Jaribio la kugomea Sensa: Mwitikio wa Serikali

sensa itasaidia kujua ni watu (wasomi) wangapi hatuna ajira tupo tu kitaa
 
Hawa waislamu wanalalama sana na wakati tu wapo 35% na wakristo 65%, je wao ndo wangekuwa wengi sijui ingekuwaje na hayo majini yao.

hoja yako ndo msingi wa hoja yao,wanataka kurasimisha hizo asilimia kama ni za kweli ili siku nyingine ukitaka kutaja uwe na reliable sourceambayo ni sensa lakini mchakato wa kurasimisha mnaogopa.
 
Jamani Waislamu tuungane kwenye hili la sensa tuhesabiwe Imani zetu za kidini tuziweke pembeni ili serikali ijue tupo wangapi tufaidi keki na pilau yetu ya taifa

Hata kama tukihesabiwa wataendelia kufaidi hao hao wachache tu
 
Serikali haipo makini kwahili kama vile hawakujua kama kutakuwa na sensa?
Navyoandika hapa bado masaa mawili sensa ianze lakini makarani watakaohesabu watu mpaka sasa hawajalipwa hela yao mfano hai ni makarani wa ilala kituo cha buguruni zaidi ya makarani 100 hawajalipwa posho yao kama walivyo ahidiwa.

Alafu uniambie wamekuja na data sahihi, pia kwani budget waliyoitenga kwaajili ya sensa iliishia wapi?
 
Kwanini serikali isingeongeza muda wa kutosha kwaajili ya kuwaelimisha hawa wanaoipinga sensa?
 
Somo la sensa limeeleweka na hakuna haja ya kusogeza mbele zoezi hili muhimu kwa maendeleo ya watanzania bila kujali dini au kabila:

video kwa hisani ya itv tanzania youtube
 
Last edited by a moderator:
Dongobeshi tunalazimishwa kuhesabiwa, hivi kwani ni lazima tuhesabiwe? Kama mtu akiwa hataki kuhesabiwa hukumu yake nini?
 
Serikali imebaki kuwa ya kutumia mabavu tu!

Nashangaa kwa nini concerns za wananchi hao wasiotaka kuhesabiwa zisijibiwe kwa uwazi kuwa ni kwa nini zisifanyiwe kazi.

Japo nitawashangaa zaidi wale watakaofanyia fujo makarani wa sensa, wanaojitafutia mkate wao kwa ajira ya serikali. Hawana tofauti na wewe unapokaa kutoza kodi kubwa ya tra kama ulivyoagizwa, halafu wateja wakudungue mawe kisa tu kodi ni kubwa. Tuwe wastaarabu, hasira zetu tuzielekeze inapopashwa.
Sikuelewi kabisa unapotetea upu-mba-vu unaofanywa na baadhi ya waumini wa kiislamu na mashekhe wao. Eti kwa nini serikali isishughulikie concerns!!!!!! Serikali gani hiyo ipoteze muda wake kushughulikia concerns hizo za ki-ji-nga zisizo na kichwa wala miguu!!!? Na je, wakati wa Mkapa wangediriki kusema hivyo au ni kwa sababu wameona utawala wa sasa unaendekeza mambo ya namna hiyo ndiyo wameamua kufanya hivyo!! Binafsi naunga mkono hatua zote zinazochukuliwa na serikali kwa kutumia jeshi la polisi.
 
Dah! Kichwa cha habari hii kilikuwa: Serikali yawaangukia Waislamu sasa naona kimechakachuliwa kiaina!!!! Kazi kweli kweli!!! huu ni usanii wa hali ya juu kuweka kichwa cha habari (wanaotaka-kugomea-sensa-wanayo-hoja-sidhani) ambacho hakihusiani na habari husika.
 
Kweli nchi imeoza maana kama takwimu zilikosewa takwimu ambazo ziko accurate ni zipi kama zipo? Kama hakuna je Serikali ina mpango gani katika kuhakikisha inapata takwimu ambazo ziko accurate?
Nchi haijaoza hatuna Viongozi wa kuiongoza Nchi. Viongozi wa Siasa Wanatumia kila mbinu kuwagombanisha Wananchi ili wapate kusahau yale wanayoyafanya viongozi wa Siasa wizi,ulaji rushwa na Ufisadi.sisi kazi yetu wananchi ikiwa wewe ni Muislam kumlaumu ndugu yako Mkristo Udini ndio unaotusumbuwa WaTanzania hatuangalii nini kinachofanywa na

Viongozi wao wa Serikali kazi yetu ipo sisi Wananchi kushindana na mambo ya Udini tutaendelea kweli jamani? Viongozi wanastarehe tunabaki sisi walala hoi kushindana na mambo ya Udini tutakuwa mpaka lini sisi Wananchi na huu Ujinga? Tuamkeni tuwe kitu kimoja tujenge nchi yetu sio kushindana na mambo ya udini BAK
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sikubaliani nawewe kuhusu kipengele cha dini kuingizwa kwenye sensa. Watu ni watu bila dini wa rangi. Na katika serikali kupanga maendeleo na matokeo ya maendeleo hayata nufaisha mtu mmoja wala dini fulani. Tunapanga kama nchi ya watu wamoja.
Ewe nyinyi watu waislam msilete udini wenu katika misingi ya umoja na mshikamano.
Kingine tena nakuomba ufunge mdomo wako huo usio na haya wala Shukrani.
Umoja na uhuru wa tanzania haukuletwa na Nyerere pekee palikuwa wazee wakiislam ambao kwa nguvu ya pamoja kuongozwa na Mwl waliiletea nchii hii amani na uhuru.
Huwezi kumtukana Mwal Nyerere kana kwamba alikuea adui wa uislam sio kweli.
Katika nchi kama zetu zenye watu mama ninyi wenye ukungu wa kufikiri, "closed mind set"ndio mtatuletea balaa.
Lakini napenda kutoa rai yangu tu. Kwamba hamtoweza kuleta agenda zenu na tutawamaliza mmoja baada ya mwingine.
 
Kama kipengere cha Hakikuwepo ktk Sensa zilizopita,je hao Tbc wao Takwimu walizipata wap?lzma kuwe na jambo,WAISLAM KAZENI BUTI,HAPO KUHESABIWA NO!
 
Sikuelewi kabisa unapotetea upu-mba-vu unaofanywa na baadhi ya waumini wa kiislamu na mashekhe wao. Eti kwa nini serikali isishughulikie concerns!!!!!! Serikali gani hiyo ipoteze muda wake kushughulikia concerns hizo za ki-ji-nga zisizo na kichwa wala miguu!!!? Na je, wakati wa Mkapa wangediriki kusema hivyo au ni kwa sababu wameona utawala wa sasa unaendekeza mambo ya namna hiyo ndiyo wameamua kufanya hivyo!! Binafsi naunga mkono hatua zote zinazochukuliwa na serikali kwa kutumia jeshi la polisi.

Tumia akili kufikiria na sio viungo vingind vya mwili,mkapa si ndiye rais aliye uwa waislam mwembe chai na znz
 
Sikubaliani nawewe kuhusu kipengele cha dini kuingizwa kwenye sensa. Watu ni watu bila dini wa rangi. Na katika serikali kupanga maendeleo na matokeo ya maendeleo hayata nufaisha mtu mmoja wala dini fulani. Tunapanga kama nchi ya watu wamoja.
Ewe nyinyi watu waislam msilete udini wenu katika misingi ya umoja na mshikamano.
Kingine tena nakuomba ufunge mdomo wako huo usio na haya wala Shukrani.
Umoja na uhuru wa tanzania haukuletwa na Nyerere pekee palikuwa wazee wakiislam ambao kwa nguvu ya pamoja kuongozwa na Mwl waliiletea nchii hii amani na uhuru.
Huwezi kumtukana Mwal Nyerere kana kwamba alikuea adui wa uislam sio kweli.
Katika nchi kama zetu zenye watu mama ninyi wenye ukungu wa kufikiri, "closed mind set"ndio mtatuletea balaa.
Lakini napenda kutoa rai yangu tu. Kwamba hamtoweza kuleta agenda zenu na tutawamaliza mmoja baada ya mwingine.

Hebu jaribuni tuone kama mnaweza.Waislam wana hoja zamsingi je serikali imewapa nafasi ya kuwasikiliza?
 
Sikubaliani nawewe kuhusu kipengele cha dini kuingizwa kwenye sensa. Watu ni watu bila dini wa rangi. Na katika serikali kupanga maendeleo na matokeo ya maendeleo hayata nufaisha mtu mmoja wala dini fulani. Tunapanga kama nchi ya watu wamoja.
Ewe nyinyi watu waislam msilete udini wenu katika misingi ya umoja na mshikamano.
Kingine tena nakuomba ufunge mdomo wako huo usio na haya wala Shukrani.
Umoja na uhuru wa tanzania haukuletwa na Nyerere pekee palikuwa wazee wakiislam ambao kwa nguvu ya pamoja kuongozwa na Mwl waliiletea nchii hii amani na uhuru.
Huwezi kumtukana Mwal Nyerere kana kwamba alikuea adui wa uislam sio kweli.
Katika nchi kama zetu zenye watu mama ninyi wenye ukungu wa kufikiri, "closed mind set"ndio mtatuletea balaa.
Lakini napenda kutoa rai yangu tu. Kwamba hamtoweza kuleta agenda zenu na tutawamaliza mmoja baada ya mwingine.

Tatizo lenu wakristo nchi hii mnajuwa ni mali yenu wakati sio kweli,nyerere amewapa madaraka kwa upendeleo
 
Sikuelewi kabisa unapotetea upu-mba-vu unaofanywa na baadhi ya waumini wa kiislamu na mashekhe wao. Eti kwa nini serikali isishughulikie concerns!!!!!! Serikali gani hiyo ipoteze muda wake kushughulikia concerns hizo za ki-ji-nga zisizo na kichwa wala miguu!!!? Na je, wakati wa Mkapa wangediriki kusema hivyo au ni kwa sababu wameona utawala wa sasa unaendekeza mambo ya namna hiyo ndiyo wameamua kufanya hivyo!! Binafsi naunga mkono hatua zote zinazochukuliwa na serikali kwa kutumia jeshi la polisi.

Hoja inajibiwa na hoja. Kama ni mtu wa public speaking, utajua haipaswi kunyamazia ama kukwepa swali gumu wala la kipuuzi. Msimamo wa serikali ulipaswa kuongelewa kinagaubaga.
kama ungekuwa makini ungegundua nimesema pia siwaungi mkono wanaopanga kushambulia makarani wa sensa. Kama umefanya uamuzi wa kutohesabiwa, waache wanaohesabika wahesabiwa, period. Its a free country!
 
Na leo ndio wanakamilisha hasara ya mabilioni ya pesa za watz. Kwa uzembe wao,binafsi sihesabiwi nipo ufukwe napunga upepo
 
Na leo ndio wanakamilisha hasara ya mabilioni ya pesa za watz. Kwa uzembe wao naserikali yao dhaifu,binafsi sihesabiwi nipo ufukwe napunga upepo
 
Back
Top Bottom