Jaribu kujaribu! Utajishukuru mwenyewe baadaye

Jaribu kujaribu! Utajishukuru mwenyewe baadaye

Utaniona spiritual way mkuu.
Yaan hiyo dp ako imenikumbusha mpiga debe mmoja rangi tatu pale..

Kapokea mzigo wa bibi flani so ikawa kama hivi

Jamaa; Bibi tangulia mzigo wako utakuta kwa buti

Bibi; mjukuu wangu mbona mimi sikuoni sasa

Jamaa ; Bibi we panda juu mimi mbona nakuona.


Ahahahaha
 
Mkuu nilijaribu mambo yafuatayo kwa faida yangu....
1-kufungua biashara (mtaa ambao niliambiwa ni mgumu kama mfupa)

2-kugharamikia matibabu ya mwanadada ambaye alikua sio mpenzi wangu mtu baki baada ya kuumwa

3-kujizuia kupiga nyeto, kufanya mapenzi yaani Semen retention huu ushauri nilipata hapa hapa jukwaani

4-kujitenga na familia. Hi mpaka sasa bado hawajui nilipo zaidi ya wanaojua wale common tuu

Faida ni nyingi sana nilizopata mfano nikiianza namba moja hadi 4

1- Alhamdulillah kwa sasa ninaona matokeo kwani napata basic need kupitia hii biashara

2- Amepona na anaendelea vizuri pia wazazi wake wameniamini kiasi ambacho wamenipa chumba cha kujisitiri japo kidogo lakini kinanitosha maana nimekua mwana familia sasa

3- Hii ya kuacha punyeto na kufanya mapenzi faida nyingi sana kiroho kwani nakuta wadada ndio wanakutafuta wewe kila leo lakini sasa mda huo huna..
Unakua na nuru kuanzia pesa na kila kitu,, ila yataka uwe na moyo kama mfupa... Usiwe zuchu

4-Hi kujitenga na familia imefanya nifanye mambo yangu kwa uhuru bila kuulizwa maswali yasio na muhimu wala kutishwa na kukatishana tamaa.

Ni hayo tuu mkuu...

Lakini naomba nikuuliz kitu mkuu ka utojari....
Unazani kwanini ZUCHU hajajichora tatoo..? Unaweza ukajibu hata kesho mkuu
Hongera sana kwa yote uliyofanikiwa. Usichoke kupambana
 
Back
Top Bottom