Japo sio shabiki wa Diamond, ila 'ngoma' aliofanya na P-Square ni 'kali'

Japo sio shabiki wa Diamond, ila 'ngoma' aliofanya na P-Square ni 'kali'

GANJA ROLLER

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2014
Posts
709
Reaction score
273
Sio kwamba nafatilia sana ngoma za kuimbaimba ila kwa hii track janki kafanya poa sana hadi kawaficha wale jamaa kwe hiyo ngoma
 
Yeah kweli ngoma kali sipatii picha Video yake sasa
 
Yeah kweli ngoma Kali sana sipatii picha hiyo Video yake sasa
 
tupatie link tudownload kiongozi..
 
Mngekuwa wajanja mkaiweka hapa ili na sisi tuisikilize
 
Back
Top Bottom