Japo ni Mwana Simba 'kindakindaki' ila 'navutiwa' mno na Timu yangu ya Nyumbani kabisa Biashara United ya Mkoani Mara (Musoma)

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Biashara United inaonekana imejipanga msimu huu ikiwa inajua timu 4 zitashuka mwisho wa msimu na kuna ushindani mkubwa kule juu ambapo kila mmoja anataka kushinda mechi zake. Hawajafungwa nyumbani mpaka sasa" Mchambuzi David Kampista'

EastAfricaTV

GENTAMYCINE nami nitoe Kongole ( Pongezi ) zangu za dhati kabisa kwa Uongozi wa Klabu ya Biashara United ya Mkoani Mara ( Musoma ) kwa Maendeleo mazuri ya hii Timu ila nimshukuru kwa kipekee kabisa Mkuu wa Mkoa wa Mara Malima kwa 'Kuipigania' na 'Kuisaidia' kwa hali na mali hii Timu ya wana Mkoa wa Mara ( Musoma )

Ingekuwa ni aibu na ajabu sana Mkoa ambao anatokea kabisa Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere na 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE wa Mara ( Musoma ) usiwe na Timu katika Ligi Kuu ya Vodacom. Asanteni sana 'Wapoti' Biashara United na nawatakieni 'Mafanikio' zaidi katika Mechi zenu zote.

Kuna Mikoa ya Mambwiga ( Washamba ) kama ya Kagera, Singida,Kigoma, Kondoa Dodoma na Kisiwani Ukerewe Mkoani Mwanza wakikosa Timu za Ligi Kuu japo Kagera na Dodoma kidogo 'wamefluku' wanazo ni halali yao kwakuwa Watu wa hiyo Mikoa ( maeneo tajwa ) hakuna wajualo zaidi tu ya Kutuonea 'Kijicho' Wakazi ( Watu ) tuliotukuka wa Mkoani Mara ( Musoma )
 
Poti umenikera kwa kuitaja UK , kwingine kote sawa, yaani umefanya nikubhikiri vibaya poti.
 
Kumbe Wewe na 'Ujanja' wako wote ni 'Mkara' wa huko UK ( Ukerewe ) Mkuu?
 
"Biashara United inaonekana imejipanga msimu huu ikiwa inajua timu 4 zitashuka mwisho wa msimu na kuna ushindani mkubwa kule juu ambapo kila mmoja anataka kushinda mechi zake. Hawajafungwa nyumbani mpaka sasa" Mchambuzi David Kampista'
EastAfricaTV
GENTAMYCINE nami nitoe Kongole ( Pongezi ) zangu za dhati kabisa kwa Uongozi wa Klabu ya Biashara United ya Mkoani Mara ( Musoma ) kwa Maendeleo mazuri ya hii Timu ila nimshukuru kwa kipekee kabisa Mkuu wa Mkoa wa Mara Malima kwa 'Kuipigania' na 'Kuisaidia' kwa hali na mali hii Timu ya wana Mkoa wa Mara ( Musoma )
Ingekuwa ni aibu na ajabu sana Mkoa ambao anatokea kabisa Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere na 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE wa Mara ( Musoma ) usiwe na Timu katika Ligi Kuu ya Vodacom. Asanteni sana 'Wapoti' Biashara United na nawatakieni 'Mafanikio' zaidi katika Mechi zenu zote.
Kuna Mikoa ya Mambwiga ( Washamba ) kama ya Kagera, Singida,Kigoma, Kondoa Dodoma na Kisiwani Ukerewe Mkoani Mwanza wakikosa Timu za Ligi Kuu japo Kagera na Dodoma kidogo 'wamefluku' wanazo ni halali yao kwakuwa Watu wa hiyo Mikoa ( maeneo tajwa ) hakuna wajualo zaidi tu ya Kutuonea 'Kijicho' Wakazi ( Watu ) tuliotukuka wa Mkoani Mara ( Musoma )
Bila Biashara tusingeiona Simba sie watu wa Mara, hivyo uzalendo kwanza
 
Yanga hawataki kabisa kuskia Chama la Kazi Kazi, yule Beki Mangalo na Protas aliyeenda KMC walikuwa moto kwa Washambuliaji.
Pia kocha wao Baraza anajua sana, kikubwa tuendelee kuwapa Sapoti wako Vzuri.
 
huo ni usaliti

Hakuna ubaya kuvutiwa na Timu tofauti na unayoshabikia au yenye uachana nayo ilimradi usihujumu timu yako maana ni shabiki(mkereketwa) sio Mwanachama naomba nikudokeze hapa Tanzania hakuna Shabiki anaeshabikia Timu mmoja hadi Wamiliki , marefa na baadhi ya Viongozi wa Timu/Vilabu nitakupa mifano kidogo Mo Dewji ni alikuwa Shabiki na mdhamini wa Simba huku akilimiliki African Lyon, Mwigulu alikuwa ni Rais na mumiliki mwenza wa Singida United pia ni Mwanachama wa Yanga, Jamal Malinzi Shabiki wa Kagera Sugar na Yanga, Wallace Karia Shabiki wa Coastal Union na Simba, Majaliwa Kassim Majaliwa ni Shabiki wa Simba na Namungo FC ningendelea kutaja ila naomba kuishia hapo!
 
Back
Top Bottom