maatope
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 1,422
- 957
nilijua sisi wajinga wenye IQ ndogo ndiyo tunafatilia mambo haya kumbe hadi ma prodigy kama nyie mmo.haa ha ha we nae bana sa we na dai nani mjinga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nilijua sisi wajinga wenye IQ ndogo ndiyo tunafatilia mambo haya kumbe hadi ma prodigy kama nyie mmo.haa ha ha we nae bana sa we na dai nani mjinga?
Huu wimbo unanichanganya kidogo hasa unapoanza na neno wasafi classic
Chibu inaonekana kashirikishwa tu maana kaimba sehemu ndogo sana na hata p squre nao nimesikia kidogo, pia kunasauti za Iyanya na Dbanji kama sijakosea
Hivi huyo domo anatoa nyimbo ngapi kwa mwaka???
Hata AY alifanya Collabo na Lil' Romeo.
Aisee hata huu wimbo alioutoa A/kiba feat Nick minaj&wiz kid ni mkali kinoma asee
sijausikia huo weka link bas tuupakue