Kwa hili lazima kieleweke
au mnaogopa waislam wakionekana wapo wengi huku wakiristo ndio waliotufisha hapa kwenye umaskini kwa kupeana vyeo makazini?
Unataka kutuambia kuwa faida inayopatikana katika Mahospitali na Mashule ya vyuo zinaingia wapi kama si Kanisani?Fedha za MOU haziingii kanisani bali serikali inalipa moja kwa moja kwenye huduma husika kama vile mishahara ya walimu na madaktari wanatibu wananchi bila kujali dini zao bila kusahau madawa.
Rekodi zinaonyesha kuwa kwa kipindi cha miaka mitatu tu 2008-2011 Serikali ilitoa bilioni 331 kuyapa Makanisa (kumbuka kuwa mkataba ulifungwa 1992) fikiria pesa ambazo Serikali imezipatia Makanisa toka 1992 ingeweza kujenga Mahospitali na Mashule mangapi ambayo raia wa kawaida wangekuwa na uwezo wa kumudu gharama zake?Luiza Gama said:serikali ikijitoa kutoa ruzuku haina tatizo bali huduma za afya zitapanda bei na mashule ya kanisa inawezekana hayatapokea wanafunzi wa imani zote
Wangepungua idadi, lakini kuwa sawa ileile?!Opaque said:Labda wanahama hama, au walikufa kwa rate kubwa kuliko kuzaliana, au walikataa kuhesabiwa kama waumini fulani wanavyotaka kukataa !
walipanda wenyewe, watavuna wenyewe.
Nafikiri kuna kila sababu katika kugoma. Kama mtu anahisi kuonewa lazima apiganie haki yake.
Kwamfano kama NECTA inawaonea kundi flani, kwanini wasigomee national examinations? Yani Form IV exam wasitokee!
Unataka kutuambia kuwa faida inayopatikana katika Mahospitali na Mashule ya vyuo zinaingia wapi kama si Kanisani?Rekodi zinaonyesha kuwa kwa kipindi cha miaka mitatu tu 2008-2011 Serikali ilitoa bilioni 331 kuyapa Makanisa (kumbuka kuwa mkataba ulifungwa 1992) fikiria pesa ambazo Serikali imezipatia Makanisa toka 1992 ingeweza kujenga Mahospitali na Mashule mangapi ambayo raia wa kawaida wangekuwa na uwezo wa kumudu gharama zake?
Aidha Serikali ijitoe haraka au taasisi nyingine za kidini nazo zipewe fursa sawa na Kanisa, vinginevyo nchi igawanywe.Wangepungua idadi, lakini kuwa sawa ileile?!
Mkuu! hili la sensa hata Wakristo wa "vijiweni" wanakiri kuwa sasa wanawaelewa Waislamu zaidi wakati wakisema wanahujumiwa.
hahahahahaa!!!!!Unataka kutuambia kuwa faida inayopatikana katika Mahospitali na Mashule ya vyuo zinaingia wapi kama si Kanisani?Rekodi zinaonyesha kuwa kwa kipindi cha miaka mitatu tu 2008-2011 Serikali ilitoa bilioni 331 kuyapa Makanisa (kumbuka kuwa mkataba ulifungwa 1992) fikiria pesa ambazo Serikali imezipatia Makanisa toka 1992 ingeweza kujenga Mahospitali na Mashule mangapi ambayo raia wa kawaida wangekuwa na uwezo wa kumudu gharama zake?
Aidha Serikali ijitoe haraka au taasisi nyingine za kidini nazo zipewe fursa sawa na Kanisa, vinginevyo nchi igawanywe.Wangepungua idadi, lakini kuwa sawa ileile?!
Mkuu! hili la sensa hata Wakristo wa "vijiweni" wanakiri kuwa sasa wanawaelewa Waislamu zaidi wakati wakisema wanahujumiwa.
Kila muislamu atakayekubali mpango wa kugoma sensa ifikapo Agosti 26 atakuwa ameshiriki kuhujumu mipango ya maendeleo ya awamu ya nne inayoongozwa na Rais Jakaya Kikwete.
serikali ikishindwa kufikia mipango yake ya maendeleo wapo watakaosema ni "mfumo kristo" au itaelezwa kwamba ni mkakati wa upinzani kwani tunapenda majibu mepesi/marahisi yasiyo na vielelezo.
Msukumo wa kugomea sensa una mantiki moja tu nzito, kumwangusha JK.
Hii yako ni mpya! kwa sababu kuna ripoti kuwa Ndalichako amekataa kumuajiri mtaalamu wa Islamic Knowledge na lugha ya Kiarabu huku akimuajiri Mchungaji kwa ajili ya somo la Bible Knowledge.Tunachanganya mambo,
Kilichotokea NECTA kwenye Islamic Knowledge ni kupata wataalamu wa kiislamu wa kusahihisha ambapo majibu yaliyoteuliwa yalishindwa kukidhi hadhi ya uelewa wa masheikh kwenye somo hilo. NECTA Wanasema Bible knowlege iko rahisi kusasahisha ikilinganishwa na Islamic knowledge ambayo majibu yake hayako straight. imekubalika kwamba kutokana na mchanganyiko huo na hasa kuondoa dosari hiyo miaka ijayo watachukuliwa Masheikh kwenda kuhakiki matokeo ya Islamic Knowledge. Hivyo, matokeo yalisahihishwa upya.
Sijui ulikuwa wapi wakati wa Waislamu walipoomba uhakiki wa masomo yote ufanyike, Wizara au Baraza likaunda tume na tume imeshafikisha ripoti yake Wizarani, lakini Wizara ipo kimya!KAZIMOTO said:Kama malalamiko yangekuwa kwa masomo yote ni kwa nini Masheik waliokwenda kufanya marudio ya Islamic knowledge hawakuomba kurudia masomo yote? kazi hii pia inaweza kufanywa na mlalamikaji ( mwanafunzi) au shule aliyosoma mwanafunzi inaweza kulalamika na kuomba rufaa.
Kama kuna kundi lingine halikuafiki matokeo ya masomo mengine lina nafasi ya kwenda NECTA na kusahihisha upya. Kulalamika nje ya NECTA haitaweza kutupa jibu sahihi itaonekana ni kuleta fujo kwani nafasi ya kukata rufaa iko wazi kama ilivyofanyika kwa somo la Isalmic knowledge
Tuwekee hiyo article na sisi tujionee.hahahahahaa!!!!!
Umenikumbusha nimesoma article moja kwenye gazeti la Al Nuru kuhusu NECTA na waziri wa Elimu..........duh....mwandishi amerudia maneno..."habari zilizopo MITAANI......maneno yaliyosemwa na kisikika MITAANI....habari zilizozagaa MITAANI....." nikagundua kumbe tunaongelea habari za mitaani.....na itaani ndo wapi huko??
Naona na wewe unarudia mambo ya VIJIWENI na MITAANI.
:focus:
Tunamuangusha mwenzetu jamani.
kwa hakika sensa ikisema tuko milioni 25 wakati tuko milioni 45 baada ya mkakati wa kugoma, Jk hataweza kufikia malengo yake kwa takwimu bandia
au mnaogopa waislam wakionekana wapo wengi huku wakiristo ndio waliotufisha hapa kwenye umaskini kwa kupeana vyeo makazini?
au mnaogopa waislam wakionekana wapo wengi huku wakiristo ndio waliotufisha hapa kwenye umaskini kwa kupeana vyeo makazini?
Tuwekee hiyo article na sisi tujionee.
Hizi takwimu za nani ni wengi ndizo zinaleta matatizo kila pembe ya nchi yetu. Hakuna sensa iliwahi kuhesabu watanzania kwa dini zao, wingi unatoka wapi?
Nguvu za kiuchumi popote duniani hazitokani ni nani wengi bali ni kundi lipi lina elimu na maarifa, kwa mfano, Israel ni nchi ndogo na watu wake ni wachache kuliko Tanzania lakini ni taifa lenye nguvu duniani kiuchumi na kisayansi. Mataifa ya waarabu pamoja na wingi wao wanapata tabu kila kukicha kuingamiza Israel.
angalia maendeleo ya wachaga dhidi ya makabila makubwa kama wasukuma.
itasaidia nini?au mnaogopa waislam wakionekana wapo wengi huku wakiristo ndio waliotufisha hapa kwenye umaskini kwa kupeana vyeo makazini?
au mnaogopa waislam wakionekana wapo wengi huku wakiristo ndio waliotufisha hapa kwenye umaskini kwa kupeana vyeo makazini?