Jaribio la kutaka kuiangusha serikali ya Nyerere 1982/1983

Jaribio la kutaka kuiangusha serikali ya Nyerere 1982/1983

Nadhani tuko kwenye same boat...kama umenisoma vizuri nimesema inahitaji nchi yenye wananchi wenye ufahamu (educated) na wenye kipato cha kati (middle class) ili serikali iwe na woga wa kuwajibishwa in case of anything...

Sasa hayo hatuna ndugu...mabadiliko yatategemea utashi wa watakaopewa ofisi...wakiwa wazalendo tutapeta...wakiwa wabinafsi tutaendelea kupiga kwata tutake tusitake


Siongelei lawama...naongelea separation of power...wafanyabiashara tunawahitaji sana na tunawapenda...lakini waendelee tu kufanya biashara lakini wasiwe na kofia tatu...

Chunguza kinachodidimiza uchumi wa nchi nyingi za Afrika utakubaliana na ninachokwambia[/
QUOTE]

Nilikutajia Chevron ukasema hatujakomaa,umetoa mfano wa Korea ambao una time frame inaonekana,na inaonesha kuwa ni kukosa maamuzi tu ndio kunakwamisha!!!!!

Nchi nyingi za Afrika haziwezi kuwa re models sababu hata wasomi wanaoandika kuhusu umasikini huwa wanafurahi maandiko yao yanapotimia hata kama proof hiyo itagharimu maisha ya wengi!!!

Tusubiri kukomaa au tuibane serikali ifanye yanayohitajika??!!!!
 
Nadhani tuko kwenye same boat...kama umenisoma vizuri nimesema inahitaji nchi yenye wananchi wenye ufahamu (educated) na wenye kipato cha kati (middle class) ili serikali iwe na woga wa kuwajibishwa in case of anything...

Sasa hayo hatuna ndugu...mabadiliko yatategemea utashi wa watakaopewa ofisi...wakiwa wazalendo tutapeta...wakiwa wabinafsi tutaendelea kupiga kwata tutake tusitake OLESAIDIMU;8404663][/QUOTE]


Sawa lakini mkuu Karl Marx anasema contradiction ndio engine for change na true consciousness ndio gear towards revolution lakini pia hakuweka indicators za kuonesha kuwa sasa watu wameiva ila misuguano itapozidi basi itatokea bila hodi watu kufanya yanayoridhisha mioyo yao kwa uhakika wa maisha ya nafsi zao!!!!!

Sasa kukaa na kusubiri fadhila ni jambo moja na kuwa misuguano inaashiria kuwa tunaelekea hapo ni jambo la pili!!!!!!!

Sasa ni juu ya watawala kuona hali halisi na.kuchukua hatua,ili kupata middle class yenye nguvu ya kusema hili hapana kwa sauti moja unahitaji shule nyingi,viwanda au plantations,watu wa kipato cha kati wengi pia!!!! Kwa hali ilivyo haya yamezuiwa kutokea sio kwa bahati mbaya!!!!!

Kwa hiyo bado naamini kwenye contradictions ingawa ni njia ngumu sana na ya hatari!!!!!
 
Acha uzushi wa kumuhusisha Zacharia na wakina Lowassa; yeye anafanya biashara zake na ndugu zake kusafirisha mafuta hana ushirika na hao mafisadi!!!
ww ndio umetoka nje ya Mada kabisa
Nani kasema Hans Pope ana biashara ya Malori?
Yeye ni Kiongozi wa Chama cha wenye malori Katibu wake akiwa Mtoto wa Lukumay
Huyo Lukumay na Lowassa unajua wana nasaba gani
Zacharia hawezi kuwa na idadi ya MaTank km Kobil, Premus, OilCom na hata yale ya Ridhiwan
Huyo Jamaa yako ni chambo tu hana biashara huko ni M/kiti tu

Kama kuna anayekumbuka hii picha;
Hans Pope ndiye mfadhili mkuu wa hivi vituo;
View attachment 132416
 
ww ndio umetoka nje ya Mada kabisa
Nani kasema Hans Pope ana biashara ya Malori?
Yeye ni Kiongozi wa Chama cha wenye malori Katibu wake akiwa Mtoto wa Lukumay
Huyo Lukumay na Lowassa unajua wana nasaba gani
Zacharia hawezi kuwa na idadi ya MaTank km Kobil, Premus, OilCom na hata yale ya Ridhiwan
Huyo Jamaa yako ni chambo tu hana biashara huko ni M/kiti tu

Unamjua Pope lakini au unabwata tu mkuu???!!!!!
Nenda mbezi beach nyuma ya puma filling station kuna yard!!!!
Nenda ENGEN taja hilo jina utapata habari yake!!!!!
Kaa barabarani angalia Tanker za dark blue na red horizontal strip na quality ya hizo gari halafu rudi na comment hii!!!!!
Mkuu ukisikia mtu anajina TATOA ujue pale sio Simba na Yanga kwamba kadi ya zamani huyu mwenzetu hapana ni msuli wa kampuni yako na transport firm ya lori kumi ni mtaji wa maana lakini jua huvumi mkuu sasa jiulize kwa nini yeye maarufu!!!!!
 
nasikia jamaa alikuwa Sniper, anashabaha sana alikuwa kinaja wa Gen Walden wote hawa walikuwa Sio watu wakukosa wakishatarget
 
Unamjua Pope lakini au unabwata tu mkuu???!!!!!
Nenda mbezi beach nyuma ya puma filling station kuna yard!!!!
Nenda ENGEN taja hilo jina utapata habari yake!!!!!
Kaa barabarani angalia Tanker za dark blue na red horizontal strip na quality ya hizo gari halafu rudi na comment hii!!!!!
Mkuu ukisikia mtu anajina TATOA ujue pale sio Simba na Yanga kwamba kadi ya zamani huyu mwenzetu hapana ni msuli wa kampuni yako na transport firm ya lori kumi ni mtaji wa maana lakini jua huvumi mkuu sasa jiulize kwa nini yeye maarufu!!!!!
Bado nasisitiza kuwa hao ndio wameua biashara ya kusafirisha mafuta na Reli ili wajipatie chochote
Nimeshaeleza wenye Tank za mafuta huyo Pope hayupo 9km ni Premus hazifikii Kugis au LakeOil)
k m kawekezwa tu uwenyekiti ni kumficha Kiongozi ambaonimewataja huko nyuma kuwa ni vi,,,,, yeye na Katibu wake mtoto wa Stivin Lukumay.
Nasisitiza Biashara ya malori ndio imeua Reli yetu,
waulize 9Hans Pope na Lukumay) ni kitu gani walimtisha Waziri wetu Mkuu mpaka akafungulia amri ya Magufuli aliyowaambia wakaPark nyumbani sio Barabara za Serikali
 
hizo tetesi za kuhasi hata mimi nimewahi kuzisikia, lengo ilikuwa ni kumaliza generation ya watu wa design hiyo

nyerere alivyowashika akawaambia nyie si mnajifanya wanaume wa shoka sio,basi niwaonyeshe mimi ni zaidi yenu.ndipo akaamuru wote wahasiwe
 
Unanikumbusha wakili Lakha kutoka Malawi alivokuwa akiwabana mashahidi upande wa mashitaka. Nilikisoma kile kitabu cha kesi ya uhaini mwaka 1982 nikatokea kuipenda sana fani ya sheria japo ndo inayopindisha sana mambo!
 
Bado nasisitiza kuwa hao ndio wameua biashara ya kusafirisha mafuta na Reli ili wajipatie chochote
Nimeshaeleza wenye Tank za mafuta huyo Pope hayupo 9km ni Premus hazifikii Kugis au LakeOil)
k m kawekezwa tu uwenyekiti ni kumficha Kiongozi ambaonimewataja huko nyuma kuwa ni vi,,,,, yeye na Katibu wake mtoto wa Stivin Lukumay.
Nasisitiza Biashara ya malori ndio imeua Reli yetu,
waulize 9Hans Pope na Lukumay) ni kitu gani walimtisha Waziri wetu Mkuu mpaka akafungulia amri ya Magufuli aliyowaambia wakaPark nyumbani sio Barabara za Serikali

Hoja yako ni kuwa hana malori au yeye na wengine wanaua reli????!!!
Huyo Lukumay kama ni muhimu muanzishie uzi then atajadiliwa tu mkuu!!!!

Suala la reli na.umuhimu wake haliwezi kuwa reduced to personal levels za mfanyabiashara sababu a state will is beyond capacities za wafanyabiashara kwa umoja wao sasa kama weak will ndio wewe unadefine kama nguvu ya wafanyabiashara sawa,ila naamini kabisa a strong will is a way to get rid of all these complains!!! Hivi ikiamuliwa kujengwa kuna mfanyabiashara wa kuweza kuondoa taluma? ???!!!!

A puzzle was set na wengi mmeamini kuwa mvua ndio mbaya na sio nyumba ndio weak!!!!!
 
Jan 9, 1982. A coup that never was. And its aftermath

By Erick Kabendera

At Butimba Maximum Security Prison, inmate Eugene Maganga’s routine for the two years he had been to wake up late on weekends. For some reason however, on that Saturday morning October 22, 1995, he had woken up early and when he switched on his small radio he was just in time to catch a brief news item saying that President Ali Hassan Mwinyi had granted him and several others clemency for their crime.-
This is a moment that the group of eight had been waiting for, for the ten years that they been behind bars serving a life sentence for treason. They had never lost hope.
“Prisoners in different cells who also heard the news started cheering,” narrates Maganga, 50. “Surprisingly I did not cheer because I had waited for a long time for this day to come. It was always terrifying to imagine I could spend my entire life in prison.”-
Maganga and the other seven – Suleiman Kamando, Zakaria Aspopo, Vitalis Mapunda, Mbogolo, Kajaji Badru, Hatty MacGhee and Christopher Kadego – were convicted in 1985 for a botched plan two years earlier to overthrow the government of the country’s first President, Julius Nyerere. The ninth person, Mohamed Tamimu had been killed in an exchange with the police at the time of their arrest.
On Monday October 24, 1995, two days after the news had come on radio, Maganga was declared a free man. He clearly remembers that day when he crossed the prison gates to freedom. The time was one p.m.
“My joyous relatives and those of my fellow prisoner Hatty MacGhee welcomed us outside the prison. Emotions ran high and the feeling then is very hard to explain even now,” says Maganga.
Six of the other treason convicts were released two days later from Ukonga Prison in Dar es Salaam.
By the time of their release, Maganga had been shuffled through several prisons including Ukonga in Dar es Salaam and his last post at Butimba in Mwanza.
Despite the hardships they endured in prison, Maganga says none of them has ever regretted for attempting to overthrow the government. “We only regret failing the coup mission but we don’t regret planning the coup.”
Before they came up with the idea of overthrowing the government, Maganga and Kadego worked in the army with the Tank Battalion. Maganga was a Lieutenant while Kadego was a captain. Maganga was 26 years old and had just returned from London where he spent four months brushing up his military skills before he was summoned to go and fight in the war with Uganda in 1978.
As one of the soldiers on the frontline, Maganga believes Tanzania won the war because Uganda had a weak army. But he is unforgiving of the general premise on which the war was built. “President Nyerere misused the country’s resources to fight for the interests of his closest friend Milton Obote so he could return him to power.”
If the misunderstandings that led to the war were genuine, Maganga says diplomacy would have helped solve the problem amicably. Instead they had favoured a military campaign.-
Soon after this war, in May 1980, Maganga joined the University of Dar es Salaam to study International Relations and Public Administration. He was never happy with the kind of life that Tanzanians were living – he says they were poor and were being forced into Ujamaa villages.-
The group contended that the war between the two countries was unnecessary and had only resulted in the misuse of public funds. “The war wasn’t between the two countries rather it was between Nyerere and Idi Amin.”
Maganga further says they also took issue with the conditions in the army which had particularly deteriorated after Major General Mrisho Sarakikya, the first Chief of Defence Forces (1964-1974) and his team had stepped down. The coup plotters also felt that the president lacked trust in the people from the north because they been educated outside the country and he feared that they would attempt to overthrow him. “People who were less educated took over the positions and that is where things went wrong,” says Maganga. Soldiers were not commissioned on merit as the president was keener on creating an army consisting of men who couldn’t pose any challenge against him. He says some officers were promoted twice in a single week. “We wanted to bring changes but the type of people we wanted to work with were not ready to sacrifice. Nevertheless, we didn’t give up on our intention to bring about change.”-
As Maganga and his colleagues were still discussing the ways to go about their plans, they met with the late Pius Rugangira (Uncle Tom) who was an established Tanzanian businessman in Kenya. Rugangira’s father was not on good terms with President Nyerere, according to Maganga, and he had gone to live and work in Uganda. And because of having his father in Uganda, Rugangira was accused of being a Ugandan spy – accusations that led to his fallout with the government. Generally, he too felt that Tanzanians were unnecessarily paying the price of an ill-conceived war and that is why he gave audience to the coup plotters.-
With Rugangira volunteering to finance their mission, Maganga and other army officers who had already agreed to work together were now optimistic. “We were all young and we did not trust any high ranking officer in the army because they were satisfied with the way things were.”-
Though quite forthcoming with just about everything on their coup plans, Maganga is hesitant to reveal exactly how they had had planned to carry it out. He will only say it is still their “top secret” though they expected to exploit the general negligence in the army to achieve their goals.
Another plotter who was in Maganga’s company at the time of the interview but preferred not to be named, says most people believe the group was given a lot of money to carry out the coup but in fact the little money that they received from Rugangira was only meant to take care of small emergencies. He insists it was not compensation for carrying out the coup. “If we were paid money, none of us would have been poor today,” he says.
The former soldier adds that they wanted to build a multiparty democracy in which people could freely express their opinions and choose their own president. “We had proposed that Rugangira would become the Prime Minister but on condition that he would not contest as a presidential candidate in the election that would be held five years later.”-
Three days before the planned coup was to take place, Rugangira reportedly asked them the positions they wanted to be given in the new government but they had replied they wanted nothing.
When all arrangements were in place, they waited for the president who was on a state visit abroad to return. According to Maganga, the president came back in January 1982 after spending two months away and went to his home village in Butiama.-
“The reason we wanted to overthrow the government while he was in the country is that we intended to assassinate him,” Maganga says. It was Rugangira who opposed the assassination plan in favour of arresting the president.
Nyerere unexpectedly spent more time in Butiama and had still not returned to Dar es Salaam two days before the day when the coup was to take place on Monday January 9, 1982.-
The Friday before that – on January 6 – they had planned to meet for the last time before the coup was carried out but some of their colleagues did not turn up for the meeting.-
Mohamed Tamimu was among those who didn’t come. “We were worried and we decided to send one of us to Kinondoni Mkwajuni to enquire but we were shocked to find that the police had raided his house and killed him,” says Maganga.
At that point, they all knew their identities and plans were secret no more. Tamimu, according to his colleagues, had a culture of keeping records of the meetings and the names of collaborators. It was only a matter of time before they were arrested.
They had guessed right.
The police were all over looking for the group. Kadego and Maganga decided to escape through Tanga and Mombasa to Nairobi where they stayed for ten months as political refugees. “We don’t know what happened to the others whom we left in Dar es Salaam but we had not given up when we arrived in Nairobi. We wanted to re-organise ourselves and come back to overthrow the government,” says Maganga.
They never blamed each other for failing to carry out the coup successfully though Maganga believes their luck ran out because MacGhee was a civilian and didn’t know how to keep secrets. He suspects MacGhee had leaked the information to almost all of the people he knew before even the mission was a halfway. Maganga also suspects that Tamimu knew that MacGhee was not a former American soldier as he had claimed but did not tell them. “We realised later that his real name was Hatibu Hassan Gandhi and he was a Tanzanian pilot. ”
In Nairobi, they had no jobs and they were surviving under the support of United Nations Commission for Refugees. Maganga says they had some contacts with the America embassy in Nairobi whom they requested for sponsorship to start a base in Nairobi from where they would reorganise and plan for another coup.
“They said they had so many similar activities to support and could not afford sponsoring ours,” he says.
A few days later as Maganga and Kadego loitered in the streets of Nairobi, they suddenly ran into their co-plotters Uncle Tom and MacGhee whom they had left in Dar es Salaam. The two had escaped from Keko Prison in Dar es Salaam where they had been taken upon their arrest.-
Though they were comfortable with their life in Nairobi Rugangira decided to travel to London to look at ways to move them to Malawi. He was worried that the government in Nairobi would conspire with Dar es Salaam and arrest them. All eight of them had somehow managed to escape to Nairobi.
Indeed, before Rugangira returned from London, the group was arrested by the authorities in Nairobi and exchanged with Senior Lance Corporal Ochuka and Sergeant Pancras Oteyo who had also made attempts to overthrow the government of then President Daniel arap Moi in 1982 and fled to Tanzania.
“We were heavily handcuffed and blindfolded and taken to Isaka Maximum Security Prison in Dodoma where we stayed from November 1983 to October 1984,” says Maganga.
On arrival there, they found the walls of the prison cells they were assigned were smeared with faeces. They were chained to the ground, and spent three days without taking a shower. The head of the prison had directed the prison warders not to talk to the captives or even get near them fearing that the captives would try to influence the law enforcers to join hands with them.-
Maganga says however that the people who were guarding them were not all that bad and at one time they helped the prisoners smuggle a letter out to the American Embassy. They had wanted the world to know that they were in jail because nobody was aware of this at the time.
The letter they had written, Maganga says, prompted a UN Commissioner for Refugees to visit Tanzania and pressured government to forward the case to court.
The trial started in January 1985 and in December of that year they were sentenced to life imprisonment.
They insist that in principle they have no regrets about plotting the coup, but Maganga says his only disappointments are in the way their lives turned out.
After being set free, they found that some friends and relatives had turned hostile towards them and did not want to be seen near or with them.-
Both Kadego and Maganga have never married and Maganga says the hardest part was probably not the ten years they spent in jail but starting all over again when they owned nothing. “The government made sure that we don’t get employed anywhere and some of us have remained unemployed to this day,” he says.
Some of them whose families were better off managed to make a breakthrough in businesses. “Kadego and I live hand to mouth. In fact Kadego is a machinga,” Maganga says.-
MacGhee died a week after their release while a couple of them tried to join the opposition parties but decided to quit. They felt the parties were disorganised and the people who led them seemed self-seeking.-
“In the last year’s elections, I contested for a parliamentary seat in Tabora constituency but I lost. I don’t want to involve myself in politics again,” Maganga says.
Maganga has two children from different mothers and he says nobody bothered to send them to good schools while he was in jail. He still hopes to provide them with a good education but with no income, his plans are beginning to seem like wishful thinking.-
He had himself enrolled at the Open University of Tanzania to study Law in 1999 but dropped out in his second year due to lack of fees. “Not all my friends care about my problems. Some try to reach me when they have something to give me,” he says.-
With the way things are going for him right now, he is just about ready to do any job that is offered to him.-
Still, his personal life doesn’t bother him quite as much as what he calls ‘the mindset of Tanzanians’. “They complain of almost everything but none of them has ever taken any action. They blame us for trying to overthrow the government while most of them would not even dare,” he says.
He told me he was going to bed that night without any food but that didn’t bother him; it would not be the first time. It is when he says, “This country… Nyerere corrupted the mindset of the people. Very few people can think and take action,” that he wears the mask of disappointment.-


A dog’s life

The time in prison had been very harrowing even for political prisoners like themselves. They were not allowed some of the privileges they were entitled to, and they got to witness several vices that thrived under the very noses of prison authorities.-
Maganga recalls witnessing juvenile prisoners being sodomised. There were same sex couples, drug peddlers and some notorious inmates even organised ‘beauty pageants’ where men strutted their stuff.-
“Prisoners who supervised others slept with those who won the beauty contests and gave them little favours in return, for instance, excusing them from hard work and allowing them the luxury of bathing with soap. It was a nasty and disgusting experience that still lingers in my mind,” says Maganga.
Before he was sent into prison, Maganga says he thought that jailhouses were managed by welfare officers but to his surprise there weren’t any in the prisons in which he served his sentence.-
Moreover, prisons officers facilitated drug trafficking in jails and even participated in selling juvenile prisoners to other prisoners. These wardens also looked on as weaker prisoners were raped without trying to intervene in any way.-
Maganga is however happy for the small changes him and his colleagues were able to bring in all the prisons they served in. With James Christopher Kadego his closest ally, they had been instrumental in strengthening sporting activities and defending the rights of other prisoners in Ukonga. “We never tolerated anyone who tried to violate the rights of others.”
Because of their efforts to defend them, some of their fellow prisoners did not celebrate their release, for they would now be left to fend for themselves.
 
Nasikia alipokua amefungwa alifungwa pamoja na askari mmoja wa congo drc. Askari yule walikua marafiki na alim ahidi akiwahi kutoka atampa dili la biashara congo. Alipotoka akaongea na dada yake aliyeolewa germany akampa kamtaji kadogo ka biashara,akaji connect na yule askari wa congo,Ndio huyo alimpa mchongo mpaka akanyanyuka kibiashara. Hizi zinaongelewa mtaani' ila general speaking huyu jamaa ni mzuri kwa business management! Kudos.
Hizo ni stories tu,..hawa jamaa akina Hanspope ni matajiri sana toka enzi hizo ana ndugu USA,Uk,Canada, Germany ,Holland...sasa hizo za mkongo ni story .sana sana alipotoka kakuta tayari pesa ipo na alikua mwanajeshi na late baba yake alikua mkuu wa mkoa...kuanza biashara kubwa sio kazi kivile ukizingatia ana mtandao wa kumsaidia mkubwa tu.
 
unajua huyo jamaa hans pope alikuwa na jamaa mwingine ambaye kwa sasa yupo songea na aliwahi kuwa rubani wa jeshi la anga pale airwing dar so walipoachiwa walirudishwa vijijini kwao, kwa sasa huyo jamaa mwingine ambaye jina lake nimelisahau ame hoka mbaya kiuchumi yani mwenyewe anasema hata gazeti kwake ni kama almasi kupata na anachofahamu ni kuwa rais ni kikwete ila mambo mengine ya siasa hajui coz hana hela ya gazeti, nakumbuka mkewe alipewa masaa 12 achague sehemu ya kwenda kuishi ndo akaamua warudi home songea, jamani Nyerere alikuwa bonge la presidaa yaani alikuwa hapendi ufala kabisa, na anabahati kweli huyo hans pope.
 
inasemekana baba yake hans pope alikuwa na damu ya kijermani labda ndugu zake wa ulaya wamemboost who knows

wenye data kamili endeleeni kudadavua jamani
 
Hivi mzazi wake mmoja ni Mtanzania mwenye asili ya ulaya eenh? Maana hilo jina lake na muonekano wake kama point 5 hivi (Chotara).

Baba yake alikuwa na damu ya kijerumani.
Wajerumani walikaa kwa wingi Iringa .
Akina Major Gen Warden(marehemu sasa) ni matokeo ya uzao huo.
 
Hizo ni stories tu,..hawa jamaa akina Hanspope ni matajiri sana toka enzi hizo ana ndugu USA,Uk,Canada, Germany ,Holland...sasa hizo za mkongo ni story .sana sana alipotoka kakuta tayari pesa ipo na alikua mwanajeshi na late baba yake alikua mkuu wa mkoa...kuanza biashara kubwa sio kazi kivile ukizingatia ana mtandao wa kumsaidia mkubwa tu.
Hanspope hawakuwa matajiri mpaka zakaria alupotoka jela.
Walikuwa na shamba kubwa kiasi mafinga likendeshwa na mdogo wake anaitwa ciser.Na ndugu yao mwingine Eddy alikuwa engineer caltex.mwingine Moses alikuwa denmark akipiga box (sasa ni marehemu alifariki mwaka juzi.akiwa anafanya kazi blue water dar).mwingine Aldo alikuwa anafanya kazi bahari beach hotel.mwingine ambaye alifuatana na Zakaria alikuwa ni captain wa jeshi (rubani)ambaye alikamatwa pia na kuachiwa huru baada ya miaka kama tano hivi.Waliona haku usika na kaka yake, alipo toka jela aliondoka na kwenda Canada then Australia na alifariki mwaka jana huko huko.
Wakati Zakaria anatoka kifungoni alikuta Cesar na Eddy wana lorry 3 za mafuta Benz old model 10 tones.
Kutoka hapo Zakaria akapata uwakala wa kuagiza mafuta kutoka nnje. (Na nani? Anajuwa mwenyewe)
Hapo ndipo alipo anza mafanikio.Kwenye kampuni yake yeye ndiyo Boss na wadogo wake Eddy na Cesar wana ma lorry ndani ya kampuni.na Aldo ni meneja wa transport akiwa hana lorry lake binafsi
Ma lorry mengine mengi ni ya watu tofauti waingia contract napigwa rangi ya kampuni na kupewa kazi ya mafuta.Mtu yoyote mwenye lorry la mafuta huwa anakaribishwa kuingia mkataba na lorry kupigwa rangi ya kampuni.
 
Pasco tafadhali tudadavulie kidogo hapa.
Uhaini ulipangwa 1982, home kwetu ni Drive-in Estate, nyumba yetu na nyumba ya Banyikwa ziliuwa zimeungana tukitenganishwa na ukuta. Hapo ndipo ilipokuwa ikifanyika mikutano ya kupanga mambo!. PW No. 1 ni Hope Banyikwa, ambaye ndie binti mkubwa wa familia ya Banyikwa, hawa walikuwa ni Wahangaza, hao mabinti!, usipime!.

Kesi ilivyoanza, ilikuwa na washtakiwa 46. Wote walishikiliwa Ukonga Maximum Prison, Kiongozi mkuu wa mpango huo ni komandoo wa JWTZ aliyeasi, Martin Tamimu aliyeelezewa kuwa ni mtu hatari sana na hashikiki kirahisi, hivyo wakati wa arrest vijana walipewa special instructions, hivyo askari 8 na magari 4 yalimzingira nyumba aliyokuwepo kwa kimada wake Kinondoni Mkwajuni, walipojiririsha yuko ndani ya "game", waliivamia nyumba!, alichomoka bila shati na kuchumpa darini!, jamaa kuingia ndani hayupo!. Huyo demu akawaelekeza askari kwa ishara, wakaizunguka nyumba, ile wanaanza tuu kumpandia, alitobokea kwenye siling board ya bafu la nje na kuruka ukuta hadi upande wa pili, kumbe nako kuna gari la "jamaa", wakamkimbiza, akarukia pick up iliyokuwa inakwenda race,"jamaa" wakaifuata ile pick -up ay very close range, wakamiminia za kutosha na kumaliza kazi!.

Baada ya sterling kuuwawa, Thomas Lugangira "Father Tom" au "Uncle Tom" ndiye alikuwa mshatakiwa wa kwanza Hatibu Macghee wa pili na wenzao 19.

Nitaendelea.

Pasco.
 
Back
Top Bottom