Mr. Marangu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 1,574
- 1,549
MWANZONI MWA MIAKA YA 2000 hawa majama hakuna anaebisha walikua on fire mbaya hebu leo tujikumbushe ama tuulizane kati ya ALWAYS ON TIME (JARULE) VS iN DA CLUB (50 CENT) ni wimbo upi ulikukosha zaidi ya mwingne mm ntaeleza wangu after five post