Japo Wakristo na Waislamu ni Watoto wa Baba Mmoja, Nabii Ibrahim na Mungu ni Mmoja, Kati ya Ismail na Isaka ni nani aliyetolewa Sadaka ya Kuchinja?

Kwa hiyo hakuna tukio la kafara?
Achana naye huyo..
Kama hakuna Tukio la kafara then Dini ya Kiislam why Wanafanya Hija??
Kwahyo Nguzo ya Dini ya Kiislmu moja wapo Imekufa..

Na kingine Muulize kwanini Mtume alikuwa Anachinja na alikuwa anachinja nini..
Hadithi/Sunna za Mtume zinaelekeza wao.kuchinja kwanini?
 
Ahadi ya Mungu ni kuondoa dhambi duniani. Dhambi imesababisha uumbaji mzuri kuliko wote kuharibika.
Ndio Kuna day of atonement lakini siamini kama wanafanya inavyotakiwa. Kwanza Mungu aliapa kuwaondolea Makuhani na sadaka zao zote, pia ili hiyo sikukuu itimie lazima ihusiahe kuhani mkuu wa ukoo wa Aaron, mavazi maalum ya kikuhani, madhabahu iliyotengenezwa kumwa kufuata Sheria zote za kutengeneza madhabahu, moto ambao sio wa kigeni. Kumbuka moto ule haukuzimwa toka wanatoka Misri baada ya kuila pasaka. Kuna mtu alijaribu kutoa sadaka Kwa moto wa kigeni akauwawa na Mungu, je hao wanaosherekea sikukuu hiyo wanaweza kuvifuata hivyo vitu? Je wanatolea dhabihu za asubuhi, jioni na amani?
Kitabu Cha Daniel kilifungwa Kwa watu wa wakati ule. Toka Kristo mpaka Leo vitabu vimefunguliwa maana tunaishi Nyakati za masiha wa Bwana. Yu karibu mawinguni. Ndani ya miaka mia mbili Dunia imeendelea kuliko miaka zaidi ya 6000 inayojulikana. Kuna sababu kiwango Cha elimu kimeongezeka. Miaka ishirini iliyopita imeshuhudia mabadiliko mengi mno huku duniani. Sio bahati mbaya aisee.
 
Tunachoona India Sasa dhidi ya uislam/waislam ni upendo toka kwa wahindu!?
India kugombana na Waislam ni Matokeo yale niliyoyasema tangu Zamani ya Chuki za Kidini..
Waislam wanaamini kuwa Wana Mamlaka ya kuzuia watu wote Duniani kuabudi vingine isipokuwa Allah..

Na wanaaamini kwambwa wanaweza kutoa Adhabu kwa watu hao..

Hilo jambola vita kati yao halijaanza leo lilianza mara baada tu ya kuanza kwa dini ya Kiislmu..

Unajua Hinduism imeanza zamani kuliko.waislmu then why Hakukuwa na machafuko kabla??
 
Swali zuri sana, kwanza nikupongeze kwa kukujuza tu siyo wewe wa kwanza kulisikia kwako bali nimelisikia kwenye tovuti za nje huko ambako watu wanalumbana kweli kwa kutaka kufahamu na siyo kama JF ambayo wengi wapo kwa kubishana "nani zaidi".

Kwa kuwa hilo swali lako ni zuri na limejibiwa siku nyingi sana, tena kwa kina, kupitia video clip.

Nakuwekea chini hapa link ya hiyo video clip ujipatie jibu lililofanyiwa tafiti kuhusu swali lako:


View: https://youtu.be/bwPSlOxhrzA?si=fm27UJymj0srVtt0
Natumai unafahamu Kingereza vizuri, kama kuna sehemu ya majibu kupitia video cliup hiyo hutayaelewa au ukitaka ufafanuzi zaidi kwa Kiswahili, nipo hapa.
 
Hapana Wayahudi walikuwa wakifanya Hiyo kwa ajili ya Pesach/Pasaka... Na haihisiani na Ibrahimu
Basi hizi mambo za Isaka na Ismail hazina ukweli katika hivi vitabu viwili.

Maana yangu ni kwamba tukio hilo kubwa la kiimani kutoka Kwa Mungu alafu wayahudi wasilitilie maanani daah.

Kuna mambo mengine yanafikirisha Sana
 
Wakiristo walitoka kwao ulaya magharibi kwenda kuanzisha Vita na waislam mashariki ya kati,kwa muktadha wa nani alikuwepo kabla ni wakiristo, uislam haukuwepo India,watu walisilimu, waislam wa India ni wahindi,waliachana na Imani ya kunywa mkojo wa ng'ombe kila siku asubuhi na kula kinyesi chake wakamchagua Allah,wahindu hawataki wenzao wawe waislam
 
Safi umejibu vizuri sana!
Ila Ahadi haijawahi kuwa Kuondoa Dhambi duniani Ila kuleta amani Duniani na Kuinganisha Mataifa (Haijatimia)..

Kuhusu Sadaka za kuteketezwa Zilikoma mara tu BAADA ya Hekalu kuharibiwa mwaka 70 AD na Ritual zote zinazofanana na hizo ikiwemo dhabihu zote..
Kwa sasa Hufanyika Kivuli Au vivuli ya Yale ya zamani tu mpaka pale Masihi (wanaemsuburi kwao),akikwamisha yote..

Yesu hakukamilisha Vingi ambavyo viliahidiwa hakuna Ahadi ya ondoleo la Dhambi iliyotolewa Agano la kale...

Kuna vitu vingi vya Kuongea kuhusu Uyahudi Nikipata Muda mwingi tutaelezena ila nilijifunza vingi sana
 
Kwa hiyo hakuna tukio la kafara?
Hakuna kwenye Qur'an. ni porojo za watafsiri tu.

Mwenyezi Mungu atake kafara yanini kwetu na yeye ni Muumba wa kila kitu?

Ukiona kuna "kafara" kwenye Qur'an basi chimba hapo utakuta hilo ni somo na zuio kwetu, kwa watu ambao wanatoa kafara au walikuwa wanatowa kafara, Muumba wetu hahitaji kafara.
 
Aisee Hivi Vitu Vipya Sana Elimu yangu ya Quran na Elimu ya Lugha ya Arabs sijawahi kukutana na hiki kitu nahisi Kila siku najifunza Shukrani sana..

Ila nina maswali yanayokuja kichwani kwangu..
Nimesikiliza mpaka dakika ya 10..
  • Hili ni dhehebu Gani??
  • Kama ndyo maana Yake, Vipi Kuhsu Hijja na al Adha nazo ni Batili
  • Vipi kuhusu Kaaba (Maana inasemekana Ilijengwa na Ismaili na Ni kipindi ameenda kuchinjwa
  • Vipi kuhusu Nguzo ya Hija (miongoni mwa nguzo za waislamu
Yo've Enlight me ngoja nichunguze zaidi japo hapa naendelea kuangalia Video Inazidi kunishangaza vingi
 
Naona sasa unajidhihirisha kuwa huelewi ukisemacho.

Kuwa pastor au padri au kasisi hakukufanyi kuwa unajuwa kila kitu bali kinyume chake, unakuwa ni mtu uliyejazwa ujinga unaowajaza wengine.

Usitake kuitafsiri Qur'an kwa "terminology" za Kibiblia na Kikristo, hautaelewa.

Unaelewa maana ya neno "tafsil"? Siyo tafsie, sijakosea hapo.

Soma kuhusu wahyi.
 
Hakuna dhehebu hapo, Qur'an haijashushwa kwa ajili ya dhehebu fulani au dini fulani, Qur'an ni kwa walimwengu wote.

Binafsi sina dhehebu nje ya kuwa ni Muislam tu.
 
I didnt say Najua kila.kitu na ndiyo maana najifunza kwako Dada angu..

Ukiacha Ukristo Nilipotoka kwenye Ukristo nilikuwa mwislmu kwa miaka zaidi ya 6 na nilifanikiwa kupata Kijielimu kidogo cha dini..

Kuhusu Tafsil Nafahamu maana yake na najua iko tofauti na Tafsiri
 
Qur'an haijakopi kwa yeyote, kama una ushahidi wa kukopi uweke hapa, usijaze watu ujinga uliokujaa.

Andiko kuwa la zamani zaidi siyo uthibitisho kuwa ni la kweli . Qur'an ndiyo imekuja kubainisha ukweli (criterion).
Quran ni kitabu cha kijanja janja tu. Mambo yake makubwa kuoa vibinti vidogo, ugaidi na mabikra 72, majini na kubagua binadamu wengine. Hamna kitabu hapo
 
Quran ni kitabu cha kijanja janja tu. Mambo yake makubwa kuoa vibinti vidogo, ugaidi na mabikra 72, majini na kubagua binadamu wengine. Hamna kitabu hapo
Ila mabikra 72 hawapo kwenye Quran Sheikh ni hadithi na sio qurn..
Kuoa mabinti wadogo ni tabia ya Mtu sio quran na haijaamrishwa hivyo..

Ukipata maelezo hayo kwenye Quran nitajie
 
Kwanini awachane nae?

Labda hujuwi kwanini Waislam wanakwenda Haj na hata maana ya neno Hija hulijuwi, Haj au Hija siyo kafara.
 


Kwa anayetaka kujua ukweli nani alitakiwa kuchinjwa aingie hapa

The sacrificial son: Isma’il or Isaac?
 
Kwanini awachane nae?

Labda hujuwi kwanini Waislam wanakwenda Haj na hata maana ya neno Hija hulijuwi, Haj au Hija siyo kafara.
Naelewa Vizuri ila Kama Nimekunote mwanzoni Ulizungumza kuwa Ismaili sio mtoto wa ibrahimu..
So nimeconnect Dot..

Utanisamehe kama nilikuquote vbaya..
Kama ismaili sio mtoto wa Ibrahimu Na Kaaba ilijengwa na Ibrahimu na mwanaye ismaili then Kama ni uongo them means hivy9 vitu havikuwahi kuexists..
Najua kuhusu Hija pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…