GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Biashara United inaonekana imejipanga msimu huu ikiwa inajua timu 4 zitashuka mwisho wa msimu na kuna ushindani mkubwa kule juu ambapo kila mmoja anataka kushinda mechi zake. Hawajafungwa nyumbani mpaka sasa" Mchambuzi David Kampista'
EastAfricaTV
GENTAMYCINE nami nitoe Kongole ( Pongezi ) zangu za dhati kabisa kwa Uongozi wa Klabu ya Biashara United ya Mkoani Mara ( Musoma ) kwa Maendeleo mazuri ya hii Timu ila nimshukuru kwa kipekee kabisa Mkuu wa Mkoa wa Mara Malima kwa 'Kuipigania' na 'Kuisaidia' kwa hali na mali hii Timu ya wana Mkoa wa Mara ( Musoma )
Ingekuwa ni aibu na ajabu sana Mkoa ambao anatokea kabisa Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere na 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE wa Mara ( Musoma ) usiwe na Timu katika Ligi Kuu ya Vodacom. Asanteni sana 'Wapoti' Biashara United na nawatakieni 'Mafanikio' zaidi katika Mechi zenu zote.
Kuna Mikoa ya Mambwiga ( Washamba ) kama ya Kagera, Singida,Kigoma, Kondoa Dodoma na Kisiwani Ukerewe Mkoani Mwanza wakikosa Timu za Ligi Kuu japo Kagera na Dodoma kidogo 'wamefluku' wanazo ni halali yao kwakuwa Watu wa hiyo Mikoa ( maeneo tajwa ) hakuna wajualo zaidi tu ya Kutuonea 'Kijicho' Wakazi ( Watu ) tuliotukuka wa Mkoani Mara ( Musoma )