Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,277
Huyu mwamba yuko level nyingine kabisa, huwezi kumlinganisha na akina Mwalimu Yanga au God Yanga ambao wanaonekana kupendwa zaidi na uongozi.
Ushauri: club ya Yanga isimtenge mzee wa utopolo. Ndiyo ana wadhamini kadhaa wanaomwezesha kusafiri mikoa mbalimbali kuifuata timu ila ukiongea naye chemba anaumia kutengwa waziwazi na baadhi ya watu wanamwambia kabisa hawampendi.
Sababu wanayotoa ni kwamba yeye ndiye alipelekea Yanga kuitwa Utopolo.