Maisha ya sasa hivi ni wewe mwenyewe na wala usimlaumu mtu.
Ni mwiko kukata tamaa. Vijana wengi tunapitia magumu sana ila niwaombe tuwe wavumilivu na wenye subira, kukata tamaa sio suluhisho la hali tunazopitia.Hakuna linaloshindikana chini ya Jua.
Jaribu utaniambia litafanikiwa tuMkuu ujue ujumbe ulio utoa ni mkubwa sana...
Hasa kwangu mimi aise na ngoja nijaribu maana nilikua naogopa sana najikuta napiga mabajetu nakata tamaa ila sasa leo asbhi nikajaribu...
Mpaka sasa nipo poa kabisa
Mkuu naomba nikupe ushuhuda hapa kwa leo vtu nilivyojaribyJaribu utaniambia litafanikiwa tu
Ulijaribu kuomba ukapewa alafu ukafunga mageti Mungu anakuonaKaribu Mkuu
Mkuu nilijaribu mambo yafuatayo kwa faida yangu....Karibu Mkuu
Iyo namba 3 ni umepumzika tu niamini mimi ππMkuu nilijaribu mambo yafuatayo kwa faida yangu....
1-kufungua biashara (mtaa ambao niliambiwa ni mgumu kama mfupa)
2-kugharamikia matibabu ya mwanadada ambaye alikua sio mpenzi wangu mtu baki baada ya kuumwa
3-kujizuia kupiga nyeto, kufanya mapenzi yaani Semen retention huu ushauri nilipata hapa hapa jukwaani
4-kujitenga na familia. Hi mpaka sasa bado hawajui nilipo zaidi ya wanaojua wale common tuu
Faida ni nyingi sana nilizopata mfano nikiianza namba moja hadi 4
1- Alhamdulillah kwa sasa ninaona matokeo kwani napata basic need kupitia hii biashara
2- Amepona na anaendelea vizuri pia wazazi wake wameniamini kiasi ambacho wamenipa chumba cha kujisitiri japo kidogo lakini kinanitosha maana nimekua mwana familia sasa
3- Hii ya kuacha punyeto na kufanya mapenzi faida nyingi sana kiroho kwani nakuta wadada ndio wanakutafuta wewe kila leo lakini sasa mda huo huna..
Unakua na nuru kuanzia pesa na kila kitu,, ila yataka uwe na moyo kama mfupa... Usiwe zuchu
4-Hi kujitenga na familia imefanya nifanye mambo yangu kwa uhuru bila kuulizwa maswali yasio na muhimu wala kutishwa na kukatishana tamaa.
Ni hayo tuu mkuu...
Lakini naomba nikuuliz kitu mkuu ka utojari....
Unazani kwanini ZUCHU hajajichora tatoo..? Unaweza ukajibu hata kesho mkuu
Chama halisalitwi kizembe hivyoππ dronedrakeIyo namba 3 ni umepumzika tu niamini mimi ππ
Kemea pepo hilo mkuu...Iyo namba 3 ni umepumzika tu niamini mimi ππ
Hahah, ni swala la muda tuChama halisalitwi kizembe hivyoππ dronedrake
Usijaribu #FANYAKwa nini unaogopa kujaribu? Nini shida Kijana? Jaribu kufanya Chochote kizuri kitakachokusaidia wewe. Usitegemee mtu.
Maisha ya sasa hivi ni wewe mwenyewe na wala usimlaumu mtu.
Kama umekosea kitu. Anza upya usiogope.
Kama una kipaji cha kusuka anza kusuka. Kama una kipaji cha kuimba imba tafuta connection nenda studio omba wasikilize wimbo wako.
Fanya kile kitu unachoweza. Kiwe kizuri ambacho kitajenga mahusiano yako na serikali. Piga kazi upate mtaji. Ulemavu wako mtaji wako, nyanyuka, jiamini.
Hakuna linaloshindikana chini ya Jua.
Nyeto ni swala la kibaolojia tu hilo Mkuu, sio mapepoKemea pepo hilo mkuu...
Hapana siwezi fanya hayo mambo...
Mkuu siwezi kwanza assume tuu nimeacha hata kupitia lile jukwaa la shimba ya buyenze