realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 3,925
- 8,853
Kwa nini unaogopa kujaribu? Nini shida Kijana? Jaribu kufanya Chochote kizuri kitakachokusaidia wewe. Usitegemee mtu.
Maisha ya sasa hivi ni wewe mwenyewe na wala usimlaumu mtu.
Kama umekosea kitu. Anza upya usiogope.
Kama una kipaji cha kusuka anza kusuka. Kama una kipaji cha kuimba imba tafuta connection nenda studio omba wasikilize wimbo wako.
Fanya kile kitu unachoweza. Kiwe kizuri ambacho kitajenga mahusiano yako na Serikali. Piga kazi upate mtaji. Ulemavu wako mtaji wako, nyanyuka, jiamini.
Hakuna linaloshindikana chini ya Jua.