Japo yamesemwa mengi mazuri kuhusu Mkapa, kwa maoni yangu, maneno haya ya January Makamba ni one among the best kumhusu Benjamin William Mkapa

Japo yamesemwa mengi mazuri kuhusu Mkapa, kwa maoni yangu, maneno haya ya January Makamba ni one among the best kumhusu Benjamin William Mkapa

Nilidhamiria Kwenda Lupaso Kumzika Mkapa.

Kwamba ulishindwa kwenda sababu8 umekosa ndege, Siamini kama kweli ulidhamiria.

kutoka tu uwanjani straight to ATC kununua ticketi nikiamini kwa ukubwa wa msiba huu, kutakuwa na high frequency ya flight za kuelekea Mtwara, to my surprise, there's none!
Hapa Kosa ni lako. Wewe na wadau wa JF wengi mmekuwa mkilalamikia huduma mbovu za mashirika yetu ya Umma, ilikuwaje ukakaa mpaka last minute ndio uende ukakate tiketi? Jana, Juzi yake ulikuwa wapi? Na kwanini uende physically uwanjani kukata tiketi wakati ulikuwa na uwezo wa kutazama Schedules za ATC online.


mimi ile tu kupata taarifa Mkapa atazikwa kijijini kwao Lupaso, uwanja wa karibu ni Mrwara, ningefanya marketing ya excursion trip ya Mtwara, naamini kuna Watanzania wengi wangejitokeza kwenda kumsindikiza mpendwa wetu
Kaka Pascal Mayalla Marketing, PR na advertizing ni masuala yanayohitaji fedha nyingi sana. Ukipata nafasi ya kuona budget ya Tigo au Vodacom kwenye Marketing utakimbia. Lakini kwa Shirika letu la Ndege niliwahi kusikia (sijathibitisha) ila logically "nilielewa" kwamba wana outstanding debts kutoka kwa stake holders mbali mbali, na pia wateja wakubwa wa ATCL ni serikali na wafanyakazi wake ambao kulipa kwao kunachukua muda mrefu. Debtors wapo wengi lakini hawalipi kwa wakati while Creditors nao ni wengi wanademand malipo on time. Kwa maana hiyo nina wasiwasi hata kukosekana kwa flight nyingi za kwenda Mtwara kulitokana na running Costs kuwalemea ATCL. Na huu ni mtazamo wangu mimi.

I had no means bali kujinywea tu na kujilalia.
Hapa ndipo msingi wa kutoamini Dhamira yako ulipolalia. Naamini hukudhamiria. Sababu, Manning Nice, Buti la Zungu, Baraka, Tashriff na Mabasi ya Mzee Murji, (Jina limenitoka kidogo) jana yalikuwepo Mbagala na Temeke na Ubungo mpaka saa kumi jioni. Basi la saa kumi lilikuwa tupu. Ungekuwa umedhamiria lazima ungekuwa na Plan B, na lazima Plan B ingekuwa ni kusafiri kwa Basi. Naamini wewe kama Mtanzania mwingine yoyote unatumia usafiri wa Barabarani. Mwanzoni mwa miaka ya 2000 ulikuwa ukija Chalinze hii ya Kikwete pale njia Panda unajibebea Totoz za Kikwere pale na lile lipikipiki lako, (nafahamu kwa nini sasa hivi huitumii) lakini nataka kujenga hoja kuwa wewe ni mtumiaji mzuri wa usafiri wa barabarani.....

wako yuko fofofo, ukigusa tu kesi!
Mwenza wako atakuwa ana GUBU
 
Lakini pamoja na kunsifia JM kwa nukuu nzuri.....
Mimi sijaona kama amewatendea haki waTanzania kwa kutumia lugha ya bepari, maana hii lugha kidogo inaukakasi wa kuielewa hasa kwa waTanzania kama mimi.

Niliwahi kumuuliza Januari huko twitter sababu ya yeye kupenda kuandika kwa kiingereza, wakati sasa hivi fashion ya awamu ni kiswahili ni uzalendo. Nikaona anazunguka tu. Nasema iwapo Januari atakuwa rais wa nchi huu, izungumze uzungu ndio utakuwa dira ya nchi hii.
 
The new generation of political leaders has a lot to learn from his example
Somo kuu liko HAPO.
Watz juu na chini YAFAA tujifunze kujitafakari, pale tulipokosea tujutie na kutubu na hatimae kusahihisha.
Kung'ang'ania na kuishia kurudia YALEYALE ambayo ni dhahiri uzoefu wa Che Nkama unatuonyesha kuwa yalileta matatizo kwa TAIFA, ni aibu na pia MAKOSA makubwa zaidi kwa nchi yetu.
Sasa hivi, hasa kwa wanasiasa, kuna '.........ujinga wa kujivunia mambo ya kijinga.........' (JKNyerere).
Viongozi wetu wa sasa wasipokubali kujifunza, kujishusha na hatimae kujisahihisha katika hasa mambo ya msingi yanayohitajika kwa uendeshaji na maendeleo ya kweli kwa TAIFA letu, wenye njaa zao wataendelea kuimba mapambio lakini TUTADUMAA.
AMEN
 
How are you ‘invited to write an article’?

You are ‘asked’ to write an article; this guy in his past life used to be a president speech writer how some ppl ascend to those position in Tanzania is beyond me.
 
Pasco uko 'in love ' na January..

Sioni anything special
Nakubaliana na wewe 100%.

Nimezingatia fursa aliyokuwa nayo ya kumtumia raisi vitabu.

Hapa ni kama kumsifia mwanafunzi wa IST kuwa ni mwerevu sana wa kiingereza.

Nipe good life tangu utotoni, nipe shule nzuri kitaaluma tangu mwanzo, nipe fursa halafu nishindanishe kwenye fair and neutral ground na hao watoto wao, kisha UMSIFIE yeye baada ya mtanange.

Watoto wa Ben, wamekulia kwenye balozi huko, wamepata elimu zao ughaibuni, kwa ustaarabu na utulivu, mpaka mzee wao anadondoka, watanzania wengi hawajui kama wapo. Hii ni tofauti kabisa na wale walioubeba nyadhifa/uraisi wa baba zao vichwani.
 
Pascal,
1. Wewe mwenyewe umejifunza nini kutokana na hii? Mkapa taught me that prominence is good when it comes to you, not when you seek it.

2. Sioni mantiki yoyote ya wewe kuleta mada ya teuzi katika andiko lako hili. The only implication is you are so obsessed with "teuzi" that you feel January should be pitied for not holding a public office at the moment.
 
Aisee nilikuwa sijawahi kumsoma January.

Kumbe Jamaa ana uwezo wa kuandika vitu vya maana namna hii!

Kama anaweza kuandika vizuri, kwa mtiririko mzuri namna hii basi huyu kijana akili zimo kichwani za kutosha!

Awe groomed huyu anaweza kuja kutusaidia huko mbeleni.
1.Kazaliwa familia ya kishua

2.Kasoma Marekani.

3.Amefanya kazi Ikulu kama miaka 10.

4.Amekuwa Waziri.

Huyu ameshaiva. Anafaa kwa matumizi ya urais 2025.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom