GANJA ROLLER
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 709
- 273
Imetoka lini io ngoma
Yeah kweli ngoma Kali sana sipatii picha hiyo Video yake sasa
Sio kwamba nafatilia sana ngoma za kuimbaimba ila kwa hii track janki kafanya poa sana hadi kawaficha wale jamaa kwe hiyo ngoma
Mngekuwa wajanja mkaiweka hapa ili na sisi tuisikilize
Daimond hakoseagi big up kwake
Inaitwajee!!
Itakuwa imetoka leo hiyo ngoma ,,, mimi diamond sijaona kazi yake yoyote zaidi ya ule mdomo wake tu
mwalimu na wewe unawafatilia wasanii wajinga wasio na faida kwa jamii?Daimond hakoseagi big up kwake