R_Breazy
JF-Expert Member
- Aug 28, 2025
- 391
- 746
Habari za majukumu wakuu
Leo baada ya kuchoka kutafakari namna gani napata wapi michongo, notification iliingia watsapp kucheki vizuri nikaona picha kadhaa zimetumwa na mtu wangu kafanya hivyo ili nipate picha ya kumpost birthday yake umekaribia(si mnajua watoto wakike wanavyozingatia hata usipompa chochote kitendo cha kumposti kwake ni issue kubwa sana) picha zilikuwa tata zmeeditiwa na Ai (yeye ndo kafanya hiyo kazi nilishamfundisha baada ya kuona analalamika kwamba siku moja tuende Photoshop/ ntacrop sura nitaweka hapa)
Lengo la uzi wakuu si hilo hata; Baada ya kuchat sana tulijikuta tumeangukia mada za kitandani moja ya swali nililomuuliza ndoa chanzo cha kuanzisha thread hapa;
Of course nishawahi kuuliza HILI swali kwa jinsia ke na kila mmoja alishawahi kutoa majibu yake
Niliuliza;
"Unajua hadi leo waga nawaza sana nyie utamu mnaopataje na wapii kiviip"
Majibu aliyonipa nitaweka hapa chini, ila natamani pia kupata majibu kutoka kwa jinsia ke waliomo humu, si mbaya pia wewe member jinsia me ukimuuliza mke au mchumba Ako then ulete majibu yake hapa tupate kujua na kuelewa zaidi pale pepo za KUS na KAS zinapokutana😃
Onyo: Mashoga mkae mbali na hii thread qmmk