Jaribuni kuwa na shukrani

Jaribuni kuwa na shukrani

Yaani na nyie vijana wa siku hizi mnachelewa kukomaa kiakili. Ndio mambo ya kuja kulalamikia hayo kweli?

Hata kama huna kipato,jifunze kuona mali au vitu sio kitu cha kukunyima amani moyoni. Sio kitu cha kuumiza moyo. Wewe mpe tu hivyo vitakataka. Tena mwambie kama kuna kingine aseme,tena jifanye umekosea mpe hata viti viwili mapazia hata manne. Hivyo ni nini mbele ya utu?

Unaonekana hata wewe sio mstaarabu, kulilia takataka hizo. Nafikiri kinachokuuma sio hivyo bali ni zile hela ulizompa umesema na kumsomesha. Hivyo vyote fanya kama ulinywea pombe,hivyo vyote vihesabie hukuwahi kuwa navyo.

Songa mbele na mambo yako ya maana, achana na kulilia mapazia au ada ulizomlipia. Utachelewa.
 
Inaonekana wazi kabisa wewe ni mwanachuo na umeishi na binti wa watu kama mkeo sasa chuo mnamaliza unataka kumdhulumu..... Kama unabusara ni heri uondoke wewe bila chochote ukaanze upya.
 
Back
Top Bottom