Jaribio la kugomea Sensa: Mwitikio wa Serikali

Funguka kidogo katika utafiti wako, kufuatana na source yako kati ya mwaka 1988 mpaka 2002 wamezidi watu 356018, watu hawa wametoka wapi? jibu tunalipata katika link hiyohiyo:
The high rate of population growth in Handeni district during this period is due to the increase of inward-migrants from other Regions including Arusha and Kilimanjaro".
Soma hii uniambie kama huyu mwandishi ana source yoyote zaidi ya habari za mitaani!!
Vipi una chuki binafsi na mwandishi au annur nini? utamtiliaje shaka mwandishi kuwa hana source yoyote zaidi ya mitaani wakati kuna habari ya wanafunzi "20 bora" source yake ikiwa ni bunge?!
Kuhusu habari za mitaani unataka kuniambia kuwa katika taaluma ya uandishi wa habari mwandishi haruhusiwi kuripoti tukio au matukio ya mtaani? tafadhali nijuze.

 

nimefurahi sana uliponyimwa kazi sababu hujajistiri .. no offense ..
 
Angekuwa ni Julius Nyerere au Benjamin MKAPA ungesemaje?

Angetupa chuo cha Tanesco, Huyu ndugu yetu kashindwa hata kutupatia Kadhi Mkuu. Hatuna sababu ya kumwonea huruma. liwalo na liwe, huyu ni kafiri tu, kasomea huko huko seminari
 
Mimi nataka kuona hiyo sensa bila waislamu,si mmeona ule umati wa mwembe yanga kwenye swala ya iddi na nurdin kishk jinsi anavyokubalika na waislam wengi,mhhh! cjui ngoja tuone
 
p
mwaka 2008 hadi mwaka 2011 unasema kanisa lilipewa bilioni 331 rais akiwa mwisilamu jk huoni anatakiwa kuwapa jibu waislamu? labda kaona bado waislamu hawaombi kama alivyowahi kusema
 

waziri ni Muislam, Naibu wake ni muislamu, katibu mkuu ni muislam,Lakini bado tu haturidhiki hadi siku tutakapohakikisha taifa zima ni la kiislamu. Hata nyama akichinja ambaye sio mwislama hatuli. hata kipindi cha mwezi mtukufu tulitaka ipitishwe sheria mtu asile chakula mchana. Kama msipokubaliana nasi tutatumia nguvu, tunaanzia zanzibar, kwa kutumia msaada wa Alshabaab na boko kharam tutawatawala tu
 
mwaka 2008 hadi mwaka 2011 unasema kanisa lilipewa bilioni 331 rais akiwa mwisilamu jk huoni anatakiwa kuwapa jibu waislamu? labda kaona bado waislamu hawaombi kama alivyowahi kusema
Na mkataba wenyewe ulifungwa rais akiwa Muislamu, Mwembechai Waislamu waliuliwa huku Mkuu wa mkoa Muislamu akiyabariki mauaji, unafikiri tatizo liko wapi hapo?
 
hapana unakosea dini ni kutoka kwa Allah siyo wazungu wala waarabu.
 
waambie hao. hivi wanajua kuwa kila ijumaa tunapewa vipeperushi vya kukataa kuhesabiwa? kwa taarifa yao hatuhesabiwi kwanza tumeshaambiwa kuhesabiwa ni haramu hivyo hatudanganyiki na hatuwezi kuwaangusha mashekhe wetu. msimamo ni ule ule
 
Angetupa chuo cha Tanesco, Huyu ndugu yetu kashindwa hata kutupatia Kadhi Mkuu. Hatuna sababu ya kumwonea huruma. liwalo na liwe, huyu ni kafiri tu, kasomea huko huko seminari

Mbona mnapenda vya kupewa tu? Mwaka Jana wakati wa eid alisema nani aliyewanyima MOU??? Jengeni hospitali NA Shule Nanyi mpate MOU, sijui tangu kauli ile Shule NA hospitali ngapi zimejengwa???? Tujadili maendeleo , sio KULALAMIKA tu, NA tumalize magomvi ya nyumba ZA wakfu akili itarudi tujenge Shule NA hospitali then tutapata MOU, TUSISUBIRI VYA KUPEWA
 
Hapa naona hakuna cha maana kinachojadiliwa zaidi ya udini.
 

Ndugu yangu unajisumbua ku defend Mfumo Kristo, Tunajua hao waislamu waliopewa vyeo kwa ujumla wao hawazidi 20%, tunafahamu pia wakristo walilaamika sana baada ya viongozi walioteuliwa kukaribia 30%, ndipo alipopambwa padri Slaa kwenye uchaguzi uliopita maana kikwete akaonekana anataka kausawa fulani ambako hakatakiwi na kanisa, wakristo ni km mtt wa mwisho kazoea kupendelewa, siku asipopendelewa atabwaka km mbwa, Mtikila unakumbuka alibwata nini? usidanganye watu hapa, makanisa mnajichoma wenyewe, hakuna mwenye mpango wa kuchoma kanisa, 4 what? hizo ni inside job zenu, wale hawataki muungano wenu, na cdm hamtaki waacheni. Shule waislamu ni amri, lakn kundi la kanisa linakaa na karatasi za waislamu 2wks za nini, undeni tume mliyolalamikiwa 10yrs back kama ninyi ni watenda haki, baada ya ubaguzi wa elimu ktk ukoloni kilichofuata ni mfumo kristo ulipelekea viongozi wote wa Necta tokea ianzishwe wakaaw ni walei wa kanisa
 

Hizo ndizo propaganda za misamaha ya kodi kwa taasisi za dini wakati taasisi ya Kiislam kupata msamaha wa kodi hadi kijasho nchembamba kitoke, taasisi za kikristo hata kwa simu. Unafikiri hata hizo hospitali na shule chache za waislamu wamepewa ngapi. Wakristo walirudishiwa vyao, waislamu hawakurudishiwa wakaambiwa jengeni! what injustice! tunaseme sio jengeni, serikali iache kupeleka fedha kwenye taasisi hizo,ijenge hospitali zake tumechoka kutibiwa kwa gharama kubwa kutoka kwenye hospitali zenu zenye misalaba na masanamu kila kona, we are tired
 
Na mkataba wenyewe ulifungwa rais akiwa Muislamu, Mwembechai Waislamu waliuliwa huku Mkuu wa mkoa Muislamu akiyabariki mauaji, unafikiri tatizo liko wapi hapo?

Raisi alikuwa muislamu akizungukwa na kundi kubwa la wakriso ndani ya Mfumo kristo atafanya nini?, Makamba wkt wa mwembechai kapokea amri kutoka kwa padr, Kikwete kanukuu maneno ya padr kuhusu kuanzishwa kwa kadhi . Alivyotaka kutumia akili zake kuongoza nchi akaambiwa na mapadr kupitia cdm na padr slaa nchi haitatawalika, akaufyata mkia na kuongeza dau la fedha kupeleka kanisani
 
au mnaogopa waislam wakionekana wapo wengi huku wakiristo ndio waliotufisha hapa kwenye umaskini kwa kupeana vyeo makazini?

Tatizo ni kwamba sisi tunajua waislamu siyo wengi. Kikwete hataki hilo lijulikane kwa wafuasi wake ambao wengi ni Waislamu. Hivi sensa ikibainisha kuwa Waislamu ni 35% na Wakristo 52% itakuweje? Waislamu watagoma wakisema mfumo kristo umechakachua. Hilo ndilo tatizo linalomkabili Kikwete.
 

Waislamu ndani ya mfumo kristo? Malima kilichomkuta MoE unakijua? nitajie kiongozi wa NECTA muislamu aliyepita tokea baraza lianzishwe, Kwa nini wasifanyi uchunguzi 10yrs back ambao waislamiu wameomba na kuanika matokeo hadharani?
 
kwa hakika sensa ikisema tuko milioni 25 wakati tuko milioni 45 baada ya mkakati wa kugoma, Jk hataweza kufikia malengo yake kwa takwimu bandia

Unakosea kufikiria hivyo.takwimu za sensa hii na tafsiri yake kwa ujumla zitatoka mwaka 2013 wakati Rais KIKWETE anakaribia kumaliza muda wake.takwimu hizi zitakuwa na faida for the next 10 years bila kujali nani yupo madarakani.SENSA ni kwa faida ya NCHI KWA UJUMLA WAKE NA SIYO KWA KIKWETE.yeyote anae gomea sensa ni msaliti na ni mhujumu wa masilahi ya NCHI.ni kama mtu anae gomea kutibiwa ugonjwa hatari kwani kwa kufanya hivyo anaweza kuambukiza watu wengine.
 
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading, width: 100%"]Makarani 800 wagoma kula kiapo cha Sensa [/TD]
[TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: createdate"] Tuesday, 21 August 2012 21:01 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Waandishi Wetu
Mwananchi


MAANDALIZI ya Sensa ya Watu na Makazi inayotarajiwa kufanyika Agosti 26, mwaka huu yameingia dosari baada ya matukio kadhaa ya kukwamisha kazi hiyo kujitokeza katika mikoa mbalimbali, ukiwamo Dar es Salaam ambako zaidi ya makarani 800 wamegoma kula kiapo cha utii na kutunza siri.
Habari zilizopatikana jana zimeeleza kuwa mbali na makarani hao, vipeperushi vyenye ujumbe wa kutaka watu wagomee Sensa vimesambazwa mkoani Arusha, huku mkoani Tanga kukiwa na tukio la Sheikh mmoja kutiwa mbaroni kwa kusambaza vipeperushi vya aina hiyo.

Mgomo wa makarani
Makarani hao waligoma jana ikiwa ni siku yao ya mwisho ya mafunzo ya kazi ya kuhesabu watu na makazi. Makarani hao kutoka vituo mbalimbali kulikotolewa mafunzo hayo, walisema wameamua kugomea kiapo hicho kutokana na fedha zilizotengwa kwa ajili ya malipo ya kazi hiyo kuchakachuliwa kinyume na makubaliano.

Baadhi ya vituo ambavyo makarani wake wamegoma ni Shule ya Sekondari Makumbusho, Kambangwa, Shule ya Msingi Zawadi na vituo kadhaa vilivyopo maeneo ya Buguruni na Kawe.Baadhi ya makarani hao walionekana wakiwa katika makundi, muda ambao walipaswa kuendelea na mafunzo yao kabla ya kula kiapo cha kushiriki Sensa kwa uaminifu na ukamilifu.Baadhi ya makarani ambao waliomba majina yao yasitajwe gazetini, walisema imekiuka makubaliano ya awali.

"Serikali imesema imetenga Sh141 bilioni kwa ajili ya Sensa. Sisi tayari tuliingia makubaliano nayo kwamba tunatakiwa kulipwa Sh35,000 kwa siku, kwa muda wa siku saba jambo ambalo limegeuka na kuwa kinyume."


"Ukipiga mahesabu fedha ambazo tungetakiwa kulipwa kwa siku hizo saba ni Sh245,000 lakini wao wamekuja hapa na kutupa Sh140,000 tu. Hatuwezi kuendelea na kazi mpaka tulipwe fedha zetu."

Karani mmoja katika Kituo cha Sekondari ya Kambangwa, alisema wameamua kugomea kiapo baada ya kuona kuwa mpaka mafunzo yanahitimishwa jana, baadhi yao hawajalipwa chochote.

RC Dar:Watalipwa
Akizungumzia madai ya makarani hao, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki alisema mpaka jana mchana makarani wote walipaswa kulipwa awamu ya pili ya fedha zao. Alisema awamu ya kwanza ya malipo hayo ilifanywa katika siku tano za mwanzo. "Kuna watu wamejichomeka katika zoezi hili, lakini kama kweli karani ameteuliwa lazima atalipwa pesa zake na kama imetokea amesahaulika basi afanye mawasiliano na mratibu wa Sensa wilaya anayotoka ili alipwe," alisema.

Sheikh mbaroni
Katika hatua nyingine Sheikh Juma Koosa (52) anashikiliwa na polisi wilayani Morogoro akituhumiwa kutumia kipaza sauti kuwatangazia wananchi wasishiriki Sensa.

Sheikh huyo ambaye pia ni mwanafunzi wa mwaka wa pili wa Chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro, alikamatwa Agosti 19 mwaka huu alipokuwa kwenye Msikiti wa Miembeni, Mazinde mara baada ya kukaribishwa na wenyeji wake kuzungumza.Imedaiwa kuwa Koosa alitoa kitabu chenye kueleza sababu za kuwakataza Waislamu kutokushiriki Sensa mwaka huu.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Constantine Massawe alisema Sheikh huyo pia alikutwa na nakala 15 za kitabu hicho.Alisema alikamatwa kutokana na taarifa za baadhi ya waumini ambao walichanganywa na taarifa za mgeni huyo... "Baadhi ya waumini walikubaliana naye huku wengine wakimpinga. Hivyo mtafaruku ukajitokeza na ndipo wale waliopinga wakawasiliana na polisi ambao walifika na kumkamata."

Baada ya kukamatwa alipelekwa Kituo cha Polisi Mombo kwa mahojiano zaidi na kuhamishiwa Makao Makuu ya Polisi Wilaya ya Korogwe, baada ya kuwapo kwa dalili za baadhi ya waumini kuandamana kupinga hatua hiyo.Alisema, mtuhumiwa huyo anatarajiwa kufikishwa mahakamani wakati wowote.

CWT
Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Ezekiah Oluoch amewataka walimu kutosita kudai masilahi yao kwa kuhofia Serikali kuwaondoa katika shughuli mbalimbali za kitaifa.

Oluoch alisema jana kwamba wanao ushahidi wa maandishi kuwa kuondolewa kwa baadhi ya walimu katika Sensa kumetokana na kushiriki kwao katika mgomo ulioandaliwa na CWT kwa lengo la kudai masilahi yao sekta nzima ya elimu nchini.

Alisema CWT bado ipo katika mchakato wa kukusanya takwimu kwa wanachama wake waliotolewa katika Sensa nchi nzima na imebaini kuwa Serikali imefanya hivyo kama njia ya kuwakomoa.

"Tumepata ushahidi unaoonyesha kuwa walimu wamekatwa kwenye zoezi la Sensa kutokana na kushiriki mgomo" alisema na kuongeza kuwa hatua hiyo haitarudisha juhudi za walimu za kudai masilahi yao kwani madai yao ni muhimu.

Habari hii imeandikwa na Mashaka Kibaya, Korogwe, Aidan Mhando, Fidelis Butahe na Elizabeth Edward


[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…