Jaribio la kugomea Sensa: Mwitikio wa Serikali

Jaribio la kugomea Sensa: Mwitikio wa Serikali

Unakosea kufikiria hivyo.takwimu za sensa hii na tafsiri yake kwa ujumla zitatoka mwaka 2013 wakati Rais KIKWETE anakaribia kumaliza muda wake.takwimu hizi zitakuwa na faida for the next 10 years bila kujali nani yupo madarakani.SENSA ni kwa faida ya NCHI KWA UJUMLA WAKE NA SIYO KWA KIKWETE.yeyote anae gomea sensa ni msaliti na ni mhujumu wa masilahi ya NCHI.ni kama mtu anae gomea kutibiwa ugonjwa hatari kwani kwa kufanya hivyo anaweza kuambukiza watu wengine.

matokeo ya sensa yatatumika na Jk kwa miaka 3 kwa mipango ya maendeleo si miaka michache lakini kumbuka mipango ya JK inaendelea kipindi kinachofuata ambapo mrithi wake akikuta mipango imeshindwa kwa sababu ya kushindwa kukidhi vigezo vya idadi ya watu athari zake zinaendelea kwa miaka mingi. Umasikini wa Tanzania haukuanza kwa siku moja.
 
bakwata na makafiri...!
Wanaomuomba bikra maria mama wa mungu awasamehe zambi zaoo..!
Yan kweli mtu na akili zake timamu atasimama pale kuliabudia sanamu alilolitengeneza yeye mwenyewe na kulipa jina kua huyu ni mungu yesu na huyu ni mama yake na mungu kisha wakalipigia magoti
how cud an ordinary man be dumb like that..!
Then wanajiita wasomi waliostaraabika..!
Huko kwa mungu kazi ipo kweli kweli...!
MKUU, nafikiri unaenda mbali kidogo.
Serikali haina dini, wananchi including majirani zako wana dini zao na imani zao.
You better respect imani hizo.

Otherwise.........:spy:
 
bakwata na makafiri...!
Wanaomuomba bikra maria mama wa mungu awasamehe zambi zaoo..!
Yan kweli mtu na akili zake timamu atasimama pale kuliabudia sanamu alilolitengeneza yeye mwenyewe na kulipa jina kua huyu ni mungu yesu na huyu ni mama yake na mungu kisha wakalipigia magoti
how cud an ordinary man be dumb like that..!
Then wanajiita wasomi waliostaraabika..!
Huko kwa mungu kazi ipo kweli kweli...!

hata bibilia imekataza kuabudu sanamu hakuna mkristo anayeabudu sanamu ni wewe tu umeaminishwa vitu vya uongo. Picha unazoziona kanisani ni mapambo tu yanayotoa elimu kwa njia ya picha ili ujumbe uweze kumfikia mlengwa. Elimu inaweza kutolewa kwa njia ya sanaa ili iweze kueleweka. hakuna kanisa linalotoa mafunzo kwamba sanamu hiyo ndio maria mwenyewe kama ambavyo shetani anavyochorwa akiwa na mapembe lakini wengi hatumjui shetani alivyo wala hatuwahi kukutana naye.
 
Mufti ISSA SIMBA alisema siku ya hotuba yake ya EID songea kwamba sio kazi ya serikali kuhesabu waislamu bali ni kazi ya misikiti kujua idadi ya waumini wao na akasisitiza kwamba wakianzia na songea kuhesabu na kwenda nchi nzima. Alisema waislamu wana nafasi ya kuanzisha register yao.

pia alisema ana mashaka ya suala la kuhesabu waislamu kama litafanywa na serikali ambayo baadhi ya waislamu wanasema hawana imani nayo akataka kujua inawezekana vipi kumpa kazi ya kuhesabu waislamu mtu anayeitwa serikali wakati huna imani naye?

kisha akamaliza kwa kusema, kuna Redio imeanzishwa inatukana wengine( nahisi ni redio imani ya dhehebu la answar sunna) kwani haichagua inatukana nani awe mkristo au mwislamu (bakwata). Akauliza waislamu waliokuwa wanamsikiliza kwa nini na sisi tusianzishe redio ya kuwajibu, wakaitikia ndioooooooo sawaaaaaaaaaaaa.

hawana upendo hawa hata chembe! Sijui wakoje,ni kwel hata serikal ikiwahesabu watasema wamechakachua.
 
Tushiriki kikamikifu ktk zoezi zima la sensa tuachane kulumbana sensa itaisha na bado tutabaki na dini zetu
 
Tembelea dar es salaam yote. mwingereza na mjerumani waliweza kuacha majengo ya Ikulu ambayo yanatumiwa na nchi yetu hadi leo, kanisa kama vile la St. joseph na Azania front vyote hivi vina zaidi ya miaka 100 wakati nchi ina miaka 50 ya uhuru.

Uliza sasa mwarabu aliacha nini hata msitikiti wa kisasa enzi hizo. Hapo ni rahisi tu kujua kwa nini kundi moja kihistoria liko mbele dhidi ya uislamu.
Hayo Makanisa ya St.Joseph na Azania front yalijengwa kwa pesa za nani kama si rasilimali za Watanzania wote Wakristo na Waislamu?! iweje hela ya nchi itumike kwenye kujenga Makanisa tu na sio Misikiti pia?
MoU nayo ni muendelezo uleule wa Mkoloni kutumia pesa ya nchi kulinufaisha Kanisa.Ama kweli hakukosea aliyeandika "NOT YET UHURU"
 
hata bibilia imekataza kuabudu sanamu hakuna mkristo anayeabudu sanamu ni wewe tu umeaminishwa vitu vya uongo. Picha unazoziona kanisani ni mapambo tu yanayotoa elimu kwa njia ya picha ili ujumbe uweze kumfikia mlengwa. Elimu inaweza kutolewa kwa njia ya sanaa ili iweze kueleweka. hakuna kanisa linalotoa mafunzo kwamba sanamu hiyo ndio maria mwenyewe kama ambavyo shetani anavyochorwa akiwa na mapembe lakini wengi hatumjui shetani alivyo wala hatuwahi kukutana naye.

looh maskin pole sana ndugu..!
So,immagination ya mungu wenu ndio ikachukuliwa kua awe ni mzungu mweupe
then immagination ya shetani ikachukuliwa ngozi nyeusi tena yenye kichwa cha pembe..?!!kwan nan kawaambia kua mungu ni mweupe had wajipendelee rangi yao?
Nan alibuni ile taswira sas,,
don blv everything u read n hearing
u hav to associate ur natural inborn feelngs
u have got only one life to live then u die,don sacrifice ur hereafter just for this bulshit life of the world,,
think...!think big great thinker..
 
MKUU, nafikiri unaenda mbali kidogo.
Serikali haina dini, wananchi including majirani zako wana dini zao na imani zao.
You better respect imani hizo.

Otherwise.........:spy:

am not talkin about dsirespect
am talkin about reality which most of u realize it bt u act like u don know..
 
semeni mtakavyo kwakua uhuru mnao!msimamo uko pale pale waislaamu hatuko tayari kuhesabiwa.katanueni magereza mtufunge kama tutakua tumefanya makosa.
 
semeni mtakavyo kwakua uhuru mnao!msimamo uko pale pale waislaamu hatuko tayari kuhesabiwa.katanueni magereza mtufunge kama tutakua tumefanya makosa.

Makarani wa sensa wamefundishwa mkkikataa kuhesabiwa huwa kukisia kunakubalika katika takwimu iwapo margin of error is below 5percent, na huku bara waislam tupo kama 3 percent hivyo Hata ukigoma watakisia tu na zoezi la sensa litaendelea tu, hahahah......
 
Na muislamu akinyimwa kazi kwa sababu hana vigezo, anajua kiarabu tu unalalamika?
No offence. Kuna kazi unaajiriwa kutokana na mavazi na kuna zinazohitaji vigezo.

none taken! .. yategemea na mahala ulipokwenda kuomba kazi inategemea na muajiri wako ni vigezo gani alivyoweka! wengine wanaangalia mavazi .. weingine wanaangalia dini.. wengine wanaangalia shule yako... as long as ni private company muajiri ana haki ya kuajiri mtu atakaye ridhika naye
 


ndo usilalamikie wakristo sasa,ubunafsi wa nduguzo ndo unakufanya mawazo yako yadumae umebakiza kulalamika tu.endelea kijisitili na maumivu uyapate vizuri na ukome kusingizia wakristo wakati mmetuharibia nchi imekuwa ya majambazi na walalamishi kama wewe.

OMG! ni wapi kwenye hii thread nimeanza kulalamika kuhusu wakristo..., hebu quote me nione! au yale maneno yangu kuhusu kujistiri ... does it still hurt??
:becky:.........i hope so.....lol!


 
Huwa sipendi kumjaji mtu kwa sababu ya dini yake,dini haibadilishi genetic make up ya mtu.Waisilamu ,wakristu,wapagani wote hawa wana one thing in common(wote ni watanzania).Tuwekeni maslahi ya nchi kwanza tutafanikiwa, udini ukabilia kwangu mimi mtu anayeendekeza haya namuona anahitaji msaada.Na ninautilia mashaka ufahamu wake,matatizo hayaletwi na dini matatizo tunayasababisha wenyewe.Ni kawaida wanadamu kutafuta mtu wa kumlaumu au kitu cha kutumia kama sababu ya kushindwa kwetu kufanya jambo fulani.Angalieni hata nchi za kiislamu au za kikiristu tu, je zinaishi kwa amani?Si kweli matatizo yapo siku zote,tutauana wenyewe kwa ujinga wetu.Siwezi kuwa kama wewe na wewe huwezi kuwa kama mimi,hata kwenye ndoa watu hutofautiana ijekuwa sisi.Tujifunze tubadilike,tutofautishe mawazo ya mtu na hali halisi ya mambo ilivyo(opinions and facts).Mi nimesoma na waisilam,wakristo na wapagani pia,huwa namshangaa mtu akisema watu fulani(anataja dini) ni wajinga au vilaza.Kila mtu anaujinga wake kwa sababu hakuna ajuae kila kitu.Watu ambao hujadili mambo haya wengi wao maisha yanawasumbua,mtafute mtu aliyefanikiwa utaona anamtizamo tofauti wa mambo haya.Tusiwapotoshe watu kwa kuwa na misimamo ambayo haijengi nchi kwa manufaa yetu binafisi.We have to learn to see what others are seeing instead of accusing them,you are wrong ,we are right.Wengi wetu tuko kwenye dini ambazo tumezaliwa tukawakuta wazazi wetu wanaamini,je ulishawahi kuwauliza wazazi wako kwa nini wanaamini hicho wanacho amini?Action speaks louder than words,ukitaka kumvutia mtu huko uliko kiimani siyo maneno yako bali matendo yako yatamvutia zaidi.Learn to walk the talk.
Naheshimu uhuru wa mtu wa kuabudu,watanzania wenzangu tubadilike,si vizuli kumwita mwenzako (waktristu/waisilam/wapagani) ni vilaza.Umefavya research? Au unasema kwa sababu unamdomo wa kuongea.
Tanzania kwanza,tanzania kwanza.Tanzania hatuendelei kwa sababu maslahi ya nchi ni ya mwisho,hivyo hivyo hata viongozi wetu maslahi ya chama kwanza ya nchi baadaye.Itaendelea kutucost.
Kuna vitu ambavyo huwezi kuvibadilisha na huna control navyo,kwa mfano hukuchagua uzaliwe ktk familia uliyopo sasa au katika bara ulilopo sasa,au wazazi wako wawe hao,kama zingekuwepo form za kujaza kabla ya kuzaliwa naamini ungechagua kitu tofauti.
God created us all,mwanadamu atajiangamiza mwenyewe taraatabu kutokana na matendo yake."We can choose our actions but we can not choose the consequencies of our actions".
Tufikilie kabla ya kupost vitu,impact yake,tutaelewekaje kwa wenzetu,wenzetu watajisikiaje.Be considerate.
Ni hayo tu.
 
Hawa waislamu wanalalama sana na wakati tu wapo 35% na wakristo 65%, je wao ndo wangekuwa wengi sijui ingekuwaje na hayo majini yao.
 
Na hao waislamu walioomba kazi ya sensa na kupewa watafanywa nini??? kwani nayo ni ajira ya muda mfupi.
 
semeni mtakavyo kwakua uhuru mnao!msimamo uko pale pale waislaamu hatuko tayari kuhesabiwa.katanueni magereza mtufunge kama tutakua tumefanya makosa.

Mbinu hii moja ya mambo yanayougharimu uislamu kwenye elimu. ingawa Nyerere alitaifisha shule kuna Waislamu wengine wakakataza watoto kusoma shule za kanisa eti watakutana na nguruwe, wajanja kama kikwete, Lipumba, Malima na wengine walikwenda kusoma na hatujawahi kusikia wakisema walilishwa nguruwe.
 
Mbinu hii moja ya mambo yanayougharimu uislamu kwenye elimu. ingawa Nyerere alitaifisha shule kuna Waislamu wengine wakakataza watoto kusoma shule za kanisa eti watakutana na nguruwe, wajanja kama kikwete, Lipumba, Malima na wengine walikwenda kusoma na hatujawahi kusikia wakisema walilishwa nguruwe.

Muulize Nyerere wako kwa nini alivunja EAMWS na kuunda Bakwata, muulize pia kama waislamu walibanwa tokea mkoloni na nyerere mwenyewe leo umewaona hata hao 20% na hapo ni baada ya kupitiwa na mchujo mwingine wa genge la maharamia la NECTA, angekuwa mwadilifu wasomi hao wangekua wangapi hadi sasa? Leo umeweza kuyatapika hapo juu kwa ajili ya mfumo kristo mnaojivunia, kesho baada ya kutokomezwa ndo utajua kumbe na hawa walikuwa na akili ila walibanwa!
 
Jamani Acheni Unafiki wenu, hebu semeni lile la haki. Hizi sensa zenu ni kwa manufaa ya nani hapa nchini zikiwa zina endeshwa kihuni.

Nini mnaweza kutuambia kwa hili. Sensa ya mwaka 1988 mkoa wa TANGA ulikua na watu 1,500,000 na sensa ya mwaka mwaka 2002, mkoa huohuo ulikuwa na watu haohao 1,500,000.

Jamani mnamatatizo gani mbona hamuelewi?. Mimi nadhani hii nchi inahitaji kupewa discipline. MAANA MARA EPA, ukirudisha fedha unasamehewa. Mara Meremeta, mara, TANESCO, mara SENSA. HAYA ENDEELENI KUFIKIRIA NA UPUUZI WENU. DAWA YENU IPO JIKONI NA MTAINYWA SIO YA KUPAKA.
 
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading, width: 100%"]Move fast to address census snags, say activists [/TD]
[TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: createdate"] Thursday, 23 August 2012 23:06 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
The Citizen Reporters
Dar es Salaam


Activists have warned the government that it might not get accurate data on the country's population if it does not address problems that threaten to disrupt Sunday's national census.The activists say that issues that should be addressed as a matter of urgency include enumerators' complaints about allowances.

Mr Moses Kulaba, the Executive Director of the Agenda Participation2000, said yesterday that reports from various parts of the country indicating that enumerators were yet to be paid their allowances in full for attending training seminars should be taken seriously.

"If these problems are not addressed by the relevant authorities, there is a high possibility of getting inaccurate data during the census," he said by phone.The Executive Director of the Legal and Human Rights Centre (LHRC), Dr Hellen Kijo-Bisimba, echoed Mr Kulaba's views, adding that such problems created the impression that preparations for the census were shoddy."The census will take place alright, but the objective of getting accurate data for development plans might not be achieved," she said.

She said it was very sad to hear complaints about allowances ahead of such an important national exercise, which was key to development.Another commentator, Mr Bubelwa Kaiza, attributed the enumerators' complaints to entrenched corruption among government officials.

He said the delay in paying the clerks might have been caused by misappropriation of funds set aside for the census.
"Preparations for the census have been going on for many months. How come today we are being told that there are delays in paying enumerators?" he queried

Mr Kaiza said the delay raised more questions than answers, adding that some government officials might have pocketed some of the money.

He added that the current problems pointed to a lack of supervision of major national programmes such as the census.Mr Kaiza warned that billions of shillings could go to waste as a result of a flawed census. University of Dodoma lecturer Paul Loisulie said the government should move fast and address all potential hurdles to ensure a smooth and successful census.

"I think the government must try to solve all problems before the census, otherwise the whole exercise will be one big farce," he said.(IMO it is already a big farce)

However, Dar es Salaam Regional Commissioner Mecky Sadick told The Citizen that the government was well prepared and that the exercise would be conducted successfully.He said all enumerators in Dar es Salaam had by yesterday been paid in full for attending training seminars, adding that other payments were due to be made from yesterday.

"There isn't a single enumerator in Dar es Salaam who hasn't received his or her allowance. We have begun paying them for the census itself," Mr Sadick said.Commenting on enumerators' threat to boycott the exercise, Mr Sadick said those complaining were not genuine enumerators.

"There are some people who are pretending to be enumerators. These people are not registered and are therefore not part of the team…all enumerators enrolled for the census have been paid."
Mr Sadick added that preparations for the census had been finalised, adding that there was no reason why the exercise should not be successful.

Meanwhile, Sumbawanga District Commissioner Mathew Sodeyeka said the government would take stern measures against individuals or groups of people who would attempt to sabotage the census.Addressing Sumbawanga councillors, the DC said the government had been tipped about plans to provide enumerators with misleading information.

"We have been told that some individuals are persuading people to withhold important information with a view to sabotaging the exercise. We will come down on them like a tonne of bricks," Mr Sodeyeka said.

He asked the councillors to help the government to expose all those planning to sabotage the census.Majengo Ward Councilor Vareliana Kalyalya said there was a need for census education to be provided to village leaders.

Reports by Florence Mugarula, Bernard Lugongo, Mussa Mwangoka in Sumbawanga

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Back
Top Bottom