Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mujibu wa wikipediaWatu zaidi ya elfu 18 unawaita kiduchu ni zaid ya capacity ya Shamba la Bibi inakoenda kufanyika Fiesta
Duuuh yaani alli hassani mwinyi - Tabora ni mdogo kuliko Kambarage shinyangaKwa mujibu wa wikipediaView attachment 1281731
Watu kweli watakuwa wengi ila faida watapataje kwa kiingilio kidogo hivi au sponsor ndio analeta faida?Shamba la Bibi inaingiza Watu 18000? Acha Kunilazimisha nianze ' Kukudharau ' japo nilishakuwa na hilo wazo la ' Kukudharau ' Kitambo tu. Ninachojua kwa mujibu wa Takwimu za Mzee Matoke Shamba la Bibi ( Uwanja wa Uhuru ) unaingiza Watu takribani 39000 hadi 40000 hivyo kama Fiesta ikifanyika hapo Clouds Media Group watakuwa ' wameula ' na watapata Faida Kubwa mno kuliko hata lile Tamasha la Wasafi. Kataa uwezavyo ila kwa Tanzania nzima Baba na Mama wa ' Promo ' ni Clouds Media Group. Nimemaliza.