Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Mungu ajalie maneno yako yakawe heri hiyo Jumapili 28/05/2023 Yanga iwe Bingwa mpya wa CAFCCL.Asee kwa hali ilivyo hawa uto niwazi watachukua kombe la shirikisho africa mbele ya usm alger mwarab mbovu kuliko hata wale monastir, kwa niliyoyaona kwenye nusu final wakipata ushindi wa 2-0 dhidi ya asec mbovu kuliko hata ruvu shooting.
Niwazi hawa watani zetu wanabeba ubingwa ambao sisi itatuchukua miongo kadhaa kuupata ama tusiupate kabisa mpaka kiama.
Kongole kwa viongozi wa yanga hasa injinia hersi, huyu jamaa mpira upo damuni na nimpambanaji kwa timu yake, yaan huyu ndo mfano halisi wa mfia timu.
Mwisho kabisa nawaona uto wakishinda ndani nje hii final kwani wale waarab hawawezi kupiga pasi hata 5 bila kumpasia adui, huyu ni zalan mweupe kabisa.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app