Hawa waislamu wanalalama sana na wakati tu wapo 35% na wakristo 65%, je wao ndo wangekuwa wengi sijui ingekuwaje na hayo majini yao.
Jamani Waislamu tuungane kwenye hili la sensa tuhesabiwe Imani zetu za kidini tuziweke pembeni ili serikali ijue tupo wangapi tufaidi keki na pilau yetu ya taifa
Serikali haipo makini kwahili kama vile hawakujua kama kutakuwa na sensa?
Navyoandika hapa bado masaa mawili sensa ianze lakini makarani watakaohesabu watu mpaka sasa hawajalipwa hela yao mfano hai ni makarani wa ilala kituo cha buguruni zaidi ya makarani 100 hawajalipwa posho yao kama walivyo ahidiwa.
Sikuelewi kabisa unapotetea upu-mba-vu unaofanywa na baadhi ya waumini wa kiislamu na mashekhe wao. Eti kwa nini serikali isishughulikie concerns!!!!!! Serikali gani hiyo ipoteze muda wake kushughulikia concerns hizo za ki-ji-nga zisizo na kichwa wala miguu!!!? Na je, wakati wa Mkapa wangediriki kusema hivyo au ni kwa sababu wameona utawala wa sasa unaendekeza mambo ya namna hiyo ndiyo wameamua kufanya hivyo!! Binafsi naunga mkono hatua zote zinazochukuliwa na serikali kwa kutumia jeshi la polisi.Serikali imebaki kuwa ya kutumia mabavu tu!
Nashangaa kwa nini concerns za wananchi hao wasiotaka kuhesabiwa zisijibiwe kwa uwazi kuwa ni kwa nini zisifanyiwe kazi.
Japo nitawashangaa zaidi wale watakaofanyia fujo makarani wa sensa, wanaojitafutia mkate wao kwa ajira ya serikali. Hawana tofauti na wewe unapokaa kutoza kodi kubwa ya tra kama ulivyoagizwa, halafu wateja wakudungue mawe kisa tu kodi ni kubwa. Tuwe wastaarabu, hasira zetu tuzielekeze inapopashwa.
Nchi haijaoza hatuna Viongozi wa kuiongoza Nchi. Viongozi wa Siasa Wanatumia kila mbinu kuwagombanisha Wananchi ili wapate kusahau yale wanayoyafanya viongozi wa Siasa wizi,ulaji rushwa na Ufisadi.sisi kazi yetu wananchi ikiwa wewe ni Muislam kumlaumu ndugu yako Mkristo Udini ndio unaotusumbuwa WaTanzania hatuangalii nini kinachofanywa naKweli nchi imeoza maana kama takwimu zilikosewa takwimu ambazo ziko accurate ni zipi kama zipo? Kama hakuna je Serikali ina mpango gani katika kuhakikisha inapata takwimu ambazo ziko accurate?
Sikuelewi kabisa unapotetea upu-mba-vu unaofanywa na baadhi ya waumini wa kiislamu na mashekhe wao. Eti kwa nini serikali isishughulikie concerns!!!!!! Serikali gani hiyo ipoteze muda wake kushughulikia concerns hizo za ki-ji-nga zisizo na kichwa wala miguu!!!? Na je, wakati wa Mkapa wangediriki kusema hivyo au ni kwa sababu wameona utawala wa sasa unaendekeza mambo ya namna hiyo ndiyo wameamua kufanya hivyo!! Binafsi naunga mkono hatua zote zinazochukuliwa na serikali kwa kutumia jeshi la polisi.
Sikubaliani nawewe kuhusu kipengele cha dini kuingizwa kwenye sensa. Watu ni watu bila dini wa rangi. Na katika serikali kupanga maendeleo na matokeo ya maendeleo hayata nufaisha mtu mmoja wala dini fulani. Tunapanga kama nchi ya watu wamoja.
Ewe nyinyi watu waislam msilete udini wenu katika misingi ya umoja na mshikamano.
Kingine tena nakuomba ufunge mdomo wako huo usio na haya wala Shukrani.
Umoja na uhuru wa tanzania haukuletwa na Nyerere pekee palikuwa wazee wakiislam ambao kwa nguvu ya pamoja kuongozwa na Mwl waliiletea nchii hii amani na uhuru.
Huwezi kumtukana Mwal Nyerere kana kwamba alikuea adui wa uislam sio kweli.
Katika nchi kama zetu zenye watu mama ninyi wenye ukungu wa kufikiri, "closed mind set"ndio mtatuletea balaa.
Lakini napenda kutoa rai yangu tu. Kwamba hamtoweza kuleta agenda zenu na tutawamaliza mmoja baada ya mwingine.

Tatizo lenu wakristo nchi hii mnajuwa ni mali yenu wakati sio kweli,nyerere amewapa madaraka kwa upendeleo