Jaribio la polisi kumkamata Dkt. Slaa kuelekea maandamano ya Septemba 23, 2024 lashindwa

Samia ndoo Rais mtake msitake mpaka 2030 Mungu akijalia
Mambo yasipoharibika, yakiharibika kwa kuumiza watu ataagombea na mikono inayonuka damu ya watu? Mshaurini ayalinde maandamano watu wasiumizwe bila sababu ya msingi.
 
Polisi wanatumika na mabonyenye wachache
Wanapelekwa kwa remote

Ova
 
Adui wa Samia sio slaa Wala chadema adui ni mfumo anao uongoza Samia mwenyewe
 
Huku Samia sio kiongozi, hana karama ya uongozi, haelewi aende na maamuzi gani, mara maridhiano, mara 4R, mara magenge ya utekaji na kuua raia, she is not a presidential material. Na sasa hivi kachanganyikiwa haswa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…