Japokuwa ni Wakatoliki wenzangu Nashindwa kukielewa Hiki Chama cha Kitume..

Nilipokuwa mtoto naliongea kama mtoto, nimekuwa mtu mzima nayabatilisha mambo ya kitoto
 
FaizaFoxy don't be poor in Logic.. Sijakubali wala kukataa Ila nimeuliza kunajisi watoto ni swala la dini? Limefanywa na wakatoliki pekee? Mbona Waarabu ambao Ndio anakotokea Muhammad S. A. W wanalawitiana? Au nao ni wakatoliki?
Wale si waarabu labda tuseme hivyo wakati wao ni kitu chakawaida
 
Wanasemwa katoriki wakati hata hizo sikukuu wanazosherekea ni wakatoriki walipiga hesabu zao kama Easter walokole huulizia kwaresma inaanza lini[emoji2] [emoji2]
 
Hicho sio chama cha kitume ni kikundi cha sala. WAWATA, UWAKA & VIWAWA ndio vyama vya kitume.
 
Kuanza sasa msinitaabishe kwa lolote, kwa maana mwilini mwangu nazichukua chapa zake Kristo. Jambo la msalaba kwa wagiriki ni upuuzi, kwa wayahundi ni kikwazo, lakini kwa wanaoamini ni nguvu zake Mungu na ukombozi wetu.

Mliokolewa kwa msalaba, je sasa mwataka kukamilishwa kwa sheria? Wanaowataka kuendea sheria wanatamani kuwaondoa chini ya msalaba, ikiwa Kristo hakufufuka msalaba ni bure, lakini Kristo amefufuka limbuko lao waliolala. Sitauonea haya msalaba, maana upumbavu wa Mungu ni zaidi ya hekima ya wanadamu.

Mtoto ingawa ni mrithi anapokuwa mtoto huwekwa chini ya uangalizi mpaka atakapokuwa na umri wa kukabidhiwa iliyohalal yake.
Tuliwekwa chini ya sheria mpaka alipokuja Kristo, sasa Kristo amekwisha kuwapo mwajiwekaje chini ya uangalizi, kuishi kwangu ni Kristo, Kristo akiwa ndani mwako nawe ndani ya Kristo, sheria umeipita, na Kristo aliyendani yako sio muasi, ni zaidi ya sheria na ukamilifu wa sheria.

Kristo aliyemioyoni mwenu aamue, imani ni zawadi anayotoa Mungu mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…