Jaribu ku- convent mshahara/kipato chako kwenda USD Kwa mwaka una USD ngapi?

Jaribu ku- convent mshahara/kipato chako kwenda USD Kwa mwaka una USD ngapi?

$6500 ni kubwa aisee mm bado huko sifiki Kwa mwaka, labda nichanganye na side hustling zngn ndo naweza karibia 😁😁😁

Mimi ni cheap labour, cyo cheap tu mm ni manamba🤣🤣🤣🤣
 
Ndo
$6500 ni kubwa aisee mm bado huko sifiki Kwa mwaka, labda nichanganye na side hustling zngn ndo naweza karibia 😁😁😁

Mimi ni cheap labour, cyo cheap tu mm ni manamba🤣🤣🤣🤣
Maybe ndo maana watu wanaenda mbele huko hiyo Kwa vibarua ni pesa ya mwezi
 
Taratibu naanza kuielewa hii slogan yako
Mkuu.

Wala huitaji Akili nyingi sana kuielewa na kujua kwamba ni laana.

Ni rahisi tu.

Binadamu anayekaa na rasilimali karibu zote nchini kwake lakini bado ni tegemezi na umaskini ni janga kubwa nchini mwake huyo ana Laana.

Kuna habari moja ilinishangaza sana kwamba wakazi wa Mwanza walikuwa wanalalamika hawana Maji na ziwa Victoria wana lipo tu.

Geita mji wenye dhahabu lakini Raia wake wengi ni Maskini choka mbaya.

Tanzanite inapatikana Tanzania pekee, lakini anaye ongoza kwa kuuza Tanzanite Worldwide ni India.

Mifano ni mingi ili mpaka hapa unaona kwamba, Uafrika hasa utanzania ni laana.
 
Duh nawale tulio jiajiri na tunavuta zaidi ya 1m kwa mwezi tunaruhusiwa ku convet?

Si lipi makato tra yoyote zaid ya pango la mwenye nyumba.
 
Back
Top Bottom