Japo sikupenda Barca avuke, ila hili ndio nimejifunza jana

Japo sikupenda Barca avuke, ila hili ndio nimejifunza jana

Goli la kwanza - Offside
Goli la tatu - Penalty fake
Goli la tano - Penalty fake
Goli la sita - Ofside

Ukiwa objective unaweza kuona hizi kitu.

Mascherano alishika kwenye 18 refa akaweka coner.

PSG nao washamba sana, unaenda kupaki basi wakati hata kupaki kwenyewe hujui?
Ile ya macherano kushika naikumbuka mkuu!! Ile ilikua penalt!! Sema ndio ishatokea mkuu!! Wako mbele
 
Kama unaupenda mpira hauwezi kuichukia Barca. Asilimia kubwa ya watu wanaoichukia Barca ni wapenzi wa Man U na Christian Ronaldo..
 
Siipendi bacra ila Jana Bacra walikuwa moto...kama wataendeleza moto kama waliouonesha Jana naona kama wataibeba ndoo kirahisi.
 
Back
Top Bottom