Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Nilidhamiria Kwenda Lupaso Kumzika Mkapa.
Hapa Kosa ni lako. Wewe na wadau wa JF wengi mmekuwa mkilalamikia huduma mbovu za mashirika yetu ya Umma, ilikuwaje ukakaa mpaka last minute ndio uende ukakate tiketi? Jana, Juzi yake ulikuwa wapi? Na kwanini uende physically uwanjani kukata tiketi wakati ulikuwa na uwezo wa kutazama Schedules za ATC online.kutoka tu uwanjani straight to ATC kununua ticketi nikiamini kwa ukubwa wa msiba huu, kutakuwa na high frequency ya flight za kuelekea Mtwara, to my surprise, there's none!
Kaka Pascal Mayalla Marketing, PR na advertizing ni masuala yanayohitaji fedha nyingi sana. Ukipata nafasi ya kuona budget ya Tigo au Vodacom kwenye Marketing utakimbia. Lakini kwa Shirika letu la Ndege niliwahi kusikia (sijathibitisha) ila logically "nilielewa" kwamba wana outstanding debts kutoka kwa stake holders mbali mbali, na pia wateja wakubwa wa ATCL ni serikali na wafanyakazi wake ambao kulipa kwao kunachukua muda mrefu. Debtors wapo wengi lakini hawalipi kwa wakati while Creditors nao ni wengi wanademand malipo on time. Kwa maana hiyo nina wasiwasi hata kukosekana kwa flight nyingi za kwenda Mtwara kulitokana na running Costs kuwalemea ATCL. Na huu ni mtazamo wangu mimi.mimi ile tu kupata taarifa Mkapa atazikwa kijijini kwao Lupaso, uwanja wa karibu ni Mrwara, ningefanya marketing ya excursion trip ya Mtwara, naamini kuna Watanzania wengi wangejitokeza kwenda kumsindikiza mpendwa wetu
Hapa ndipo msingi wa kutoamini Dhamira yako ulipolalia. Naamini hukudhamiria. Sababu, Manning Nice, Buti la Zungu, Baraka, Tashriff na Mabasi ya Mzee Murji, (Jina limenitoka kidogo) jana yalikuwepo Mbagala na Temeke na Ubungo mpaka saa kumi jioni. Basi la saa kumi lilikuwa tupu. Ungekuwa umedhamiria lazima ungekuwa na Plan B, na lazima Plan B ingekuwa ni kusafiri kwa Basi. Naamini wewe kama Mtanzania mwingine yoyote unatumia usafiri wa Barabarani. Mwanzoni mwa miaka ya 2000 ulikuwa ukija Chalinze hii ya Kikwete pale njia Panda unajibebea Totoz za Kikwere pale na lile lipikipiki lako, (nafahamu kwa nini sasa hivi huitumii) lakini nataka kujenga hoja kuwa wewe ni mtumiaji mzuri wa usafiri wa barabarani.....I had no means bali kujinywea tu na kujilalia.
Mwenza wako atakuwa ana GUBUwako yuko fofofo, ukigusa tu kesi!
Lakini pamoja na kunsifia JM kwa nukuu nzuri.....
Mimi sijaona kama amewatendea haki waTanzania kwa kutumia lugha ya bepari, maana hii lugha kidogo inaukakasi wa kuielewa hasa kwa waTanzania kama mimi.
Somo kuu liko HAPO.The new generation of political leaders has a lot to learn from his example
Maneno ya mswahili yakieleke Kaskazini ujue ujumbe unapelekwa kusini!
Mambo aliyofanya Mkapa kwa Taifa hili atakumbukwa sana ,
Nakubaliana na wewe 100%.Pasco uko 'in love ' na January..
Sioni anything special
1.Kazaliwa familia ya kishuaAisee nilikuwa sijawahi kumsoma January.
Kumbe Jamaa ana uwezo wa kuandika vitu vya maana namna hii!
Kama anaweza kuandika vizuri, kwa mtiririko mzuri namna hii basi huyu kijana akili zimo kichwani za kutosha!
Awe groomed huyu anaweza kuja kutusaidia huko mbeleni.