Japo Wakristo na Waislamu ni Watoto wa Baba Mmoja, Nabii Ibrahim na Mungu ni Mmoja, Kati ya Ismail na Isaka ni nani aliyetolewa Sadaka ya Kuchinja?

Bro kama ukiwa na mtoto kabla ya kuoa na baadae ukaoa ukapata watoto unafikiri ni nani atabeba jukumu la kuwa mkubwa kwenye familia? Aliyepatikana Kwa agano au zao la uzinzi?
Pia ahadi ya Mungu ilikua ni kumpa uzao kupitia mke wake halali Sara. Jina la ukoo haliendelezwi na mzaliwa wa nje na ndo maana hata Waislamu wenyewe huwa wanasema mtoto wa nje ni wa mama yao. Iweje Ishmael awe tofauti?
Mtoto wa mjakazi atabaki kuwa wa hadhi ya chini kuliko wa mke wako wa ndoa. Siku unagawa urithi watoto wa ndoa unawarithisha ila wa mchepuko unampa zawadi. Kuna tofauti kubwa kati ya kurithi na kuzawadiwa.
 

Kumbuka Ibrahim hakuwa mgumba?

Ungeanza kuuliza tamaduni na sheria za Kale za kiebrΓ nia zilikuwa zinasemaje.

Mtoto wa kijakazi nd Suria hahesabiki kama mtoto wa pekee yaani astahiliye urithi.
Mtoto wa mke halali wa ndoa ndiye mtoto anayetambulika


Alafu waislamu haohao sio kwamba hawajui hi,o sheria kwa sababu wanazitumia mpaka hivi leo.
Mtoto haramu haitwi kwa jina la Baba na wala hastahili urithi

Hizo ni sheria za zamani huko mashariki ya kati
 
Wana ji contradict wenyewe maana hata Leo mtoto wa mchepuko ni wa mchepuko lakini Ishmael ni mtoto halali. Just how?
 
Acheni huu uwongo, Mungu wa Wakristo ni tofauti na yule wa Waislamu. Haiwezekani Mungu asubiri miaka 500 baada ya kuondoka kwa Kristo kisha atuletee dini mpya yenye kuongozwa na Mtume aliyekuwa anagegeda katoto ka miaka tisa huku akiagiza watu wakatwe vichwa wasioamini katika kitabu chake huko jangwani.
 
Ni waongo.

Alafu wanafiki. Hawawapendi wayahudi na waisraeli alafu muda huohuo karibu manabii wakuu wote waliopo kwenye Quran ni mayahudi.
Sio karibu asilimia 99. Mohamed tu ndo sio Myahudi. Maana hata Ismael ni Myahudi, Adam ni Myahudi maana alikua na Ibrahim viunoni mwake wakati anatenda dhambi bustanini.
 
Hata wewe unafahamu kuwa ni Isaka.
Mimi ni Mkristu, kwenye Bible tumeambiwa aliyetaka kutolewa sadaka ni Isaka, baada ya leo kusikia kuwa kwenye Quran kuwa aliyetaka kutolewa sadaka ni Ismail, hii inamaanisha, kati Bible na Quran, kuna kimoja kimeandika uongo!, hii ikimaanisha kuna dini watu wanadanganywa!.
Ukweli ni upi?.

P
 
Mtoto aliyezaliwa na kuwa Mwana wa Pekee wa Ibrahim ni Ismail, wakati Isaka anazaliwa, Ismail alikuwa ameisha zaliwa, hivyo Isaka hakuwa mwana wa pekee wa Ibrahim!.
Encyclopedia Britanica Inasema "after Ishmael and Hagar were banished, they settled in Mecca, near which they had found relief and water at the Well of Zamzam. Later, in nearby Minā, Abraham attempted to sacrifice Ishmael (rather than Isaac, as stated in the Old Testament), an event commemorated on Eid al-Adha and in the rituals of the hajj (pilgrimage)"
P
 
Ismail alikuwa mwana wa Hajiri.

Mwana wa Ibrahim ni Isaka.
 


Kwanza ni lazima tujiulize ni kwa nini pawe na ibada ya kuchinja .
Hao wanyama wanachinjwa illi iweje!
Kwani Mungu anapata faida gani kuona watu wanachinja na kimwaga damu za wanyama?

Kwa nini pawe na wakati maalumu wa kuchinja kama sadaka na sio kila siku mnyama anayechinjwa awe ni sadaka!!

Kwa nini wanapochinja wanagawana na kula kwa pamoja ! !!

Kwa nini Mungu aamjaribu Ibrahimu kwa kumwambia amchinje mwanae aliyezaa na mkewe ambaye waliishi miaka mingi bila kupata mtoto.

Kwa nini Ibrahimu hakuoa mke mwingine kwa miaka yote mpaka akazeeka na kulazimishwa na mkewe amzalie mtoto kwa Hijra ambaye alikua mfanyakazi wa ndani ?
Je,Ibrahimu siku zote hakuona umuhimu wa kuoa mpaka aozeshwe na mkewe tena amzalie mtoto kwa niaba yake.
Bila shaka kuna Imani na maono fulani ambayo Ibrahimu anayasubiri katika imani yake kwa Mungu. Ibrahimu alianekana kuwa kuna mtoto atazaliwa siku moja kabla ya kufa ndio maana alikaa na mkewe miaka yote bila kuoa mke mwingine wala kuzaa mpaka alipoona mkewe amekata zamaa na kumlazimisha kuzaa na mjakazi wake.

Je, hatuoni kuwa Isaka alizaliwa kwa tamko la Mungu mwenyewe kuwa utapata mwana wa Kiume majira kama Haya.!!

Lakini Je,hatuoni kuwa Ismaili ametoka na tamko la Sara kwa Ibrahimu kuwa atafute mwana kwa Hijra .
Hapo kwenye maelekezo ya kupata mtoto kuna siri kubwa :
Mtoto mmoja(Isaka) ametokana na tamko la Mwenyezi Mungu na Mtoto mwingine( Ismail) ametokana na tamko la Mwanamke Sara baada ya kukata tamaa.

Sasa tuangalie :-
Mungu anapokupa kitu kwa ahadi yake mwenyewe hicho kitu amekibariki na atakujaribu katika hicho.
Isaka alizaliwa kwa tamko la Mungu bila Sara wala Ibrahimu kutegemea zaidi ya kuwa walikua wameshakata tamaa ya kupata mtoto kwenye ndoa yao.
Ishmaili ametokana na kukata tamaa na kuonoka kwa imani ya kupata mtoto katika umri wake wa uzee.

Sadaka ni ile imayogusa moyo wa mtu kwa ajili ya imani na kuwa kama umepoteza bila kuona faida kwa wakati huo.

Je, kati ya Ishmail na Isaka ni yupi ambaye akitolewa sadaka italeta uchungu mkubwa sana kwa Ibrahimu ?
Bila shaka ni Isaka ; kwa sababu uchungu mkubwa ungeingia kwa mkewe na pia pangeibuka mtafaruku mkubwa kwa sababu ya kumtoa sadaka mtoto aliyempata kwa taabu katika uzee . Ismaili angetolewa bila uchungu kwa sababu alimpata kwa shinikizo la mkewe na pia alikua ni mtoto wa kijakazi tu asiye na heshima katika familia .
Lakini pia Sara alikua ameshaanza kumlalamikiwa Mama yake Ishmaili kuwa amekua Jeuri na haiwezekani kurithi pamoja na mwanae.

Sasa hapa ukweli wa kiimani na majaribu yake ni wazi kwamba Isaka ndiye ambaye ingekuwa mtihani mkubwa sana kumtoa sadaka isipokua tu kwa mtu mwenye imani kubwa kama Ibrahimu.

Kwa nini damu ilikua inatolewa kama sadaka.
Kwa nini walikua wanaimaninya kutoa sadaka za watoto . Bila shaka walikua wanajua kuwa ipo ahadi ya mtoto mmoja atakayezaliwa na atazolewa sadaka kwa ajili ya dhambi zao . Kila mmoja akawa na tamaa ya kuwa awe mwanawe japokua hawakua wamepewa maelekezo na Mungu na majira yake yalikua jayajafika.
Damu haikua ni damu ya ngombe bali kondoo alininginzwa juu ya mti badala ya Isaka .
Je, maana yake ilikua ni nini ? Bila shaka ilikua ni maandalio ya mwana atakayzaliwa na Mwanamke Bikra kwa ahadi kama ilivyokuwa Isaka aliyezaliwa kwa ahadi.

Wakrsto wako sahihi kwa sababu Damu inauhusiano mkubwa na imani ya Kikristo .
Damu ya Yesu inanena mema na msamaha kwa wanadamu. Bila damu hakuna utakaso. Bila damu ya mtoto Yesu watu wataendelea kuchinja na kumaliza mazizi na mazizi ya ng'ombe ,mbuzi ,kondoo na kuku na ngamia lakini bado ardhi itadai damu mana haijatimiza ahadi waliyokua wakiisubiri kwa hamu hata kutoa watoto wao.
Tujiulize ni kwa nini Mungu hakumwambia Ibrahimu acha usimtoe mwanao sasa bali nenda ukachukue Kondo nyumbani ?
Je ,kondoo na ng'ombe tunaowatoa wameshushwa na malaika toka mbinguni kama alivyoshushwa yule aliyechinjwa na Ibrahimu badala ya Isaka ?

Tuendelee kutafakari mioyoni mwetu na kujiuliza :-
'Kwa nini Yesu aliitwa MWANAKONDOO wa Mungu.?'
Yuke kondoo aliyechinjwa na Ibrahimu alitoka wapi?
Je,aliumbwa siku ile au aliibiwa kwenye zizi la mtu ?au alitoka mbinguni? Au palikua na siri nyingine pale ya Mungu kujitolea sadaka yake mwenyewe ?

Bila shaka Mungu alijitopokea sadaka aliyoitoa yeye mwanyewe ilingane na mtoto aliyemwahidi Ibrahimu na Sara yeye mwenyewe .
Sadaka ilikua na thamani sawa na ''Thamani ya Isaka na sio Ishmail. ''

"Mungu ninayemwamini ni Mungu mkuu" aliyeumba kwa sababu yake yeye mwenyewe. Akatoa sadaka yake yeye mwenyewe
 
i
isaka ndie aliyetolewa sadaka

ndio maana siku izi waislam wenye itikadi kali /magaidi huchinja wakristu
 
Wewe taja ukweli ni upi
 
Mungu akubariki sana kwa mchango wako huu ndugu 1000 digits .
 
Hata conclusion yako sio full proof kuna uwezekano wa tatu kwamba wote hawapo sahihi na ni hadithi za kutungwa hivyo wowote wale wanachokiamini ni sawa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…