamba nmekata tamaa ya kutimiza ndoto zangu za kuajiriwa.

Kinachoniuma zaidi baba yangu ana bajaj nne ambazo ameajiri watu ambao wanaendesha familia kwa kazi hiyo. Kutokana na mimi kuwa msimamizi wa biashara zake nimekumbana na mfanyakaz ambae ni msumbufu asiethamini ajira yake kiasi kwamba napata hasira maana kazi anayo ila anaichezea.wakati wengine tunahangaika kutafuta usiku na mchana.
Hilo jambo limenifanya nifikirie kwenda kuchukua course fupi ya udereva ili nichukue bajaj niiendeshe mwenyewe huku mzazi wangu akijipatia kipato chake kama kawaida maana nina uhakika hii kazi inalipa vizuri.

Nimeshaongea na baba japo ananionea huruma kama mzazi ila maamuzi makubwa yapo kwangu mwenyewe.

Kinachonikwamisha ni hali ya hii industry kutawaliwa na wanaume pekee.
Je sitaonekana mtu wa ajabu mtoto wa kike kuendesha bajaj?
Naombeni ushauri
Tayari umeshaanza kuendesha?

Nahitaji niwe abiria wako wa kudumu.
 
Back
Top Bottom