fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
wewe alikuzaa nani? alikulea nani?Tuliolelewa na wazee yaani baba, tukakua, wanawake tukawa tunapishana nao tu mtaani bila kuelewa wana umhimu gani hapa duniani, tukajaribu kudate tukapigwa matukio , bado tu hatuoni mchango wao kwenye maisha yetu, wao ni receivers tu but never donors.
Tangu lini watu hao wakawa nguzo tena
Wanawake ndio raha ya dunia mwanawane. Yaani mbususu zao zilivyo tamuuu acha kabisa.Unaweza kuziorodhesha dosari zao nyingi tu,lakini mwanamke ndio nguzo ya familia na dunia nzima.Ndio wanaleta furaha,wanapamba nyumba,wanazaa na kulea watoto,ndio nguzo ya kiuchumi ya familia.Tuwape maua yao
Sasa mtu kukuzaa ndio ameshakuwa nguzo, kuzaa ni jambo la kibiologia , viumbe wa kike wameumbwa nalo na wala sio kwamba wanatoa kama zawadi bali ni agizo la Munguwewe alikuzaa nani? alikulea nani?
alikulea nani?Sasa mtu kukuzaa ndio ameshakuwa nguzo, kuzaa ni jambo la kibiologia , viumbe wa kike wameumbwa nalo na wala sio kwamba wanatoa kama zawadi bali ni agizo la Mungu
hakika umenena,mbususu haina mfanoweWanawake ndio raha ya dunia mwanawane. Yaani mbususu zao zilivyo tamuuu acha kabisa.
Misambwanda ikivibrate huko mtaani unabaki kufurahi kuwa hai.
Women are our source of happiness