Japo sikupenda Barca avuke, ila hili ndio nimejifunza jana

Ile ya macherano kushika naikumbuka mkuu!! Ile ilikua penalt!! Sema ndio ishatokea mkuu!! Wako mbele
 
Kama unaupenda mpira hauwezi kuichukia Barca. Asilimia kubwa ya watu wanaoichukia Barca ni wapenzi wa Man U na Christian Ronaldo..
 
Siipendi bacra ila Jana Bacra walikuwa moto...kama wataendeleza moto kama waliouonesha Jana naona kama wataibeba ndoo kirahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…