Jarida lathibitisha: Vikosi maalumu vya Marekani vinapigana bega kwa bega na Wazayuni katika vita vya Gaza

Jarida lathibitisha: Vikosi maalumu vya Marekani vinapigana bega kwa bega na Wazayuni katika vita vya Gaza

Inatosha mkuu. Sasa tuwaombee wawe na Amani maana dah kila saa kila siku ni nyuzi tu za Palestina. Pole na Mungu akutie nguvu bro katika kipindi kigumu na cha jaribu hili kubwa kwako Mpalestina wa Kisiju. Ebu kunywa chai na tulia kidogo mkuu.
Afadhali nawe mwambie labda ataanza kuelewa. Nimeshamsihi apumzike hataki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakwambia, huyo mpalestina wa Kisiju kwa siku anaweka kuandika hata nyuzi 50 za kuomboleza na kuonea huruma Wapalestina tu na kusema kuwa wanaonewa. Akimaliza hapo anaweka Nyuzi 40 za kusifia waarabu wakiongozwa na Isbulah na Iran namna walivyojipanga kuipiga Marekani na Israel. Jamaa naona ameathirika kisailolojia. Anakuja na nyuzi 20 za namna vita ya hiyo inavyopiganwa dhid ya uislam. Bado kuhusu nyuzi za maandamamo na uungwaji mkono kwa wapalestina. Jamaa hajawahi kuandika kuhusu ADF, Al Shabab, ISIS, Boko Haram and co's wanavyoua waafrika.
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]umemuelezea vizuri sana. Walio karibu naye wasipochukua hatua haraka watamkuta juu ya mwembe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo chai, mstaafu kanali, amejuaje masuala ya ofisi? wakati ni mstaafi?

Hamas mmekwisha awamu hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dozi wanayopokea wapalestina na HAMAS kutoka Israel ni nzito.
 
Israel sio nchi ila ni kambi ya Jeshi la Marekani
 
Halafu wanazunguka kuwalaza viongozi wa waarabu kwa kuwashinikiza kushikamana na mikataba ya kimataifa
1698571740888.png

Pia wamefake pia watoto wa Israel wamechinjwa na wakasema na hawa ni watoto wa Israel 😄

Vita hawaviwezi bila propoganda ili dunia iwasaidie, miaka nenda Israel fighter Jet zinapiga maboom Gaza hatukusikia Europe au America wanalalamika walipo pigwa kambi nne za Hamasi na kuliwa zaidi ya WAISRAEL 5000 America na Europe wamekuja na kilio or Hamasi kachinja oh Hamasi kapiga wanawake 😄 Hata kile kimama kilikuwa matekwa walikichukua kwenye kambi ya jeshi la Israel mwanae ni officer wa jeshi la Israel, sa wanakisema kinawasaidia Hamasi 😄 Kipigo kimewachanganya mpaa wamechukua watoto wa Gaza wakasema eti ni watoto wa Israel, watu wenye lana tabu sana walisha zowea kuwazulia uwongo Mitume wa Mungu wawache kuwazulia Hamasi uwongo 😄
 
Kwa hiyo ww unajua kuliko Aljazeera aliye lipoti habari ya kuwa Marekani ametuma vikosi nchini Israel?
Kwa kifupi: Israel Katika katiba ya Marekani Ina paragraphs kadhaa,So ni kama mtoto wa Marekani,Raia wa USA katika katiba ya Israel na Ile ya USA wanaruhusiwa kuhudumia/kutumika kwenye jeshi la nchi hizi 2.Israel ni miongoni mwa nchi chache ambapo Raia wake wanaweza Ingia ,kuishi au kutoka nje ya Marekani bila VISA
 
Mbona kila mwaka Marekani inamimina dola bilioni nne kwa Israel? Hiyo si kuwasaidia katika mauaji ya Wapalestina?
Kwanza ni dola bilioni tatu na sio nne, halafu Iran inafadhili vikundi vya kigaidi kama Hamas, Islamic Jihad, Houth na Hezbollah.
 
Mashoga ya Kizayuni hayana akili wala nguvu za kupigana mpaka yaite marine ,Navy seal na Delta force kupambana na vijana wa Hamas ,
Aibu
 

Jarida lathibitisha: Vikosi maalumu vya Marekani vinapigana bega kwa bega na Wazayuni katika vita vya Gaza​

Oct 29, 2023 03:00 UTC
  • Jarida lathibitisha: Vikosi maalumu vya Marekani vinapigana bega kwa bega na Wazayuni katika vita vya Gaza
Jarida la Marekani linalohusika na masuala ya kijeshi limefichua kuwa vikosi maalumu vya nchi hiyo vinapigana bega kwa bega na Wazayuni katika vita vya Gaza.
Kwa mujibu wa shirika la habari la ISNA, Military Watch Magazine, limefichua katika makala yake kwamba kuna ripoti zinazoonyesha kuwa Marekani imetuma vikosi vyake vya operesheni maalumu huko Ukanda wa Gaza kwa ajili ya kuanzisha mashambulizi ya pamoja na jeshi la Israel dhidi ya Harakati ya Hamas katika eneo hilo.
Jarida hilo limemnukuu Douglas McGregor, kanali mstaafu wa Jeshi la Marekani na kutangaza kuwa katika muda wa saa 24 zilizopita, idadi kubwa ya vikosi maalumu vya Marekani na Israel vimeingia huko Gaza ili kufanya upelelezi kwa lengo la kupanga mikakati ya mahali vinakotaka kushambulia kwa ajili ya kuwakomboa mateka na kuleta mabadiliko katika eneo hilo.
4c3q7bccbb1ae22dztm_800C450.jpg
Douglas McGregor
Afisa huyo wa Marekani ameendelea kufichua kwa kwa kusema, "kwa mujibu wa taarifa nilizonazo, vikosi hivyo vimeshambuliwa na kutiwa hasara kubwa".

Kwa kuzingatia kuwa Marekani ni muungaji mkono mkuu na wa bila masharti yoyote wa utawala wa Kizayuni, inataka kusiwepo na kizuizi wala mpaka wowote katika hatua inazochukua Israel dhidi ya Wapalestina na makundi ya Muqawama.

John Kirby, msemaji wa Baraza la Usalama wa Taifa la Ikulu ya White House amesema mapema leo: "sisi hatuiwekei Israel mistari myekundu. Tunaendelea kuunga mkono mahitaji yao ya kiusalama".

Hivi sasa utawala haramu wa Kizayuni ambao unapata uungaji mkono kamili wa Washington inayoukingia kifua dhidi ya azimio lolote la kukwamisha hatua zake za kijinai dhidi ya Wapalestina, unaendeleza mauaji ya kikatili na kinyama dhidi ya watu wasio na ulinzi wa Ukanda wa Gaza.
Hayatollah nae si atume vikosi vyake maalum.
 
Mashoga ya Kizayuni hayana akili wala nguvu za kupigana mpaka yaite marine ,Navy seal na Delta force kupambana na vijana wa Hamas ,
Aibu
Mashoga zaidi ya 7000 Wameshawahishwa kupokea mabikra 72 huku wakiogelea kwenye mito ya ulevi. Sema Takbirrrr 😂😂😁😁😀😀
 
Back
Top Bottom