IPS pipe 1/2" 9kWeka bei ya kila kifaa kimoja kimoja.
Kama kuna nilichisahau utanikumbushaWeka bei ya kila kifaa kimoja kimoja.
Bei za PPR fittings zipoje au unadeal na IPS tu?Kama kuna nilichisahau utanikumbusha
PPR zipo, unayo requirements hapo? nikutumie bei..Bei za PPR fittings zipoje au unadeal na IPS tu?
Angalau umetupa mwanga. Hizo za pipes umefikiria urefu gani?Kwa ufupi.
Hii list ya materials ya plumbing, imekuwa ikinunuliwa sana kwa makadilio ya nyumba ya vyumba vitatu,
Sasa kwa aliye kwenye ujenzi unaweza kupata list hii au ikaongezeka kidogo au kupungua kidogo.
Kwa bei ya Jumla dukani kwetu utapata kwa 300k tu.
View attachment 2469401
WhatsApp +255 699 494650
Gerezani, kariakoo
Lindi/Livingstone st.
Mikoani tunasafirisha kwa uaminifu mkubwa.
Mkuu mimi fundi ameniandikia PVC pipes, tee, elbow na plug za 1¼ kwa bafuni na vyooni, 1½ kwa jikoni, ni sawa?Kwa ufupi.
Hii list ya materials ya plumbing, imekuwa ikinunuliwa sana kwa makadilio ya nyumba ya vyumba vitatu,
Sasa kwa aliye kwenye ujenzi unaweza kupata list hii au ikaongezeka kidogo au kupungua kidogo.
Kwa bei ya Jumla dukani kwetu utapata kwa 300k tu.
View attachment 2469401
WhatsApp +255 699 494650
Gerezani, kariakoo
Lindi/Livingstone st.
Mikoani tunasafirisha kwa uaminifu mkubwa.
Ni sawa ikiwa ni kwa ajili ya sink la kunawa na kuosha vyombo. Je za maji pia amewekaMkuu mimi fundi ameniandikia PVC pipes, tee, elbow na plug za 1¼ kwa bafuni na vyooni, 1½ kwa jikoni, ni sawa?
Za maji safi ameweka za ½ inch na fittings zake japo socket hajawekaNi sawa ikiwa ni kwa ajili ya sink la kunawa na kuosha vyombo. Je za maji pia ameweka
Ni muhimu kuweka kusudi kuzuia kutopotea kwa matundu na pia kuwa na muonekano boraZa maji safi ameweka za ½ inch na fittings zake japo socket hajaweka