Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
Ushindwe kujaza form ulete story za abunuwasi. Mtapotena mwaka huu na kupata kura mbili
Huko wanakotupeleka bado kidogo tutakuwa tumefika.WEWE NI MPUMBAVU, MIAKA YOTE WALIKUWA WANAJAZIWA NA NYIE? HALAFU KWANINI MNAKATAA KUTOA FOMU ZA RUFAA? NI KWA SABABU, HIZO SABABU ZA KUWAENGUA SIO ZA KWELI NDIO MAANA HAMKUTAKA KUTOA FOMUZA RUFAA. HALAFU MNAKIMBILIA KWENDA KUOMBA AMANI! WAKATI NYIE MNAHATARISHA AMANI. PIMBI NYIE
Catherene Ruge karudishwa kugombea kwa nguvu analalamika hana hela, alitamani akatwe apate kisingizio, wagombea wengi wameuza form kwa kukosa hela ya kampeni wanasingizia kukatwa.
Ushindwe kujaza form ulete story za abunuwasi. Mtapotena mwaka huu na kupata kura mbili
Yote yatapita yasiposhughurikiwa kisheria Kwa kuwa yapo kisheria!
Ukijaza fomu kinyume na Sheria unashufhurikiwa na Sheria hiyohiyo
Punguza kiherehere , utapakatwa.Catherene Ruge karudishwa kugombea kwa nguvu analalamika hana hela, alitamani akatwe apate kisingizio, wagombea wengi wameuza form kwa kukosa hela ya kampeni wanasingizia kukatwa.
🤣 🤣 🤣 🤣 balaa na nusuTunakaribia kufika huko ambako ccm chama cha kishetani wanataka twende....
Huyo ni mzoefu tena atachekelea Sana.Punguza kiherehere , utapakatwa.
Mbowe ana mikwara sana kwenye majukwaaHizi kampeni bado mbichi sanaaa. Mnasoma reaction za wapinzani kwa hujuma mnazofanya na wao wanaficha karata zao kwa kutojibu kwa wakati au jinsi mnavyotaka nyie.
Huu mchezo hauhitaji hasira. Narudia tena, hili game bado libichi sanaaa.
Ushindwe kujaza form ulete story za abunuwasi. Mtapotena mwaka huu na kupata kura mbili
Ni zaidi ya.....🤣 🤣 🤣 🤣 balaa na nusu