Jarida la reli na matukio toleo maalumu la mwaka 2021

Treni ya Dar- Arusha nayo imechakaa chakaa tu.
 
Kuna sababu gani za msingi kuweka picha ya rais kuliko kuweka picha zinavyoonyesha ujenzi, ubora wa huduma na reli yenyewe hata miundombinu tuu.

Au ndo Ile kuchumia tumbo weledi hamna mnabaki kumsifia boss ili kesho kibarua kisiote nyasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…