Japo sio shabiki wa Diamond, ila 'ngoma' aliofanya na P-Square ni 'kali'

Japo sio shabiki wa Diamond, ila 'ngoma' aliofanya na P-Square ni 'kali'

Huu wimbo unanichanganya kidogo hasa unapoanza na neno wasafi classic
Chibu inaonekana kashirikishwa tu maana kaimba sehemu ndogo sana na hata p squre nao nimesikia kidogo, pia kunasauti za Iyanya na Dbanji kama sijakosea

Wimbo wa iyanya
 
Kwa maoni yangu; wimbo huu siyo mzuri kabisa; ni wa kubabaisha sana labda ukiwa unategemea kunufaika kwa majina ya wasanii waliotumika nadhani ukilenga soko la Nigeria. Ni wimbo unaoonyesha kuwa ulichanganywachangwanya harakaharaka bile muelekeo wowote; hausogelei kabisa wimbo wa Nitamata Wapi, ambamo uimbaji wa Diamond unasikikia waziwazi. Hata hivyo ni vizuri pia kuelewa kuwa Diamond leo hii huku kwetu ameshaingia levo kubwa sana ambapo halazimiki tena kutunga muziki mzuri ili atambulike, ila anachohitaji ni kuendelea kuwa relevant tu. Wimbo kama huu pamoja na upungufu wake bado unamfanya awe relevant kuwa aliimba na P-Square. Na hata asipotunga wimbo mpya mwaka mzima ujao badala yake akawa anatoa picha za kuonyesha jinsi anavyokula maisha na mpenzi wake Zari hadi mama huyo atakapojifungua bado atakuwa yuko pale pale aking'ara tu. Kazi kubwa aliyofanya miaka mitano iliyopita sasa inamlipa leo hata asipofanya lolote tena.
 
Aisee hata huu wimbo alioutoa A/kiba feat Nick minaj&wiz kid ni mkali kinoma asee
 
Duh umu JF siku hizi vurumai kwa kwenda mbele kuna thread umu imenukuu maneno ya meneja wa Diamond kua sio Psquare ni Iyanya tena sio official joint uku nako mbwembwe lundo kua jamaa anatoboa hata kujiongeza inakua shida sasa.
 
ukitaka kufahamu hii ngoma kali unatumia vigezo gani???
 
Wimbo mzuri sana. Asitucheleweshe video.
 
nimeusika huo wimbo haufikii collabo ya dai na davido

jaman tuwe waakweli
 
Back
Top Bottom