Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Shobo gani hiyo tena.Kama hamsemi hivyo mbona mna shobo nae sana!?
Hakuna yeyote aliyetakiwa kuchinjwa, watafsiri wa Qur'an wamekosea sana tafsiri, sijuwi hilo la kuchinjwa mtoto wamelitowa wapi.mbona swali ni jepesi tu, kwa ushahidi wa maandiko ni nani alitakiwa kuchinjwa kati ya Isaka na Ishmael?
Kuna Aya ya QUR'AN inasema Ibrahim alikua na mtoto is'haq/isaka?Sijaona kwenye Qur'an kuwa Ibrahim alikuwa na mtoto anitwa Ismail, au hayo ni mafundisho nje ya Qur'an?
Ndugu yangu huo umbali ni wa Hadi MisriUko sahihi kabisa..
Ibrahimu alitoka Kanaani (lebanoni/Palestina) mpaka Moria ambayo ni Yerusalem..
Umbali wa kilomerer 250 mpaka 350 (250-350Km) kwenda kutoa Sadaka ya Kuteketezwa
Hahaha kwahiyo Yesu naye ni muislamu?Kwa mujibu wa Quran yeah, uislam maana yake unyenyekevu kwa Mungu'
Kuna pahala kwenye bible pameandikwa Ibrahim alikua mnyenyekevu kwa Mungu',Kama kumbukumbu zangu si chakavu,ambapo bible ya kiarabu itakua imeandika Ibrahim alikua muislam
Tena wala haitoki kwa Yesu, Yesu kaondoka hakuna anayeitwa Mkristo wala Ukristo.Ibrahim hahusiani chochote na ukiristo,hakuwa mkiristo, wakiristo wao Imani yao inatoka na yesu ambaye kwao ni Mungu na mwana wa Mungu pia, Mungu wa Ibrahim alikua mmoja tu,Hana mwana Wala hakuzaliwa Kama ilivyo Imani ya kiyahudi
Big NoYaani Wakristo na Waislamu ni watoto wa Baba mmoja, Nabii Ibrahim hivyo Mungu wa Wakristo na Waislamu ni Mungu mmoja.
P
Mnyenyekevu wa moyo...Hahaha kwahiyo Yesu naye ni muislamu?
Mathayo 11:29
[29]Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu;
Mungu wa wakiristo ni yesu,Sina hakika ikiwa yule Mungu aliyepigwa na yakobo nao ni waoBig No
Mungu wa wakristo(yaani aliyejifunua kupitia Yesu Ktisto) sio Mungu wa waislam
😅
Mkuu Habari?Hebu soma kisa cha Penina na Hana, Hana akiwa mke mkubwa na Penina mke mdogo
1samwel 1:1-21 halafu uje tena tuelewane
Mi na wewe hatuwa tumekubaliana hilo, labda na mwengine. Ila naomba utupe ushahidi wa hiyo claim yako pleasemkuu tumeshakubaliana malipo yake wanakuwa wamepewa wazazi wake, na anafanya kwa muda maalumu
Afadhali hata Biblia imeongea kisa kizima na kumtaja Isaka.Nop Kumbe Hujanielewa Mimi Mkuu!
Am Just Reasoning Na sipo kumtetea Ishmael wala Isaka ninachosema ni kuwa..
Kote kote Ukiangalia Bado hii storry Doesnt add up bado ina lack audacity ya Kusema fulani au ni Nani hasa ndo alitolewa,.. Factually speaking..
Katika Quran story doesnt Cite a name na kwa wakristo story cite a name but Factually wrong..
Asiyeelewa hapa asubiri kuitwa na spikaKwanza ni lazima tujiulize ni kwa nini pawe na ibada ya kuchinja .
Hao wanyama wanachinjwa illi iweje!
Kwani Mungu anapata faida gani kuona watu wanachinja na kimwaga damu za wanyama?
Kwa nini pawe na wakati maalumu wa kuchinja kama sadaka na sio kila siku mnyama anayechinjwa awe ni sadaka!!
Kwa nini wanapochinja wanagawana na kula kwa pamoja ! !!
Kwa nini Mungu aamjaribu Ibrahimu kwa kumwambia amchinje mwanae aliyezaa na mkewe ambaye waliishi miaka mingi bila kupata mtoto.
Kwa nini Ibrahimu hakuoa mke mwingine kwa miaka yote mpaka akazeeka na kulazimishwa na mkewe amzalie mtoto kwa Hijra ambaye alikua mfanyakazi wa ndani ?
Je,Ibrahimu siku zote hakuona umuhimu wa kuoa mpaka aozeshwe na mkewe tena amzalie mtoto kwa niaba yake.
Bila shaka kuna Imani na maono fulani ambayo Ibrahimu anayasubiri katika imani yake kwa Mungu. Ibrahimu alianekana kuwa kuna mtoto atazaliwa siku moja kabla ya kufa ndio maana alikaa na mkewe miaka yote bila kuoa mke mwingine wala kuzaa mpaka alipoona mkewe amekata zamaa na kumlazimisha kuzaa na mjakazi wake.
Je, hatuoni kuwa Isaka alizaliwa kwa tamko la Mungu mwenyewe kuwa utapata mwana wa Kiume majira kama Haya.!!
Lakini Je,hatuoni kuwa Ismaili ametoka na tamko la Sara kwa Ibrahimu kuwa atafute mwana kwa Hijra .
Hapo kwenye maelekezo ya kupata mtoto kuna siri kubwa :
Mtoto mmoja(Isaka) ametokana na tamko la Mwenyezi Mungu na Mtoto mwingine( Ismail) ametokana na tamko la Mwanamke Sara baada ya kukata tamaa.
Sasa tuangalie :-
Mungu anapokupa kitu kwa ahadi yake mwenyewe hicho kitu amekibariki na atakujaribu katika hicho.
Isaka alizaliwa kwa tamko la Mungu bila Sara wala Ibrahimu kutegemea zaidi ya kuwa walikua wameshakata tamaa ya kupata mtoto kwenye ndoa yao.
Ishmaili ametokana na kukata tamaa na kuonoka kwa imani ya kupata mtoto katika umri wake wa uzee.
Sadaka ni ile imayogusa moyo wa mtu kwa ajili ya imani na kuwa kama umepoteza bila kuona faida kwa wakati huo.
Je, kati ya Ishmail na Isaka ni yupi ambaye akitolewa sadaka italeta uchungu mkubwa sana kwa Ibrahimu ?
Bila shaka ni Isaka ; kwa sababu uchungu mkubwa ungeingia kwa mkewe na pia pangeibuka mtafaruku mkubwa kwa sababu ya kumtoa sadaka mtoto aliyempata kwa taabu katika uzee . Ismaili angetolewa bila uchungu kwa sababu alimpata kwa shinikizo la mkewe na pia alikua ni mtoto wa kijakazi tu asiye na heshima katika familia .
Lakini pia Sara alikua ameshaanza kumlalamikiwa Mama yake Ishmaili kuwa amekua Jeuri na haiwezekani kurithi pamoja na mwanae.
Sasa hapa ukweli wa kiimani na majaribu yake ni wazi kwamba Isaka ndiye ambaye ingekuwa mtihani mkubwa sana kumtoa sadaka isipokua tu kwa mtu mwenye imani kubwa kama Ibrahimu.
Kwa nini damu ilikua inatolewa kama sadaka.
Kwa nini walikua wanaimaninya kutoa sadaka za watoto . Bila shaka walikua wanajua kuwa ipo ahadi ya mtoto mmoja atakayezaliwa na atazolewa sadaka kwa ajili ya dhambi zao . Kila mmoja akawa na tamaa ya kuwa awe mwanawe japokua hawakua wamepewa maelekezo na Mungu na majira yake yalikua jayajafika.
Damu haikua ni damu ya ngombe bali kondoo alininginzwa juu ya mti badala ya Isaka .
Je, maana yake ilikua ni nini ? Bila shaka ilikua ni maandalio ya mwana atakayzaliwa na Mwanamke Bikra kwa ahadi kama ilivyokuwa Isaka aliyezaliwa kwa ahadi.
Wakrsto wako sahihi kwa sababu Damu inauhusiano mkubwa na imani ya Kikristo .
Damu ya Yesu inanena mema na msamaha kwa wanadamu. Bila damu hakuna utakaso. Bila damu ya mtoto Yesu watu wataendelea kuchinja na kumaliza mazizi na mazizi ya ng'ombe ,mbuzi ,kondoo na kuku na ngamia lakini bado ardhi itadai damu mana haijatimiza ahadi waliyokua wakiisubiri kwa hamu hata kutoa watoto wao.
Tujiulize ni kwa nini Mungu hakumwambia Ibrahimu acha usimtoe mwanao sasa bali nenda ukachukue Kondo nyumbani ?
Je ,kondoo na ng'ombe tunaowatoa wameshushwa na malaika toka mbinguni kama alivyoshushwa yule aliyechinjwa na Ibrahimu badala ya Isaka ?
Tuendelee kutafakari mioyoni mwetu na kujiuliza :-
'Kwa nini Yesu aliitwa MWANAKONDOO wa Mungu.?'
Yuke kondoo aliyechinjwa na Ibrahimu alitoka wapi?
Je,aliumbwa siku ile au aliibiwa kwenye zizi la mtu ?au alitoka mbinguni? Au palikua na siri nyingine pale ya Mungu kujitolea sadaka yake mwenyewe ?
Bila shaka Mungu alijitopokea sadaka aliyoitoa yeye mwanyewe ilingane na mtoto aliyemwahidi Ibrahimu na Sara yeye mwenyewe .
Sadaka ilikua na thamani sawa na ''Thamani ya Isaka na sio Ishmail. ''
"Mungu ninayemwamini ni Mungu mkuu" aliyeumba kwa sababu yake yeye mwenyewe. Akatoa sadaka yake yeye mwenyewe
Asante, sasa naamini jibu limepatikana ndugu PascalHakuna yeyote aliyetakiwa kuchinjwa, watafsiri wa Qur'an wamekosea sana tafsiri, sijuwi hilo la kuchinjwa mtoto wamelitowa wapi.
Nijuavyo limetumika neno "dhabih" ambalo kitafsida linamaanisha kukatwa jando.
Aseei
isaka ndie aliyetolewa sadaka
ndio maana siku izi waislam wenye itikadi kali /magaidi huchinja wakristu
Kuna dokta hapa kwenye huu mjadala,anatoa hayo maandiko na najua unayapitiambona swali ni jepesi tu, kwa ushahidi wa maandiko ni nani alitakiwa kuchinjwa kati ya Isaka na Ishmael?
Umbali kutoka kanaani (Lebanoni/Palestine) mpaka Moria (Yerusalem) kwemye Msikiti wa Selemani??Ndugu yangu huo umbali ni wa Hadi Misri
Mtu anayejiita mkristo halafu hana uhakika na amachokoamini si mkristo. Maana Kristo ni kweli na kweli inakuweka huru. Mtu mwenyewasiwasi wa Imani kama huyo jamaa hamjui Kristo kama inavyompasaUshahidi kuhusu nini ?
Naona upo hewani tu.
Sema hiyo nadharia.
Muhamadi anasema yeye ana dini yake na sisi tuna dini yetu.
Haabudu tunacho abudu wala hatuta abudu, anacho abudu yeye, sasa unataka mimi nimbishie?
Wewe ni Mkristo jina.
Biblia inasema Isaka ndiye aliyetolewa sadaka, kabla ya Muhamadi kuzaliwa na kabla ya Uislamu kuwepo.
Anakuja Muhammadi anasema aliyetolewa sadaka ni Ishmaeli.
Wewe na Ukristo wako utamwamini nani?
Mkristo Jina.
Manabii wa kwenye biblia wote wanakubaliana katika hoja zao.
Muhamadi ni nani hadi yeye tu ampinge Nabii Musa, Isaya, Yeremia, Yesu Kristo nk.
Yaani tusiwaamini manabii wote wa kwenye Bibli wanaokubaliana katika hoja moja.
Na tubaki tumwamini yeye tu.
Wayahudi na Wakristo tunamchukulia Muhammadi kuwa ni tapeli kama Mfalme Zumaridi wa Mwanza.
Huu ndio ukweli wetu.
nilichokuwa nataka uelewe ni treatment kati ya mke na mjakazi, wajakazi wote walikuwa chini ya mke sio mume, ni sawa na housegirl siku hizi mara nyingi wanakuwa chini ya mke, na ndo maana utaona Ibrahimu anakuwa hana maamuzi juu ya Hajir kwa sababu alizaa naye tu hakuwa mke bali alikuwa mjakazi aliyezaa na Boss wake, Milka na Bilha hawajawah kuwa wake wa Yakobo bali wajakazi licha ya kwamba alizaa nao, status yao iliendelea kubaki kuwa wajakazi tuMkuu Habari?
Story ya Elikana na Story ya Ibrahim haina mfanano hata Kidogo..
Kwanza Ibrahimu Amezaliwa kabla ya Kuletwa kwa Sheria na Torati kwahyo Misingi yote ilikuwa Inategemea Maagizo ya Mungu na Kumsikiliza anasema nini na kulikuwa hakuna sheria..
NA Elikana kazaliwa Kipindi ambacho Musa Ameshaweka Torati na sheria zipo wazi mpaka za Kuhandle wake wawili au Mmoja jinsi ya Kuoa na Jinsi ya Kuishi..
Hata Yakobo angezakiwa kipindi Cha baada ya Musa asingeweza Kumuoa lea na Rahel kwa pamoja maana Torati hairuhusu kuoa wanawake kutoka Nyumba moja..
Pili Ibrahimu Alipomuoa Hajari, Hajari hakuwa Mwebrania alikuwa Mmisri hivyo haki zake kama Raia zilikuwa Finyu sana na Ni vyepesi kutengwa na kuteswa..(KUMBUKA KISA CHA MUSA ALIPOMUOA MKUSHI)...
wakati elikana alimuoa Penina na Hana wote walikuwa waebrania..
Story zinakaribia kuendenana ila Ziko era Tofauti na Themes tofauti kabisa