The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Siku zote Matendo huongea kwa sauti kubwa kushinda maneno.Apumzike Kwa amani mzalendo huyu...
Kawakombatia wenye pesa tuNafasi pekee ambayo Samia ingrmwinua na kumfanya akumbukwe kwa mazuri ilikuwa ni kutengeneza na kusimamia mifumo ya haki na demokradia ya kweli. Kwa sababu hayo mawili ndiyo yalipungua kwa mtangulizi wake.
Lakini kwa Samia kuamua kuwa dikteta, kuzuia ucjaguzi huru na wa haki unaosimamiwa na Tume huru na ya haki, kuamua kutumia njia za kigaidi kama zile za kuteka na kuua watu, kukamata na kuwambikizia watu kesi ili kuzima sauti za wanaodai haki na demokrasia ya kweli, hawezi kukumbukwa kwa lolote jema kubwa. Kwenye suala la miradi hawezi kumshinda mtangulizi wake. Mtangulizi wake alijitahidi kwa mengi sana, kasoro yake ilikuwa ni kwenye haki na demokrasia, ambako huyu naye hajafanya lolote la maana!!
Bila kuharibu Msingi wa mada yako nataka nikukumbushe jambo, Kujaa kwa watu kwenye Msiba kunaweza kuwa kuna mambo mengi, Kwa mfano kule kwetu Kyela kijiji changu cha Kajunjumele tuka karibu mno na Mto Kiwira.GT.
Yule jamaa alipendwa sana. Watu walilia sana, pmoja.na kupakazwa sana lakini alikuwa mioyoni mwa watu wengi.
Huyu wa sasa ndo kashaharibu kila kitu watu haesjui nini anafanya kiufupi ni bora liende tu yupo upande wa wachache wenye maslahi binafsi.
Na kwa hali ilivyo kashashindwa kujirekebisha . Tuombe tu neema ya mungu waibe wasimalize.mali zetu ili ajaye apate pa kuanzia.
View attachment 3317541View attachment 3317542View attachment 3317543
Mbona picha zina red kwa wingi!GT.