Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,277
Mbona ni swala jepesi tu hilo halihitaji mkalimani, mwalimu wala nini kuelewa kuwa hajatengwa bali kapewa fursa ya kushangilia timu ambayo sio utopolo. Kaiona Yanga ni utopolo asa kwanini uangaike na utopolo wakati timu zipo nyingi? Umeshikishwa bunduki kushabikia? Huyo kapewa somo kuwa akashabikie timu nyingine ambayo sio utopoloYanga wanataka mashabiki ambao wanaisema Yanga positive na kuisema negative Simba muda wote.
Ikitokea shabiki yeyote anakosoa mchezaji wa Yanga hata kama ukosoaji wake ni sahihi bado huyo shabiki watamchukia.
Mzee wa Utopolo nikama Club imeamua rasmi kumtenga nadhani hiyo ni kutokana na hisia zake kile kipindi ambacho Yanga haifanyi vizuri.
Hisia zake zimepelekea mpaka leo Yanga wapate jina baya ambalo wote wanalichukia.
Huyu jamaa nakumbuka mwaka juzi kwenye ile ofa aliyotoa raisi ya tiketi za kwenda SA jamaa walimuengua. Na hata ile ya fainali nayo pia nayo aliliwa kichwa.
Kwenye kijiwe cha Station tayari Dosa naye wamemla kichwa kwasababu tu alimsifia Debora Mavambo kwenye game ya mwisho dhidi ya Tripoli.
Ni aina ya mashabiki wenye mambo ya ajabu ambao hawaendani na falsafa ya michezo kuwa fair dhidi ya mpinzani ikiwemo na ku appreciate ubora wao.
Kipindi Chama yupo Simba, Hersi aliwahi kusema anampenda Chama na anatamani siku moja aje Yanga kwasababu ni mchezaji mzuri.
Lakini leo maneno hayo akisikika shabiki wa Yanga anayatoa basi yupo hatarini sana ya kuwekewa vikwazo vingi vyenye hila ndani yake.
Ni lini wewe binafsi umekuwa fair kwa Yanga? Ni kwamba huoni ubora wa Yanga au nawewe unaendeshwa na ushabiki kindakindaki ambao unataka mashabiki wa Yanga wauache?Yanga wanataka mashabiki ambao wanaisema Yanga positive na kuisema negative Simba muda wote.
Ikitokea shabiki yeyote anakosoa mchezaji wa Yanga hata kama ukosoaji wake ni sahihi bado huyo shabiki watamchukia.
Mzee wa Utopolo nikama Club imeamua rasmi kumtenga nadhani hiyo ni kutokana na hisia zake kile kipindi ambacho Yanga haifanyi vizuri.
Hisia zake zimepelekea mpaka leo Yanga wapate jina baya ambalo wote wanalichukia.
Huyu jamaa nakumbuka mwaka juzi kwenye ile ofa aliyotoa raisi ya tiketi za kwenda SA jamaa walimuengua. Na hata ile ya fainali nayo pia nayo aliliwa kichwa.
Kwenye kijiwe cha Station tayari Dosa naye wamemla kichwa kwasababu tu alimsifia Debora Mavambo kwenye game ya mwisho dhidi ya Tripoli.
Ni aina ya mashabiki wenye mambo ya ajabu ambao hawaendani na falsafa ya michezo kuwa fair dhidi ya mpinzani ikiwemo na ku appreciate ubora wao.
Kipindi Chama yupo Simba, Hersi aliwahi kusema anampenda Chama na anatamani siku moja aje Yanga kwasababu ni mchezaji mzuri.
Lakini leo maneno hayo akisikika shabiki wa Yanga anayatoa basi yupo hatarini sana ya kuwekewa vikwazo vingi vyenye hila ndani yake.
We hujawahi kuikosoa Yanga kwa namna yeyote ile?Mbona ni swala jepesi tu hilo halihitaji mkalimani, mwalimu wala nini kuelewa kuwa hajatengwa bali kapewa fursa ya kushangilia timu ambayo sio utopolo. Kaiona Yanga ni utopolo asa kwanini uangaike na utopolo wakati timu zipo nyingi? Umeshikishwa bunduki kushabikia? Huyo kapewa somo kuwa akashabikie timu nyingine ambayo sio utopolo
Sio mara zote ila huwa na appreciate somehow.Ni lini wewe binafsi umekuwa fair kwa Yanga? Ni kwamba huoni ubora wa Yanga au nawewe unaendeshwa na ushabiki kindakindaki ambao unataka mashabiki wa Yanga wauache?
Hebu onesha ni lini uli appriciate ili hii hoja yako ipate uteteziSio mara zote ila huwa na appreciate somehow.
Acha uongo mkuuSio mara zote ila huwa na appreciate somehow.
Wana roho za kimaskini..kichawi...Yanga wanataka mashabiki ambao wanaisema Yanga positive na kuisema negative Simba muda wote.
Ikitokea shabiki yeyote anakosoa mchezaji wa Yanga hata kama ukosoaji wake ni sahihi bado huyo shabiki watamchukia.
Mzee wa Utopolo nikama Club imeamua rasmi kumtenga nadhani hiyo ni kutokana na hisia zake kile kipindi ambacho Yanga haifanyi vizuri.
Hisia zake zimepelekea mpaka leo Yanga wapate jina baya ambalo wote wanalichukia.
Huyu jamaa nakumbuka mwaka juzi kwenye ile ofa aliyotoa raisi ya tiketi za kwenda SA jamaa walimuengua. Na hata ile ya fainali nayo pia nayo aliliwa kichwa.
Kwenye kijiwe cha Station tayari Dosa naye wamemla kichwa kwasababu tu alimsifia Debora Mavambo kwenye game ya mwisho dhidi ya Tripoli.
Ni aina ya mashabiki wenye mambo ya ajabu ambao hawaendani na falsafa ya michezo kuwa fair dhidi ya mpinzani ikiwemo na ku appreciate ubora wao.
Kipindi Chama yupo Simba, Hersi aliwahi kusema anampenda Chama na anatamani siku moja aje Yanga kwasababu ni mchezaji mzuri.
Lakini leo maneno hayo akisikika shabiki wa Yanga anayatoa basi yupo hatarini sana ya kuwekewa vikwazo vingi vyenye hila ndani yake.
Aaaaaaaah, Utopolo mbona Jina Fresh tu.... !
Yaani Limetulia kbs ..Ukisema tu Utopolo mpaka Dictionaries, Google n.k zinamalizia Yanga,
Yanga acheni unoko. ! Jina Limewakaa Vema..!
Kweli bhana hata mimi timu hii nilishindwa kuipenda tangu utoto wangu kwa sababu Jina Baya nilikuwa sielewi maana yake nikaona litakuwa timu la wachawi Acha nijitoeWanayanga mtanisamehe ila jina la "Yanga" limekaa kienyeji sana. Ni kama jina unalotegemea kulisikia katika kibanda cha wac*w. Kuna wakati nahisi ni moja ya vifaa vinavyotumika kurogea watu. Halina tofauti sana na Utopolo.
Unasema?!?Haya wazee wa utopolo chukueni masalia yenu hayo msepe.
Nani kakwmbia anatengwa? Au we we ndo unamtenga?Huyu mwamba yuko level nyingine kabisa, huwezi kumlinganisha na akina Mwalimu Yanga au God Yanga ambao wanaonekana kupendwa zaidi na uongozi.
View attachment 3107400
Ushauri: club ya Yanga isimtenge mzee wa utopolo. Ndiyo ana wadhamini kadhaa wanaomwezesha kusafiri mikoa mbalimbali kuifuata timu ila ukiongea naye chemba anaumia kutengwa waziwazi na baadhi ya watu wanamwambia kabisa hawampendi.
Sababu wanayotoa ni kwamba yeye ndiye alipelekea Yanga kuitwa Utopolo.