Japokuwa ni Wakatoliki wenzangu Nashindwa kukielewa Hiki Chama cha Kitume..

Japokuwa ni Wakatoliki wenzangu Nashindwa kukielewa Hiki Chama cha Kitume..

Kwa mfano wanatakiwa wajue kwanini wanaabudu Jumapili, Kwanini wanaabudu sanamu,Je 25.12 ndio siku alizaliwa Yesu waliipata wapi siku hiyo? Kwanini watoto wanabatizwa wakati kubatizwa kunaendana na kuamini je watoto wachanga nao wanaaminije? Kwanini Passover imetafsiriwa kama Easter.
Nilipokuwa mtoto naliongea kama mtoto, nimekuwa mtu mzima nayabatilisha mambo ya kitoto
 
FaizaFoxy don't be poor in Logic.. Sijakubali wala kukataa Ila nimeuliza kunajisi watoto ni swala la dini? Limefanywa na wakatoliki pekee? Mbona Waarabu ambao Ndio anakotokea Muhammad S. A. W wanalawitiana? Au nao ni wakatoliki?
Wale si waarabu labda tuseme hivyo wakati wao ni kitu chakawaida
 
Wanasemwa katoriki wakati hata hizo sikukuu wanazosherekea ni wakatoriki walipiga hesabu zao kama Easter walokole huulizia kwaresma inaanza lini[emoji2] [emoji2]
 
Tumsifu Yesu Kristu wanaJF!

Kwa wakatoliki wenzangu kuna hawa Jamaa wanajiita Charismatic Catholics, au Karismatiki Katoliki.. hawa Jamaa wamekaa muundo fulani wa kilokole.. Hili Jambo binafsi linanikwaza (Japo sio Big deal).. kwa mfano siku Mkarismatiki akiwa mtoa neno utasikia maneno ya kilokole kama Mpendwa, Bwana asifiwe na Mengine Kadhaa.. sasa mimi binafsi nakuwa mvivu kuwa atentive kwa staili yao Hii..

Juzi kuna sala za Novena (sala za siku 9) nilikuwa nazipitia tukiwa tunajiandaa kwa Novena ya Kushukuru.. Kilichonivunja moyo Niliona mstari umeandikwa Tunasema Asante Baba.. Jambo ambalo wakatoliki awali hatujalizoea..

Sasa wakatoliki wenzangu Nafanyeje ili niweze kudeal vyema na hawa Jamaa..? ili niwe comfortable..

Asanteni!

Divine Khan!
Hicho sio chama cha kitume ni kikundi cha sala. WAWATA, UWAKA & VIWAWA ndio vyama vya kitume.
 
Kuanza sasa msinitaabishe kwa lolote, kwa maana mwilini mwangu nazichukua chapa zake Kristo. Jambo la msalaba kwa wagiriki ni upuuzi, kwa wayahundi ni kikwazo, lakini kwa wanaoamini ni nguvu zake Mungu na ukombozi wetu.

Mliokolewa kwa msalaba, je sasa mwataka kukamilishwa kwa sheria? Wanaowataka kuendea sheria wanatamani kuwaondoa chini ya msalaba, ikiwa Kristo hakufufuka msalaba ni bure, lakini Kristo amefufuka limbuko lao waliolala. Sitauonea haya msalaba, maana upumbavu wa Mungu ni zaidi ya hekima ya wanadamu.

Mtoto ingawa ni mrithi anapokuwa mtoto huwekwa chini ya uangalizi mpaka atakapokuwa na umri wa kukabidhiwa iliyohalal yake.
Tuliwekwa chini ya sheria mpaka alipokuja Kristo, sasa Kristo amekwisha kuwapo mwajiwekaje chini ya uangalizi, kuishi kwangu ni Kristo, Kristo akiwa ndani mwako nawe ndani ya Kristo, sheria umeipita, na Kristo aliyendani yako sio muasi, ni zaidi ya sheria na ukamilifu wa sheria.

Kristo aliyemioyoni mwenu aamue, imani ni zawadi anayotoa Mungu mwenyewe.
 
Back
Top Bottom