Japo sijala chakula lakini nimeenda chooni haja kubwa mara nyingi

Japo sijala chakula lakini nimeenda chooni haja kubwa mara nyingi

MBOPOLI

Senior Member
Joined
Aug 12, 2015
Posts
160
Reaction score
27
Shikamoo madaktari.

Mimi nina shida bwana shida yenyewe ni kwamba leo asubuhi nimeamka sijala chochote hadi muda huu nakuandikia kwako.Ila hadi sasa toka asubuhi nimeisha enda chooni haja kubwa kama mara 4 hivi ila siyo kinyesi laini la hasha ni kile medium sio kigumu sana wala sio kilaini sana.

Sasa kinachonishangaza iweje sijala kabisa toka aubuhi ila naenda chooni kujisaidia mbaya zaidi mara 4 na cha kunishitua ni kuwa siharishi hapana ni kinyesi medium.

Msaada tafadhali niko kitonga tairi la mbele linachungulia bonde.
 
Back
Top Bottom