Japo sikupenda Barca avuke, ila hili ndio nimejifunza jana

Messi ni mtu tofauti sana na ni mtu ambaye anapenda mafanikio kwa watu wengi. Hana uchoyo na si mbinafsi. Ila ingekuwa Real Madrid jana, Ronaldo angepiga zote, kwani anajiangalia yeye sana
Hayo ni mawazo yako ndugu!! Baki kama ulivyo!
 
Kwa kweli PSG ni wapuuzi sana .....shenzi zao.....
Acha tu mkuu,bado nawatafutia tusi zuri sijapata bado
yan ufungwe magoli 2 ndan ya dakika 1...ujinga gan huo
walishindwa hata kupaki basi si hua kuna lisaa flan likubwa lunaonesha mda uliobakia walishindwa kuangalia
walinde hilo goli moja hata kwa kupaki basi japo kwa hizo dakika 2 ama 1
 
Goli la kwanza - Offside
Goli la tatu - Penalty fake
Goli la tano - Penalty fake
Goli la sita - Ofside

Ukiwa objective unaweza kuona hizi kitu.

Mascherano alishika kwenye 18 refa akaweka coner.

PSG nao washamba sana, unaenda kupaki basi wakati hata kupaki kwenyewe hujui?
 

Umesahau kimoja!!

'Unapobebwa bebeka kaa vizuri sio unajilegeza'
 
Yule jamaa wa azam TV kaliwa saa [emoji23][emoji23]
 
Bado utaendelea kujifunza tu
 
Kweli kabisa mkuu!! Wangekaa wote golini hamna jinsi!!
 
Ila huo ndio ukweli, Na si mara moja kufanya hivyo. Kuna mechi nyingi sana Messi huwa anatoa nafasi na kwa wengine. So alichofanya jana ni jambo ambalo huwa anafanya mara kwa mara.
Lakini pia kumbuka messi ni mtu ambaye anapanic...na ile ndio ilikua penalt ya mwimu...may be walijua hilo ndio maana wakampa neymar!!

Alafu anayepanga nani apige penalt ni kocha na sio mchezaji...na yeye ndiye anajua weakness za wachezaji!!

CR7 ni mtambo mwingine uache kama ulivyo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…