Japokuwa Simba tuna mechi ngumu na Waydad tumejipanga kuchukua point 3

Huu upumbavu sijui utaisha lini kwa timu za Tanzania. Siyo Simba tuu hata yanga wote mnahara tuu nje ya uwanjà. Mnakera sanaa.
 
Wabongo tunapenda sana kupeana matumaini ya uongo yaani bongo ukiwa mkweli unaitwa "mwenye roho mbaya". Kwa mtu yoyote anaejua mpira ashaona simba inapigwa jumamosi, ni suala la kuwa neutral tu utauona ukweli wala sio roho mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…