kila muislamu atakayekubali mpango wa kugoma sensa ifikapo agosti 26 atakuwa ameshiriki kuhujumu mipango ya maendeleo ya awamu ya nne inayoongozwa na rais jakaya kikwete.
Serikali ikishindwa kufikia mipango yake ya maendeleo wapo watakaosema ni "mfumo kristo" au itaelezwa kwamba ni mkakati wa upinzani kwani tunapenda majibu mepesi/marahisi yasiyo na vielelezo.
Msukumo wa kugomea sensa una mantiki moja tu nzito, kumwangusha jk.
kwanini wakiristo wamejiingiza sana kuhusu hili? Wao si wanapata tayari gawio lao la mapesa ya umma kupitia mkataba wa mou?
Angekuwa ni Julius Nyerere au Benjamin MKAPA ungesemaje?
Ni wakati gani baada ya uhuru serikali imepanga maendeleo yake kufuatilia sensa?Kila muislamu atakayekubali mpango wa kugoma sensa ifikapo Agosti 26 atakuwa ameshiriki kuhujumu mipango ya maendeleo ya awamu ya nne inayoongozwa na Rais Jakaya Kikwete.
serikali ikishindwa kufikia mipango yake ya maendeleo wapo watakaosema ni "mfumo kristo" au itaelezwa kwamba ni mkakati wa upinzani kwani tunapenda majibu mepesi/marahisi yasiyo na vielelezo.
kwanini wakiristo wamejiingiza sana kuhusu hili? Wao si wanapata tayari gawio lao la mapesa ya umma kupitia mkataba wa mou?
Ni wakati gani baada ya uhuru serikali imepanga maendeleo yake kufuatilia sensa?
Kama ni hivyo basi Tanga tayari imeshakwamishwa kimaendeleo kwa sababu sensa iliyofanyika 1988 wakazi wa Tanga ni millioni 1.5, sensa iliyofanyika miaka 14 baadae 2002 inaonyesha idadi ileile kuwa wakazi wa Tanga ni milioni 1.5!!
Maajabu ya Tanga hayo! lakini mikoa yenye Wakristo wengi idadi yao inaongezeka kila sensa inapofanyika!
Sensa is not for us!
lowasa alimuhujumurais wetu ally hassan mwinyi ndiye mwasisi wa mou mwaka 1992 na bado yuko hai anaweza kusaidia kutupa jibu.
Mkataba huu ulijitokeza baada ya serikali yake na hata ya mwalimu kushindwa kupeleka huduma za afya na shule (vyuo) kwa wananchi na kuliomba kanisa kutumia baadhi ya mahospitali yake na shule kwa ahadi ya kuzipa ruzuku asilimia 40 na asilimia 60 zinatolewa na kanisa.
Japo wazo hili lilikuwa zuri tulitegemea kwamba badala ya serikali kuegemea au kutegemea huduma ya kanisa milele ingejenga mahospitali na mashule (vyuo) vyake ili kuachana na kifungo cha mkataba huo.
au mnaogopa waislam wakionekana wapo wengi huku wakiristo ndio waliotufisha hapa kwenye umaskini kwa kupeana vyeo makazini?
Kupeana vyeo!? Tukitaka kupata ukweli wa hili jambo inabidi tuangalie sekta binafsi-ambako waajiri wanatafuta zaidi faida na hivyo kuajiri mtu anayeweza kuzalisha zaid na zaidi. Tuende kwenye kampuni kama Vodacom, PWC, Airtel,Tigo etc. Halafu tutafakari takwimu tutakazozipata!au mnaogopa waislam wakionekana wapo wengi huku wakiristo ndio waliotufisha hapa kwenye umaskini kwa kupeana vyeo makazini?
lowasa alimuhujumu
Labda wanahama hama, au walikufa kwa rate kubwa kuliko kuzaliana, au walikataa kuhesabiwa kama waumini fulani wanavyotaka kukataa !... sensa iliyofanyika 1988 wakazi wa Tanga ni millioni 1.5, sensa iliyofanyika miaka 14 baadae 2002 inaonyesha idadi ileile kuwa wakazi wa Tanga ni milioni 1.5!!
...