Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Huu upumbavu sijui utaisha lini kwa timu za Tanzania. Siyo Simba tuu hata yanga wote mnahara tuu nje ya uwanjà. Mnakera sanaa.Tunajua kuna wenye roho mbaya hawalali wakitutakia mabaya wana Simba tushindwe na hao waarabu.
Enyi wenye roho mbaya nawaambieni wazi kwamba tumekuja kuchukua point zetu 3 kwa mwarabu, Simba sio team ya kukaa mkiani.
Simba nguvu moja.
View attachment 2836205