Jaribu haya makadilio kwa plumbing system

EVIGT

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2014
Posts
526
Reaction score
415
Kwa ufupi.

Hii list ya materials ya plumbing, imekuwa ikinunuliwa sana kwa makadilio ya nyumba ya vyumba vitatu,

Sasa kwa aliye kwenye ujenzi unaweza kupata list hii au ikaongezeka kidogo au kupungua kidogo.

Kwa bei ya Jumla dukani kwetu utapata kwa 300k tu.

IMG_20230104_123845.jpg

WhatsApp +255 699 494650
Gerezani, kariakoo
Lindi/Livingstone st.
Mikoani tunasafirisha kwa uaminifu mkubwa.
 
Inategemea na ramani ya nyumba mkuu halafu plumbing tunazofanya huku mtaani ni local sana.

Mwingine bathroom ina mbwembwe hivyo hizo fittings zitasaidia kwa kadiri fulani ila hazitatosha. Mwingine anataka ensuite bathroom.

Kwa kifupi bila kwenda site ni ngumu kufanya makadirio na si ufundi. Ni fundi Maiko tu aneweza kufanya hivyo
 
Weka bei ya kila kifaa kimoja kimoja.
IPS pipe 1/2" 9k
IPS elbow 1/2" 900/=
IPS socket 1/2" 800/=
IPS nipple 1/2 800/=
IPS tee 1/2". 900/=
PVC pipe 4" 36k
PVC pipe 1 1/2" 16k
PVC elbow 1 1/2" 1800/=
Tangite glue 500mls 8k
Seal tape. 500/=
Female reducer 1/2" 900/=
 
Kwa ufupi.

Hii list ya materials ya plumbing, imekuwa ikinunuliwa sana kwa makadilio ya nyumba ya vyumba vitatu,

Sasa kwa aliye kwenye ujenzi unaweza kupata list hii au ikaongezeka kidogo au kupungua kidogo.

Kwa bei ya Jumla dukani kwetu utapata kwa 300k tu.

View attachment 2469401

WhatsApp +255 699 494650
Gerezani, kariakoo
Lindi/Livingstone st.
Mikoani tunasafirisha kwa uaminifu mkubwa.
Angalau umetupa mwanga. Hizo za pipes umefikiria urefu gani?
 
Kwa ufupi.

Hii list ya materials ya plumbing, imekuwa ikinunuliwa sana kwa makadilio ya nyumba ya vyumba vitatu,

Sasa kwa aliye kwenye ujenzi unaweza kupata list hii au ikaongezeka kidogo au kupungua kidogo.

Kwa bei ya Jumla dukani kwetu utapata kwa 300k tu.

View attachment 2469401

WhatsApp +255 699 494650
Gerezani, kariakoo
Lindi/Livingstone st.
Mikoani tunasafirisha kwa uaminifu mkubwa.
Mkuu mimi fundi ameniandikia PVC pipes, tee, elbow na plug za 1¼ kwa bafuni na vyooni, 1½ kwa jikoni, ni sawa?
 
Ni sawa ikiwa ni kwa ajili ya sink la kunawa na kuosha vyombo. Je za maji pia ameweka
 
Za maji safi ameweka za ½ inch na fittings zake japo socket hajaweka
 
Ni muhimu kuweka kusudi kuzuia kutopotea kwa matundu na pia kuwa na muonekano bora
 
Back
Top Bottom