Japo sio shabiki wa Diamond, ila 'ngoma' aliofanya na P-Square ni 'kali'

Sio kwamba nafatilia sana ngoma za kuimbaimba ila kwa hii track janki kafanya poa sana hadi kawaficha wale jamaa kwe hiyo ngoma

Inaonekana diomond hawezi tena kutoa nyimbo nyimbo kuzidi number one. Hiyo unayotaka tuamini ni nzuri ni kujidanganya tu. Nyimbo ya kawaida sana labda kama atawekeza pesa kwenye video lkn audio hapana kwa kweli
 
kwani namba wani ilikuwa nzuri?
 
Nimeusikiliza, ni wa kawaida. Halafu mbona kawaachia PSquare wameimba sehemu kubwa hvo?
 
Inaonekana diomond hawezi tena kutoa nyimbo nyimbo kuzidi number one. Hiyo unayotaka tuamini ni nzuri ni kujidanganya tu. Nyimbo ya kawaida sana labda kama atawekeza pesa kwenye video lkn audio hapana kwa kweli

HAPI KWE RED-Mnakataka tena buku 5? MTANYOKA MWAKA HUU
 
huu wimbo sio wa diamond. Na umeleak sio official release. Ni wa iyanya ft. diamond na kuna dbanj na psquare ndani humo
 
Inaonekana diomond hawezi tena kutoa nyimbo nyimbo kuzidi number one. Hiyo unayotaka tuamini ni nzuri ni kujidanganya tu. Nyimbo ya kawaida sana labda kama atawekeza pesa kwenye video lkn audio hapana kwa kweli

hata #1 mlisemaga hivyo hivyo.
 
Daimond siku zote yupo juu,mtaa wa pili wanazomea kwa vile kimuziki hawana wa kumpambanisha nae ili wamwangushe
 
Huu wimbo unanichanganya kidogo hasa unapoanza na neno wasafi classic
Chibu inaonekana kashirikishwa tu maana kaimba sehemu ndogo sana na hata p squre nao nimesikia kidogo, pia kunasauti za Iyanya na Dbanji kama sijakosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…