Japo walisema Yule ni katili huyu wa sasa akidondoka hata nusu ya watu hawa hapati.

Inauma sana kwakweli, na ndio maana sasa hivi kila mtanzania anapambana kadri awezavyo aingie kwenye system hili asipitwe na ulaji.
 
Bila kuharibu Msingi wa mada yako nataka nikukumbushe jambo, Kujaa kwa watu kwenye Msiba kunaweza kuwa kuna mambo mengi, Kwa mfano kule kwetu Kyela kijiji changu cha Kajunjumele tuka karibu mno na Mto Kiwira.

Basi bhana kwenye mto huo kulikuwa na Mamba Mkubwa sana aliyeua Mifugo mingi na wanakijiji kwa miaka mingi sana, siku alipouawa na mamlaka kufuatia Malalamiko ya Wanakijiji, Umati uliojaa kumwangalia mamba huyo mla watu hausemeki, Watu walitoka mpaka Tukuyu kuja kujionea Mamba huyo aliyesifika kwa Mauaji ya watu na mifugo.

Kwahiyo kujaa kwa watu kwenye msiba wowote ule yaweza pia kuwa ni Kutaka kujiridhisha kama Marehemu kafa kweli au ni uzushi?
Erythrocyte ukitaka kufaulu katika siasa za TZ kwa zama hizi usimponde JPM vinginevyo utaingia kwenye vitabu vyeusi. Raia wa kawaida huwezi ukawaambia chochote kuhusiana na JPM kwa sababu alichokuwa anakiongea kwa ajili yao walikuwa wanakiona anakifanya sio blah blah za demokrasia, haki, amani, uzalendo na takataka zote.

Nyeupe ni nyeupe sio kupindisha; kumbuka hata somo la 'Criminology' lianzishwa baada ya wanasiasa waliokuwa wanapigania demokrasia na wanaopinga kuanzisha uhalifu dhidi ya raia kwa maslahai ya kupata sifa za kijinga na madaraka ili wapore rasilimali za umma.

Ninakushauri wewe CDM ujihadhari kueneza chuki dhidi ya hayati JPM; you won't achieve your goals, certainly I can guarantee you on this, the breakthrough is very narrow!!!
 
Ana kwao ana dini yake ana watu wake ,wala haijalishi unazikwa na watu wangapi wala huku hakuhitajiki sanduku.
 
Kwangu ni Ni Rais bora na mfano mzuri kwa jamii zote duniani ......,Hua sipendi hata kuangalia picha zake maana hua napata maumivu makali sana nikona nchi ilivyo kwa sasa...
 
Erythrocyte ukitaka kufaulu katika siasa za TZ kwa zama hizi usimponde JPM vinginevyo utaingia kwenye vitabu vyeusi. Raia wa kawaida huwezi ukawaambia chochote kuhusiana na JPM kwa sababu alichokuwa anakiongea kwa ajili yao walikuwa wanakiona anakifanya sio blah blah za demokrasia, haki, amani, uzalendo na takataka zote.

Nyeupe ni nyeupe sio kupindisha; kumbuka hata somo la 'Criminology' lianzishwa baada ya wanasiasa waliokuwa wanapigania demokrasia na wanaopinga kuanzisha uhalifu dhidi ya raia kwa maslahai ya kupata sifa za kijinga na madaraka ili wapore rasilimali za umma.

Ninakushauri wewe CDM ujihadhari kueneza chuki dhidi ya hayati JPM; you won't achieve your goals, certainly I can guarantee you on this, the breakthrough is very narrow!!!
Umesoma kitabu cha Kabendera?
 
Umesoma kitabu cha Kabendera?
Yule mwenye hallucination ya utisho wa kimamlaka wa JPM na hachani nywele au aliyekuwa kwenye vilabu vya mpira?
Jitahidi kupanua ubongo wako usiendekeze itikadi za kisiasa uchwara. Pitia mawazo ya kila mtu yawe hasi, chanya au udete kisha chakata na usimamie ukweli sio ushabiki wa kumtukana na kumtuhumu mtu bila ushahidi!!

Wale walioandika kitabu kuhusu JPM na Chato wamefika wapi na ujinga waliowekeza kwenye kitabu chao?
 
GT.
Yule jamaa alipendwa sana. Watu walilia sana, pmoja.na kupakazwa sana lakini alikuwa mioyoni mwa watu wengi.

Huyu wa sasa ndo kashaharibu kila kitu watu haesjui nini anafanya kiufupi ni bora liende tu yupo upande wa wachache wenye maslahi binafsi.

Na kwa hali ilivyo kashashindwa kujirekebisha . Tuombe tu neema ya mungu waibe wasimalize.mali zetu ili ajaye apate pa kuanzia.

View attachment 3317541View attachment 3317542View attachment 3317543
Mwenyezi Mungu tunaomba ufyekelee mbali dikteta mke anayeendeleaa kumwaga damu za Watanganyika kwa kutumia polisiccm
 
Bila kuharibu Msingi wa mada yako nataka nikukumbushe jambo, Kujaa kwa watu kwenye Msiba kunaweza kuwa kuna mambo mengi, Kwa mfano kule kwetu Kyela kijiji changu cha Kajunjumele tuka karibu mno na Mto Kiwira.

Basi bhana kwenye mto huo kulikuwa na Mamba Mkubwa sana aliyeua Mifugo mingi na wanakijiji kwa miaka mingi sana, siku alipouawa na mamlaka kufuatia Malalamiko ya Wanakijiji, Umati uliojaa kumwangalia mamba huyo mla watu hausemeki, Watu walitoka mpaka Tukuyu kuja kujionea Mamba huyo aliyesifika kwa Mauaji ya watu na mifugo.

Kwahiyo kujaa kwa watu kwenye msiba wowote ule yaweza pia kuwa ni Kutaka kujiridhisha kama Marehemu kafa kweli au ni uzushi?
Maoni yako yamepokelewa.
 
Erythrocyte ukitaka kufaulu katika siasa za TZ kwa zama hizi usimponde JPM vinginevyo utaingia kwenye vitabu vyeusi. Raia wa kawaida huwezi ukawaambia chochote kuhusiana na JPM kwa sababu alichokuwa anakiongea kwa ajili yao walikuwa wanakiona anakifanya sio blah blah za demokrasia, haki, amani, uzalendo na takataka zote.

Nyeupe ni nyeupe sio kupindisha; kumbuka hata somo la 'Criminology' lianzishwa baada ya wanasiasa waliokuwa wanapigania demokrasia na wanaopinga kuanzisha uhalifu dhidi ya raia kwa maslahai ya kupata sifa za kijinga na madaraka ili wapore rasilimali za umma.

Ninakushauri wewe CDM ujihadhari kueneza chuki dhidi ya hayati JPM; you won't achieve your goals, certainly I can guarantee you on this, the breakthrough is very narrow!!!
Umeongea kitu kikubwa kaka ambacho wapinzani hawakijui au wanakijua lakin wanakipuuza.

Nimeshawahi kuwaambia humu mara kibao tu kwamba hili wapinzani kutunza imani yao kwa wabongo hawatakiwi kabisa kumpondea pondea JPM au kumlinganisha linganisha na Samia tena katika minajiri ya kumfanya Samia aonekane ni bora...

Kitendo cha wao kuendelea kulazimisha chuki kwa marehemu JPM, huku kuna mambo mengi tu ya ovyo yanayofanyika kwenye awamu ya sasa kinatoa tafsiri kwamba wao bado wanaumizwa zaidi na awamu ya tano kuliko hata uozo wote unaofanywa na awamu ya Samia. Wanasahau kwamba JPM licha ya mapungufu yake lakini alikuwa na mpaka sasa bado ni kipenzi cha watu.

Hivyo basi kuendelea kumg'ang'ania JPM ni kujitafutia chuki kwa wabongo na mwisho wa siku wataonekana hawana la maana ni bora tuendelee tu n ccm.
 
Yule mwenye hallucination ya utisho wa kimamlaka wa JPM na hachani nywele au aliyekuwa kwenye vilabu vya mpira?
Jitahidi kupanua ubongo wako usiendekeze itikadi za kisiasa uchwara. Pitia mawazo ya kila mtu yawe hasi, chanya au udete kisha chakata na usimamie ukweli sio ushabiki wa kumtukana na kumtuhumu mtu bila ushahidi!!

Wale walioandika kitabu kuhusu JPM na Chato wamefika wapi na ujinga waliowekeza kwenye kitabu chao?
Kwanza hicho kitabu cha kabendera ni watanzania wangapi waliokisoma au ambao wana uwezo wa kukisoma?? Na uthibitisho wa tuhuma zote zilizopo mle uko wapi???? Au tuamini tu eti kisa kibendera kasema sijui kwa kuwa yeye ni investigative journalist??

Ndio ujue hawa wapinzani wetu ni mabogasi sana na kwanin wabongo wataendelea kumpuuza, na wao wataendelea kuwa wapinzani licha ya ccm kukosa sifa ya kuliongoza taifa hili.
 
GT.
Yule jamaa alipendwa sana. Watu walilia sana, pmoja.na kupakazwa sana lakini alikuwa mioyoni mwa watu wengi.

Huyu wa sasa ndo kashaharibu kila kitu watu haesjui nini anafanya kiufupi ni bora liende tu yupo upande wa wachache wenye maslahi binafsi.

Na kwa hali ilivyo kashashindwa kujirekebisha . Tuombe tu neema ya mungu waibe wasimalize.mali zetu ili ajaye apate pa kuanzia.

View attachment 3317541View attachment 3317542View attachment 3317543
Kwa akili yako kisoda unadhani wote hao walikuwa wamekwenda kumuona kwa vile wanampenda?

Halafu duniani ukiishi kufurahisha kila mtu huwezi kufanikisha kitu. Wewe fanya linalofaa kisha sepa mbele. Watanzania wenyewe hawa hawana shukrani.

Huyo bwege Mwendazake alisomamisha shughuli za vyama na ruzuku akawanyima. Kuna watu walikuwa jela wengi tu na akina Tundu na Lema walikuwa ukimbizini.

Amekuja huyu wa sass kawatoa ukimbizini, kawafutia makesi, kawaruhusu mikutano na kawapa ruzuku, ndiyo kwanza mnamtukana kila tusi.
 
Jamaa alipendwa alipokufa vilio vilisikika mpaka nje ya nchi.. wakaona njia rahisi ya kumfuta mioyoni mwa watu ni kumrushia makombora ya kashfa.. lakini mpaka leo .. kaburi lake linanuka uzalendo, ingawa Mbwa wa mafisadi wanazidi kubweka juu ya kaburi..
Alikuwa mzuri kwenye miundo mbinu, ubaya hakuwa na utu. Vifo kama vya sasa, jela, risasi nk
 
Back
Top Bottom